1 / 22

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKUKUTA 2010/11

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKUKUTA 2010/11. (CHANGAMOTO) MDAHALO KUHUSU SERA ZA KITAIFA TAREHE 26-27 JANUARI 2012: BLUE PEARL HOTELI UBUNGO PLAZA WIZARA YA FEDHA. YALIYOMO. Utangulizi Utekelezaji wa MKUKUTA 2010/11 Hali halisi na Changamoto Hitimisho. UTANGULIZI

amil
Download Presentation

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKUKUTA 2010/11

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MKUKUTA 2010/11 (CHANGAMOTO) MDAHALO KUHUSU SERA ZA KITAIFA TAREHE 26-27 JANUARI 2012: BLUE PEARL HOTELI UBUNGO PLAZA WIZARA YA FEDHA

  2. YALIYOMO • Utangulizi • Utekelezaji wa MKUKUTA 2010/11 • Hali halisi na Changamoto • Hitimisho

  3. UTANGULIZI Umaskini!!!!!!........ Ni nini? • Ni hali ya maisha iliyo duni inayomfanya mtu kushindwa kumudu mahitaji ya msingi. Umaskini ni matokeo ya mambo mengi yaliyochanganyika, ambayo hayakufanyika kwa tija kutokana na visababishi mbalimbali. Unapimwaje? • Kwa kuangalia viashiria vya: umaskini wa kipato; na ule usio wa kipato (mf.upatikanaji wa huduma za jamii). • Viashiria vinavyotumika kupima hali ya Umaskini ni vingi, vikiwemo: Ujinga; Huduma za jamii zisizotosheleza mahitaji (maji, afya na elimu); Vifo; Utapiamlo; Uharibifu wa mazingira; Tatizo la ajira; Kipato kidogo; na Makazi duni.

  4. Sababu za Umaskini Zipo sababu nyingi za umaskini za ndani na nje. Sababu za ndani ni pamoja na:- • Sera za Uchumi: Sera za fedha na matumizi ya Serikali kutotosheleza kukuza uchumi unaonufaisha wengi; • Huduma zisizotosheleza katika sekta ya kilimo; • Uwekezaji usiotosheleza katika viwanda mijini na vijijini;

  5. Sababu za ndani… Inaend.. • Mapungufu katika uanzishaji na uendeshaji wa Asasi za Kiraia zinazoanzishwa kuleta maendeleo vikiwemo vyama ushirika; • Teknolojia duni; • Mila potofu na desturi zisizo na tija katika kuleta maendeleo (ubaguzi wa kijinsia; ushirikina n.k.) • Tabia ya uzembe na uvivu; • Maradhi, na hasa magonjwa sugu (HIV&AIDS, TB n.k; • Idadi kubwa ya familia; • Utoaji wa maamuzi usio na tija, • Mila na desturi zisizo na tija.

  6. Sababu za nje: Sababu za nje zinazoweza kuchangia umaskini ni pamoja na: • Kuwa na deni kubwa la Taifa; • Urari mbaya katika biashara ya Kimataifa; • Kuongezeka kwa wakimbizi; • Mdororo wa Uchumi Duniani; na • Mabadiliko ya Tabia ya nchi (Climate change).

  7. Jukumukubwa la Serikali: Ni pamojanakuwekamazingiraborayakiserailisektabinafsinamtummojammojaatumiefursazilizopokujileteamaendeleo (Maendeleoyamtuhuletwanayeyemwenyewe). • Uandaajinautekelezajiwa Sera naMikakatiyakupambananaumaskini (MkakatiwaKusimamia Sera zaKuondoaUmaskini 1998; PSRP 2000-2003; MKUKUTA I 2005 – 2010; MKUKUTA II (2010 – 2015); • MikakatinaProgramuzakisektanaprogramuzamaboresho; • MpangowaMaendeleowaMiakaMitano (FYDP) (2011 – 2016); • Miongozohiiyakiserahutoavipaumbelekwasektanawadauwotekupanganakutekelezamajukumuwaliyopewa.

  8. Jukumu kubwa la Serikali….Inaendelea • Kupitia Mfumo wa Ufuatiliaji hali ya umaskini, mapitio ya mara kwa mara hufanyika na dosari (changamoto) zinazojitokeza huibuliwa na kujadiliwa na wadau kwa uboreshaji; • Taarifa ya Utekelezaji wa MKUKUTA na Ripoti ya Hali ya Umaskini na Maendeleo ya Watu ni miongoni mwa ripoti muhimu zitolewazo kuhabarisha wadau mafanikio na changamoto zilizopo; • Majadiliano pia hufanyika kila mwaka kama vile mapitio ya sekta za huduma ya jamii (Sector Reviews) elimu, afya na maji; • Utafiti kuhusu maoni ya wananchi (Views of the People Survey) juu ya wanayoyaona, na kupata maoni yao.

  9. 2. UTEKELEZAJI MKUKUTA 2010/11 • MKUKUTA II ulioanza kutekelezwa mwaka jana ni mwendelezo wa MKUKUTA I unaosisitiza: kukuza uchumi na kupunguza umaskini wa kipato, kuboresha huduma za jamii na ustawi wa jamii, na kuimarisha utawala bora na uwajibikaji; • Katika mapitio ya kila mwaka ripoti ya utekelezaji wa MKUKUTA huandaliwa kwa kushirikiana na sekta zote kuhabarisha wadau mafanikio na changamoto za utekelezaji; • Pia kupitia midahalo huu, wadau hujadili na kutoa maoni ya kuboresha utekelezaji wa malengo yaliyoainishwa katika MKUKUTA II na mipango mingine ya kisekta; na • Ripoti ya utekelezaji wa MKUKUTA 2010/11 imetoa mchango katika maandalizi ya Mwongozo wa mipango na bajeti kwa mwaka unaofuata.

  10. Hali Halisi na Changamoto • Pato la mwananchikukuasambambanaUkuajiwaUchumiJumla; • Umaskiniwakipatoumepunguakwakiwangocha 2.1% kati ya mwaka 2001 na 2007; • Ongezeko la idadi ya watu ni 2.9% kwamwaka; • Pato la Taifa (GDP) lilikuakwa 7.0% kwamwaka 2010 ikilinganishwana 6.0% mwaka 2009, • Sektazinazochangiakwenye GDP kwakiasikikubwa: utoajihuduma 43.6%(2009) na 43.9%(2010); kilimo 24.6%(2009) na 24.1%(2010); uzalishajiviwandani 8.6%(2009) na 9%(2010); • Sektazinazokuakwakasinipamojanamawasiliano (22.1%), sektayaujenzi (10.2%) sektayahudumayafedha (10.1%), nasektayaViwanda (7.9%) mwaka 2010; na • Sektahizohuajirikiwangokidogo cha watu.

  11. Hali Halisi na Changamoto..Inae • Pato la mwananchikukuasambambanaUkuajiwaUchumiJumla • Tafitiwahaliyaajira (ILFS 2006) inaonyeshaSektazinazokuakwakasi, zinaajiriidadindogoyawatu, ikilinganishwanasektayakilimoyenyekuajiriwatuwengi, 74.7% ambayoinakuakwakiwangokidogo, 4.2% mwaka 2010; • UkuajimdogowasektazinazogusaWatanzaniawengi kama vile kilimo, viwanda, mawasiliano, • Kuongezauzalishaji, ajira, napato la Taifakuendeleakuimarika;

  12. Hali Halisi na Changamoto..Inae • Upatikanajiwanishati ya uhakikananafuu: • Serikaliimeendeleakupanuavyanzovyanishatiyaumemenakupanuawigowaushirikiwasektabinafsi, ilikuzalishanakusambazaumemewakutosha, wauhakikananafuuhususankwawazalishajiwadogo; • Kwasasauzalishajiwanishatiyaumemenipungufuyamahitajikwa 205Mw; mwaka 2010; (Mitambomingiinatumiamafutaambayonighali) - gharamazanishatikuwajuu.

  13. Changamoto....Inaendelea • KuimarishausafiriwarelinabarabarazaVijijini: • Kuimarikakwausafiriwarelinimuhimukwakipato cha watumaskini - kamanjianafuuyakusafirishamazaonabidhaanyiginezabiashara; • Kadhalikabarabarazavijijinikuhakikishazinapitikamudawoteilikuunganishamaeneoyauzalishajinamasokokwanjiaendelevuzaidi, nahasauwezowakujengamadarajanabarabarazenyeviwangovyalamibadalayakuwekavifusikilamwaka.

  14. Changamoto.... Inaendelea • Kuboreshahudumazajamii, UborawaMaishanaUstawiwaJamii: • Elimu: • Kiwangochauandikishajikatikangazi zote zaelimukinaendeleakuongezeka, pasipokasi ya kutoshakatikakuboreshaviwangovyauborawaelimukwamakundiyote; • Kuimarishamifumo ya elimuuendelezajiborawarasilimaliwatu, teknolojianautashikatikaajirabinafsizenye tija.

  15. Changamoto....Inaendelea • Kuboresha huduma ya Afya na ustawi wa watoto na wanawake: • Idadi ya vifo vya watoto wachanga imepungua kutoka watoto 58 (2007/08) hadi 51 (2009/10) kwa kila watoto 1000 wanaozaliwa hai (DHS 2009/10) - lengo ni 38 ifikapo mwaka 2015; • Idadi ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano vimepungua toka watoto 112 (2004/05) hadi 81 (2009/10) kwa kila watoto 1000 waliozaliwa hai (DHS 2009/10) - lengo ni 54 ifikapo mwaka 2015;

  16. Changamoto....Inaendelea • Vifo vya akina mama vinavyotokana na uzazi vilipungua kutoka 578 (2004/05) hadi 454 (2009/10) kwa kila kina mama 100,000 waliojifungua watoto hai-lengo ni 265 ifikapo 2015; • Wastani wa Watoto kwa kila mama ni 5.4(2010) kutoka 5.7(2005). Lengo la MKUKUTA II ni watoto 5; • Kuendelea kuboresha kiwango cha ubora wa huduma ya afya hususan upatikanaji wa wataalam, miundo mbinu na vitendea kazi katika maeneo ya vijijini;

  17. Changamoto....Inaendelea • Upatikanaji wa maji safi na salama na nafuu, usafi wa mazingira na makazi bora; • Bado Serikali inayo kazi kubwa kuboresha upatikanaji wa maji safi nchi nzima, kuboresha mazingira na makazi bora. Watanzania wengi na hasa vijijini hawana maji safi na salama wengine makazi ni duni na mabadiliko ya tabia nchi kuwaathiri wengi (ukame, mafuriko n.k.)

  18. Changamoto....Inaendelea • Kingaya JamiikwaMakundimaalum • IdadiyaWatanzaniawanaoshindwakumuduelimu au kujipatiaujuzikatikafanimbalimbalikuwawezeshakufanyashughulindogondogozakujipatiakipatonikubwa; • Jitihadambalimbalizakulindamakundimaalumhazijafanikiwavyakutosha. Sehemukubwa ya makundi hayo haijafikiwanahudumazamsingikuwawezeshakujimudukimaisha, ambayo ni pamojana: • Kuhudumiawatotoyatimawasionamsaadanawaishiokatikamazingiramagumu; • Kutoa hudumazakijamiinakiuchumikwawatuwenyeulemavu; na • Watotowa kike wengiwanapataujauzitokablayakumalizaelimuyamsingi, au kupatawatotokatikaumrimdogo, nakushindwakuwatunza.

  19. Changamoto....Inaendelea • KuboreshaMifumo ya hudumazaumma • Serikaliimeendeleakuimarishamifumoya utawalakatikataasisizaummaikiwa ni pamojanakuboreshautumishiwaumma, sekta ya sheria, kuimarishausimamizihudumazajamiikamavilekuundakamatimbalimbalizakusimamiautekelezajilakinibadomaeneomengiutekelezajihauridhishi; • KupelekamadarakakaribunawananchikwakuimarishaSerikalizamitaa; • Kuimarisha mifumo ya usimamizi raslimali za umma; • Kuimarisha mifumo ya ushirikishwaji wadau katika kupanga mipango ya maendeleo; na • Kuimarisha ufuatiliaji ikiwemo kuhakikisha fedha zinapatikana kwa wakati, kutekeleza vipaumbele, kukusanya takwimu na kufanya tafiti za kupima mafanikio, na kutumia takwimu hizo kwa mipango ya maendeleo.

  20. Hitimisho • KuimarishaUtekelezajiwamipangoyetu • Tunafahamukeronachangamotozetu, • Mikakatinamipangoyakutatuakeronachangamotozetuipokatikangazizotenanyingizimondaniyauwezowetu; • Tunayoamani, usalamanautulivukatikanchi, • Tunazorasilimaliwatu, ardhinzurinamaliasilizakutosha; • Sotetuchukuehatuasasa, kutekelezayaletuliyokubalianakwadhatinakwauadilifu;

  21. Hitimisho • KuimarishaUtekelezajiwamipangoyetu • MKUKUTA II niwetusote, tujadili, tusimamiekutekelezavipaumbelenakutathminimafanikio; • Mifumoyaufuatiliajikatikakilasekta kupewa kipaumbele na kujengewa uwezo ; • Wadaukatikasehemuzote, tutafakaritulikotoka, tukowapi, natunakwendawapinahatimayekuchukuahatuastahiki, kilammojakwenyenafasiyake; • Kilamdauatambuewajibunamchango wake, nakadriitakavyowezekana, kuongezaufanisi; ILI MALENGO YA MKUKUTA II YAFANIKIWE, HATUNA BUDI SOTE KUONGEZA BIDII, KUZINGATIA UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI

  22. Asanteni kwa kunisikiliza, A. Mwasha, Mkurugenzi (PED), Wizara ya Fedha ……………MWISHO………..

More Related