reflections n.
Download
Skip this Video
Loading SlideShow in 5 Seconds..
Reflections PowerPoint Presentation
Download Presentation
Reflections

Loading in 2 Seconds...

play fullscreen
1 / 28

Reflections - PowerPoint PPT Presentation


 • 103 Views
 • Uploaded on

Reflections. JIPIME KIWANGO CHA KUJITAMBUA. Wasiojitambua ni akina nani ?. Wasiojitambua ni wale ambao wamenyang’anywa uwezo wao wa Kuamua This is because their reasoning capacity has been Derailed! Hawana hata uwezo wa kujuwa kama hawa – amui mambo yao . Wao hujiona wanaamua !

loader
I am the owner, or an agent authorized to act on behalf of the owner, of the copyrighted work described.
capcha
Download Presentation

PowerPoint Slideshow about 'Reflections' - varian


An Image/Link below is provided (as is) to download presentation

Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author.While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server.


- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -
Presentation Transcript
reflections

Reflections

JIPIME KIWANGO CHA KUJITAMBUA

wasiojitambua ni akina nani
Wasiojitambuaniakinanani?
 • Wasiojitambuani wale ambaowamenyang’anywauwezowaowaKuamua
 • This is because their reasoning capacity has been Derailed!
 • Hawanahatauwezowakujuwakamahawa –amui mambo yao. Waohujionawanaamua!
 • Hilijamboni serious..TazamaNukuuifuatayo
is very serious
Is very serious!
 • "Never again will you be capable of ordinary human feeling. Everything will be dead inside you. Never again will you be capable of love, or friendship, or joy of living, or laughter, or curiosity, or courage, or integrity. You will be hollow. We shall squeeze you empty and then we shall fill you with ourselves", George Orwell
slide4

Ukishakuwa HOLLOW, unaingiziwa program kichwanikwako

 • Hapouwezowakibinadamunavipawahuondokanamaamuzihufuata program iliyokokichwanimwako.
 • Wengikatikawalioathirikawanashindwakufanya mambo yamsingikabisaambayokidesturiwanajuwanimazuri...mfano..
nani hajitambui alama zake
Nanihajitambui? Alamazake
 • Huwezikujikosoaunaonamapungufukwingine
 • Hutimiziahadi
 • Unasemauwongo
 • Huwezikujituma
 • UnalalamikasanaHuchukuihatua
 • Hunasubira,
 • Huwahieneounalohitajika
 • Huwezikudumishajambojema (mf. Mazoezi, sunank)
 • Unanasakwenye agenda zawengine (Ushabikiwampira, mziki, kamari, pool nk)
 • Unakataa/pendajambo/hoja/kitukablayakutathminiNk, nk....
ukishakuwa hollow unaingia katika aya hii
Ukishakuwa “HOLLOW” unaingiakatikaayahii
 • HakikavinyamaviovumbeleyaMwenyeziMunguni vile viziwinabubu

visiotumiaakilizao.

(Anfaal 22)

tunataka mafanikio
TUNATAKA MAFANIKIO?
 • KUONDOSHA HALI MBAYA KUWA NZURI.
 • LAZIMA TUBADILIKE
 • HakunaMfumomwingineisipokuwauliopokatikaQurani13:11
 • LakiniTunaielewavema 13:11?
kabla ya 13 11
Kablaya 13:11

“Na hikiKitabu, tumekuteremshiawewe, kimebarikiwa, iliwazizingatieAyazake, nawawaidhikewenyeakili”.

(Saad: 29)

k upoteza reasoning ndiyo kutokujitambua kwenyewe
Kupotezareasoningndiyokutokujitambuakwenyewe!!
 • "...In this, behold, there are messages indeed for people who think." [39:42]
 • "Thus clearly do We spell out these messages unto people who use their reason." [30:28]
ukiona unapata taabu kupata majibu ya maswali haya
Ukionaunapatataabukupatamajibuyamaswalihaya

....KiwangoChako cha kujitambuakikochinisana (...%)

jitambue 2
Jitambue 2
 • Muhammad (saw), when given an opportunity to have the Taif people cursed, he prayed that they are forgiven!
  • What Universal principle did he apply?
jitambue 3
Jitambue 3
 • Mtunamwanayewamepataajalimbayasana. Baba amefarikinamtotoanawahishwahospitalikatika ICU. Baadayakufika, Doctor wa ICU anamkaguanakusema “huyunamtotowangu”

kwamsaadawakalamunakaratasituambie Doctor ninani?

jitambue 4
Jitambue 4
 • Yusuf (as) was able to recognise his brothers even after many years. His brothersdid not recognise him!

What connected him to them that did not connect them to him?

jitambue 5
Jitambue 5
 • Pyramid kubwalimegeuzwajuu-chininalimesimamishwawima. Katikanchayakeyachinilimelalianotiyashs 10,000.

Unawezajekuiondoshanotihiyobilakuliangusha? Elezeavemampangowakonajinsiutakayotekeleza.

jitambue 6
Jitambue 6
 • Kwaniniduayamzazi, duayamwenyekudhulimiwahumpatamuhusika?
 • Kanuniganiinahusika?
jitambue 7
Jitambue 7
 • TunashauriwaMtotoanapozaliwaaadhiniwekatikasikio la kulianakukimiwasikio la kushoto

Unafikirinikwanini?

jitambue 8
Jitambue8
 • Ukimuinamianakumkodolea macho mtualiyelalafofofomtuhuyo....(ipisahihi)
  • Huanzakukoroma
  • Huamka
  • Inategemeanaainayagodoro

....Kwanini?

jitambue 11 unaweza kusoma hapa
Jitambue 11Unawezakusomahapa?
 • "Aoccdrnig to a rscheearch at CmabrigdeUinervtisy, it deosn'tmttaer in wahtoredr the ltteers in a wrod are, the olnyiprmoetnttihng is taht the frist and lsatltteer be at the rghitpclae. The rset can be a toatlmses and you can sitllraed it wouthitporbelm. Tihs is bcuseae the huamnmniddeos not raed……..
 • =======Did you reflect anything==========
jitambue 12
Jitambue 12
 • Abiria11 walibahatikakushikiliaboyamojakatikameliiliyozamaya MV Spices. Hapoilikuwasaa 8 usiku. Ilipofikasaa 1:30 asubuhihelikoptailipitanakuwaokoa. Waliokutwabadowameshikiliaboyaniwatatutu!
 • UnafikirinijamboganililichangiawenginekuliachiaboyanakufakablayauokoziikiwaWotewalikuwanahalinzurimwanzoni
 • Elezakwakifupisayansiinayosimamiajambohili (toamifanoikiwezekana)
jitambue 13
Jitambue 13
 • Kikawaidamtuanapokataroho, hutokwanahajakubwa. Unafikirinikwanini?
jitambue 14
Jitambue 14
 • Jafaramerudinyumbanitokaofisiniakiwahanafurahakabisa. Usiku wake Jafaranaotaanafukuzwananyatimkali. Cha ajabunyatihuyualikuwaanafokalakinisautiiliyokuwainatokaniyamzikiambaoJafaranaufahamuvema. Unawezakutoamaelezoyanayowezakusababishandotoyanamnahii?.