1 / 428

HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU

HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU. D’Salaam Christian Workers 25 Agosti , 2011 Mwl . Mgisa Mtebe 0713 497 654. ROHO MTAKATIFU NI NANI. Roho Mtakatifu ni ; 1. Ni Mungu Mwenyezi 2. Ni Nguvu ya Mungu 3. Roho Mtakatifu ni Mtu. UHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU. Siri ya Ushindi wetu

sharis
Download Presentation

HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. HUDUMA NA KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU D’Salaam Christian Workers 25 Agosti, 2011 Mwl. MgisaMtebe 0713 497 654

  2. ROHO MTAKATIFU NI NANI RohoMtakatifuni; 1. Ni MunguMwenyezi 2. Ni NguvuyaMungu 3. RohoMtakatifuniMtu

  3. UHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU SiriyaUshindiwetu UpokatikaKumtambuaRohoMtakatifu,katikaNafasizake; YeyeniMungu YeyeniNguvuyaMungu YeyeniMtu - Nafsihai

  4. UHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU KumtambuaRoho Mtakatifu, Kama Mtu – Kumshirikisha yote Nguvu ya Mungu – Kumtegemea Kama Mungu – Kumtii 100%

  5. ROHO MTAKATIFU NI MUNGU KutokananauthamaniwaRohoMtakatifu(delicate)natabiayakeyaumakini (sensitive)naMwitikio wake (response); Yesualijua, asipomtambulishaRohoMtakaifuvizurikwakanisa, watamdharaunakumpuuza, etikwasababuanatajwanambatatu.

  6. ROHO MTAKATIFU NI MUNGU Matokeo yake ni kwamba, Roho Mtakatifu ataumia sana na kuhuzunishwa sana; kwahiyo, na yeye atazificha nguvu zake na atazima uwezo wake na msaada wake, aliokuja nao kwa kanisa.

  7. ROHO MTAKATIFU NI MUNGU KwatabiazaRohoMtakatifu, Yaani, Kwajinsialivyomtulivu, Kwajinsialivyomtaratibu, Kwajinsialivyomkimya, Kwajinsialivyompole, na Kwajinsianavyoumiaharaka Kwa vile alivyo‘delicate’ (kama glass yathamani, lakinirahisikuvunjika,)

  8. ROHO MTAKATIFU NI MUNGU Ndio maana, Bwana Yesu alichukua muda mrefu sana, kumtambulisha Roho mtakatifu kwa kanisa, ili kanisa lisije kufanya kosa hilo, la kumtompa Roho heshima yake.

  9. ROHO MTAKATIFU NI MUNGU Pamojanaupolewake, BwanaYesupiaalijuajinsiRohoMtakatifualivyo‘verystrict’(jinsialivyonamsimamomkali sana), yaaniyuko‘verystrict’kulikoMungu Baba na ni ‘strict’ kulikoMunguMwanaBwanaYesumwenyewe.

  10. ROHO MTAKATIFU NI MUNGU Pamojanaupolewake, RohoMtakatifuyuko‘verystrict’kuliko Baba naMwana. Somamwenyeweuone, Mathayo 12:22-32

  11. SIRI YA KANISA LA LEO SiriyaKanisa la leo, ipokatika; 1. KumtambuaRohoMtakatifu 2. KumthaminiRohoMtakatifu 3. KumshirikishaRohoMtakatifu 4. KumsikilizaRohoMtakatifu 5. KumtiiRohoMtakatifu

  12. SIRI YA KANISA LA LEO Bwana Yesualisema; ‘Ulimwenguhauwezikumpokeakwasababuhaumtambui, balininyimnamtambua, kwahiyoatakaakwenunakuwa ndaniyenu’ (Yohana 14:17).

  13. SIRI YA KANISA LA LEO SiriyaKanisa la leo, ipokatika; KumbesiriyaushindinanguvuzaMungumaishanimwako, nikumjua au kumtambuanakumheshimutuRohoMtakatifu. RohoMtakatifuakipataheshimayake, anafunguliamitoya Baraka nanguvuzaMungukwako.

  14. ROHO MTAKATIFU ROHO MTAKATIFU YUKO WAPI?

  15. ROHO MTAKATIFU ROHO MTAKATIFU YUKO WAPI? Yohana 16:7

  16. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 16:7 “Lakiniaminnawaambia, yafaa Mimi niondokekwakuwanisipoondoka, huyoMsaidizi (RohoMtakatifu) hatakujakwenu, lakininikiendanitamtumakwenu.”

  17. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 7:37-39

  18. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 7:37-39 37 Siku ile ya mwisho ya Sikukuu, siku ile kuu, wakati Yesu akiwa amesimama huko, akapaza sauti Yake akasema, “Kama mtu ye yote anaona kiu na aje Kwangu anywe.

  19. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 7:37-39 39 Yesu aliposema haya alimaanisha Roho Mtakatifu ambaye wote waliomwamini wangempokea, kwani mpaka wakati huo, kwasababu …

  20. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 7:37-39 39 Roho alikuwa hajaletwa, kwa kuwa Yesu alikuwa bado hajatukuzwa (hajaondoka kwenda katika Utukufu).

  21. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17

  22. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17 12Amin, amin, nawaambia, ye yoteaniaminiye Mimi, kazinizifanyazoyeyeatazifanya, naamnakubwakulikohiziatazifanya, kwasababu Mimi ninakwendakwa Baba... 16Naminitamwomba Baba, nayeatawapaMsaidizimwingineakaenanyimilele.

  23. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17 17 Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi naye anakaa ndani yenu. 18 Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.

  24. ROHO MTAKATIFU ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI?

  25. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17 1. YupoPamojaNawe (He is with you)

  26. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yoel 2:28 ‘Katikasikuzamwisho, asema Bwana, nitamwagaRohowangujuuyawotewenyemwili’. i.e. Kilamwenyemwili, Roho Mtakatifuyupopamojanaye

  27. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17 1. YupoPamojaNawe (He is with you) Kaziyake: Kukushuhudia (Yoh 16:8)

  28. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yoh 16:8 “Huyo Roho atakapokuja, atashuhudia ulimwengu kwa habari ya dhambi, haki na hukumu.”

  29. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17 2. YupoNdaniyako (He is in you)

  30. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yoh 14:17 Kwasasa, Roho Yupo nanyi, (lakini baadaye) atakuwa ndani yenu.

  31. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Rum 8:9 Yeye asiye naye Roho, huyo si mali ya Kristo.

  32. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yoh 3:3-6 Aminiamininakwambia, mtuasipozaliwakwamajinakwaRoho, hawezikuuonaUfalmewaMungu. Kilichozaliwakwamwilinimwili, kilichozaliwakwaRohoniRoho.

  33. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Yohana 14:12-17 2. YupoNdaniyako (He is in you) Kaziyake: Kutuzaamarayapili katikaUzimawamilele.

  34. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. 3. Huwaanakujajuuyako (He is upon you) Matendo 1:8 Luka 24:49

  35. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Matendo 1:8 “LakinimtapokeanguvuakiishakuwajiliaRohoMtakatifujuuyenu, nanyimtakuwamashahidiwangu … hadimiishoyadunia.’’

  36. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Luka 24:49 “Tazamanawaleteajuuyenuahadi ya Baba Yangu (RohoMtakatifu), lakinikaeni (subirini) humumjini Yerusalemumpakamtakapovikwauwezoutokaojuu.”

  37. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Matendo 1:8 3. Huwaanakujajuuyako (He is upon you) Kaziyake: Kutupauwezo (upako) wa KuifanyakaziyaMungu.

  38. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. 1Petro 4:11 “ …Ye yoteahudumuyemanenohanabudikuhudumukwanguvuzileapewazonaMungu, iliMunguapatekutukuzwakatika mambo yotekwanjiayaYesuKristo…”

  39. ROHO MTAKATIFU YUKOJE NASI. Matendo 10:38 “ … JinsiMungualivyompakaYesuKristomafuta, kwaRohoMtakatifunaNguvu; nayeakawaakizungukakatikamijinavijiji, akiwaponyawatunakuwafunguawotewalioonewanaibilisi…”

  40. ROHO MTAKATIFU NGUVU YA MUNGU Kumbe basi; Pasipo nguvu za Mungu, (UTUKUFU) mtu wa Mungu huwezi kufanikiwa katika maisha yako hapa duniani.

  41. ROHO MTAKATIFU Kazi za Roho Mtakatifu Yohana 14:26 Yohana 16:13

  42. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 1. Kutushuhudia kuhusu Dhambi, Haki na Hukumu (Conviction)

  43. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 1. Kutushuhudia na Kutushawishi Yohana 16:7-8, Warumi 8:16, Mfano; Matendo 2:37-41 ‘wakachomwa mioyo yao’

  44. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 2. Kutuzaa mara ya Pili na Kuumba Wokovu Ndani yetu (Salvation)

  45. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 2. KutuzaaktkMaishaMapya (Wokovu/Kuokoka) Yohana 1:12-13, Yohana 3:3-6, 1Wakorintho 12:3 Mfano; Matendo 2:37-41 ‘wakachomwamioyoyao’

  46. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 3. Kutujaza Nguvu za Mungu Ndani yetu na Juu yetu (Power)

  47. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 3. KutujazaNguvuzaMungu Luka 24:49, Matendo 1:8 Mfano; Luka 4:1,14, 18-19 ‘AkatembeakwaNguvuzaRohonakuwamtumaarufuktkUyahudi’

  48. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 4. Kutuongoza katika Maisha ya Kila siku (Guide)

  49. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 4. KutuongozanaKutupashahabari Yohana 16:13, Warumi 8:14 Mfano; Matendo 16:6; ‘WakakatazwanaRohokwendakuhubiri Asia, nao wakatii!’

  50. KAZI ZA ROHO MTAKATIFU 5. Kutufundisha Neno la Mungu kwa Ufunuo (Revelation)

More Related