1 / 244

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI. Mwl . Mgisa Mtebe +255 713 497 654 www.mgisamtebe.org. MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU. ( Jamii , Uchumi na ) Maendeleo. Jamii , Uchumi na Maendeleo. Utandawazi ni nini ?. Nafasi ya Mwanaume katika Jamii.

brinda
Download Presentation

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. NAFASI YAMWANAUMEKATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI Mwl. MgisaMtebe +255 713 497 654 www.mgisamtebe.org

  2. MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU ( Jamii, Uchumina ) Maendeleo

  3. Jamii, UchuminaMaendeleo Utandawazi ninini?

  4. Nafasi yaMwanaumekatikaJamii Utandawazi ninini? Ni mfumowamaishayajamiiyaulimwengumzimakuingilianakatikanamnayakuwakamajamiimoja.

  5. Nafasi yaMwanaumekatikaJamii Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu; Jamii, Siasa, ElimunaUchumi (Social-Political Economy)

  6. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa Mabadiliko ya Sera zauchumi 4. UhuruwaMipakayanchi 5. MwingilianowaKitamaduni

  7. Utandawazi Utandawazi ninini? Daniel 10:4 “Lakiniwewe Daniel, yafungemanenohaya, ukakitiemuhurikitabu, hatawakatiwamwisho…”

  8. Utandawazi Utandawazi ninini? Daniel 10:4 “… (kwamaana) wengiwatakwendambiohukunahuko, namaarifa (duniani)yataongezeka.”

  9. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 1. Ongezekokubwa la Maarifa. Ndaniyamiaka 300 yamwisho, mwanadamuamefanyauvumbuzimkubwakitaalamu, kulikokatikamiaka 1900 aliyoishikatikakalendampya.

  10. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 1. Ongezekokubwa la Maarifa. Kasikubwazaidiyamaendeleo, imefanyikakatikamiaka 100 yamwisho (1900-2000), ambapomwanadamuamefanyauvumbuzimkubwasanaduniani.

  11. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 1. Ongezekokubwa la Maarifa. Mashinezakazi (operation Machine) Usafiri; MelinaNdege (Ships & Jets) Umememdogozaidi (electronics) Mialeyaumememdogo (laser beams) Mawasilianoyamawimbi (tele-www)

  12. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa 2. MsukumompyaKisiasa

  13. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 2. MsukumompyaKisiasa Kuangukakwaukomunistikatikajamiinyingizakimataifa, kulitianguvusanamfumowakibepariwamataifayamagharibikuingiakatikajamiimbalimbali.

  14. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa 3. Mabadilikoya Sera zauchumi

  15. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 3. Mabadiliko ya Sera zaUchumi. Mataifamengikupokeamifumoyauchumiiliyozingatiazaidiuchumiwakibinafsi, uhuruwakibiashara, ushindaniwakitaaluma, umojawasoko, n.k.

  16. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa Mabadiliko ya Sera zauchumi 4. UhuruwaMipakayanchi

  17. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 4. UhuruwaMipakayaNchi. Mataifayalidaikubadilishwakwa sera zamipakayakitaifanakutakauhuruzaidiwamataifakuingilianakatikahalizakisiasa, kiutamaduninakibiashara.

  18. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; Ongezekokubwa la Maarifa MsukumompyaKisiasa Mabadiliko ya Sera zauchumi UhuruwaMipakayanchi 5. MwingilianowaKitamaduni

  19. Utandawazi ninini? Ni mabadilikokatika; 5. MwingilianowaKitamaduni. Ongezekokubwa la maarifanaUhuruwamipaka, viliwezeshasana, mwingilianowakimataifanakuathirisanatamadunizajamii, vizurinavibaya (+ve/-ve).

  20. Jamii, UchuminaMaendeleo Uchumininini?

  21. Uchumi na Maendeleo Uchumini namna (maarifa) ya mtu kutumia rasilimali zilizopo kwa madhumuni ya kutimiza mahitajina matakwa yake kwa njia nafuu /bora zaidi.

  22. Uchumi na Maendeleo Mahitaji Rasilimali Matakwa

  23. UchuminaMaendeleo Maendeleoni hali ya mtu kutoka katika kiwango cha maisha duni na kupiga hatua kuishi katika kiwango cha maisha bora zaidi.

  24. UchuminaMaendeleo Maisha Duni Sana

  25. UchuminaMaendeleo Maisha Duni Maisha Duni Sana

  26. UchuminaMaendeleo Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana

  27. UchuminaMaendeleo Maisha Bora Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana

  28. UchuminaMaendeleo Maisha Bora Zaidi Maisha Bora Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana

  29. UchuminaMaendeleo Maisha Bora Zaidi Maisha Bora Maisha Wastani Maisha Duni Maisha Duni Sana

  30. Misingi yaKijamii (Kifamilia) Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28

  31. Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28 ‘Tufanyemtukwasurayetunamfanowetu, wakatawalesamakiwabaharini, ndegewaandaninakilakiumbekilichoumbwa, kiendachojuuyausowadunia.’

  32. Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28 ‘MunguakaumbaMwanaumenaMwanamke, akawawekakatikabustaninakuwabariki, akawaambia, Zaeninakuongezeka, nakuitiishadunia.

  33. Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mwanzo 1:26-28 ‘MunguakaumbaMwanaumenaMwanamke, akawawekakatikabustaninakuwabariki, akawaambia, Zaeninakuongezeka, nakuitiishadunia.

  34. Misingi yaKijamii (Kifamilia) Mabadiliko yaKijamii

  35. Mabadiliko katikaJamiizaDunia Ongezeko la UhalifunaUbaya Warumi 1:18-32 Warumi 3:10-18 2Timotheo 3:1-9 Mwanzo 6:1, 5-8 2Petro 2:4-22

  36. Mabadiliko katikaJamiizaDunia Ongezeko la UhalifunaUbaya Tamaa, Uporaji, Ubakaji, Mauaji MagonjwayaZinaa/Yasiyotibika UkatiliwaKijinsia/Kifamilia KuvunjikakwaNyumba/Ndoa UwianowaWatotoVsFamilia

  37. Mabadiliko yaKijamii: Mathayo 24:36-39 ‘Kwamaanakama vile ilivyokuwakatikasikuzaNuhu, ndivyoitakavyokuwasikuzakurudimwanawaAdamu’

  38. Mabadiliko yaKijamii: Mathayo 24:36-39 ‘Kwamaanawatuwalikuwawakilanakunywa, wakioanakuoana; hatasikuileNuhualipoingiakatikaSafina; nawaowasitambue, hatagharikaikawakuta, wakachukiliwawote.

  39. Mabadiliko yaKijamii: HistoriayaSodomanaGomora, yajirudiaduniani. Mmomonyokowamaadiliwakirithiri, ukichocheazaidimgongano au janga la kijinsia, katiyaWanaumenaWanawake. (Male-Female/Gender Crisis)

  40. Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Habarihalisi (facts) zinathibitishakwamba; Jamiiyetuinajanga (mgongano) mkubwawakijinsia(Male-Cause)katikamaswalaya; Jamii, Imanina Mila/Utamaduni. (Social, Believes and Culture Crisis)

  41. Mabadiliko yaKijamii. Serikalizotezadunia, zimekirikufelikwauwezowa sera, kanuninafikra (theory) juu ‘binadamu’ (humanity) katikakubadilitabianakuzitiisha, ikiwanijuhudizakujaribukuletaustawinausalamazaidi.

  42. Mabadiliko yaKijamii Ukweliusiopingika (Facts) unaonyeshawazikwamba, Wanaumewamechangiakwakiasikikubwakatikakuyumbakwaulimwengu, kijamiinakisiasanakiuchumi. (Global Social-Political Instability)

  43. Mabadiliko yaKijamii Asilimia 97% yawaliofungwajelaleokwamakosambalimbali, niwanaume. MakosayaUdanganyifu, Wizi, Mauaji, Ubakaji, Ukatili, n.k. ni mambo yanayofanywanawanaumezaidi. (Male dominant crimes)

  44. Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Habarihalisi (facts) zinathibitishakwamba; Jamiiyetuinajanga (mgongano) mkubwawakijinsia(Male-Cause)katikamaswalaya; Jamii, Imanina Mila/Utamaduni. (Social, Believes and Culture Crisis)

  45. Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Ni kwasababu; Mwanaumendiyealiyekichwa cha jamiizotezadunia. Vile Mwanaumeaendavyo, ndivyofamiliaiendavyo, ndivyojamiinadunianzimaitakavyokwenda.

  46. Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Mabadiliko yaKijamii: Kwahiyo; matatizomakubwaya Kifamilia Kijamiina Kitaifa ChanzoniMwanaumekiongozijamiihiyo.

  47. Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi Taifa Jamii Familia Mwanaume

  48. Mgongano waKijamii Mabadiliko yaKijamii: Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu; Jamii, Siasa, ElimunaUchumi (Social-Political Economy)

  49. Mgongano waKijinsiaKijamii Mabadiliko yanayotokea: (i) Kijamii (Socially); Wanawakewanavyozidikukuakiidadinapiakatikakuongozafamilia.

  50. Mgongano waKijinsiaKijamii Mabadiliko yanayotokea: (ii) Kijamii (Socially); Wanawakewanavyozidikukuakiidadi, katikakuongozafamilianangazizamaamuzikatikataasisi.

More Related