Huduma
Download
Sponsored Links
This presentation is the property of its rightful owner.
1 / 27

Huduma za Huduma Fasta MFANO Jinsi ya kutumia Huduma zetu PowerPoint PPT Presentation


 • 103 Views
 • Uploaded on
 • Presentation posted in: General

Huduma za Huduma Fasta MFANO Jinsi ya kutumia Huduma zetu. Huduma za Huduma Fasta . Real Estate Nafasi za kazi Burudani mbalimbali Usafiri Bei za bidhaa masokoni Kuuza na Kununua mazao Uuzaji wa magari Kutuma taarifa mbalimbali (Taarifa Fasta) Utumaji wa message kwa kutumia Kompyuta.

Download Presentation

Huduma za Huduma Fasta MFANO Jinsi ya kutumia Huduma zetu

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation

Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author.While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server.


- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -

Presentation Transcript


Huduma za huduma fasta mfano jinsi ya kutumia huduma zetu

HudumazaHudumaFasta

MFANOJinsiyakutumiaHudumazetu


Huduma za huduma fasta

Huduma za Huduma Fasta

 • Real Estate

 • Nafasi za kazi

 • Burudani mbalimbali

 • Usafiri

 • Bei za bidhaa masokoni

 • Kuuza na Kununua mazao

 • Uuzaji wa magari

 • Kutuma taarifa mbalimbali (Taarifa Fasta)

 • Utumaji wa message kwa kutumia Kompyuta


Real estate

REAL ESTATE

 • Kwenye huduma hii kuna Nyumba za kupanga, nyumba za kununua, mashamba au viwanja vya kununua/kukodi/kuuza, vyumba vya biashara na vya kupangisha .


Nyumba za kupanga

REAL ESTATE ...

Nyumba za kupanga

KWA DAR ES SALAAM

 • Andika Panga Nyumba (Eneo Husika)

  Mf: Panga Nyumba Tabata kwenda 15450.


Real estate1

REAL ESTATE ...

 • Andika: Panga apartment (Eneo husika) kwenda 15450

  Mf: Panga Apartment Masaki kwenda 15450

Apartment za kupanga


Frame za kupanga

REAL ESTATE ...

Frame za kupanga

 • Andika: Panga Frame (Eneo) kwenda 15450

 • Mf Panga Frame Ukonga kwenda 15450


Real estate2

REAL ESTATE ...

Nyumba za kununua

 • Andika: Nunua Nyumba (eneo) kwenda 15450

 • Mf: Nunua Nyumba Mwananyamala kwenda 15450


Huduma za huduma fasta mfano jinsi ya kutumia huduma zetu

REAL ESTATE ...

Viwanj au Mashamba ya kununua

 • Andika: Nunua kiwanja/shamba (eneo) kwenda 15450

 • Mf: Nunua Kiwanja kigamboni kwenda 15450


Real estate3

REAL ESTATE ...

Kwa Mikoani

 • Huduma hii pia inapatikana mikoani kwa utaratibu tofauti na Dar es salaam. Mteja atatakiwa kuandika aina ya huduma anayoihitaji, jina la wilaya na jina la mtaa husika.


Real estate4

REAL ESTATE ...

Nyumba za kupanga

 • Andika Panga Nyumba (jina la wilaya na mji) kwenda 1540

 • Mf Panga Nyumba mbeya mabatini tuma kwenda 15450.


Real estate5

REAL ESTATE ...

Apartment za kupanga

 • Andika: Panga apartment (wilaya na mji) kwenda 15450

 • Mf: Panga Apartment Njombe Makambako kwenda 15450


Real estate6

REAL ESTATE ...

Frame za kupanga

Andika: Panga Frame (wilaya na mji) kwenda 1540

Mf Panga: Panga Frame Morogoro Kihonda kwenda 15450


Real estate7

REAL ESTATE ...

Nyumba za kununua

Andika: Nunua Nyumba (wilaya na mji) kwenda 15450

Mf: Nunua Nyumba Iringa Kihesa kwenda 15450


Real estate8

REAL ESTATE ...

Mashamba ya kununua

Andika: Nunua kiwanja (wilaya na mji) 15450

Mf: Nunua Kiwanja Bagamoyo Chalinze kwenda 15450


Nafasi za kazi

NAFASI ZA KAZI

 • Huduma Fasta tunatoa taarifa za wapi kazi ilipo ili mtu aweze kuomba, unachotakiwa ni kufuata maelezo yafuatayo.


Nafasi za kazi1

Nafasi za kazi...

Andika: Kazi (Taaluma yako) kwenda 15450

Mf Kazi Mhasibu kwenda 15450


Huduma za huduma fasta mfano jinsi ya kutumia huduma zetu

Burudani mbalimbali

Huduma Fasta wanakupa taarifa ni sehemu gani kuna burudani au wapi uende ukale bata. Huduma Fasta wanakupa ratiba ya bendi/kumbi/msanii(wasanii) mbalimbali na siku husika


Huduma za huduma fasta mfano jinsi ya kutumia huduma zetu

Burudani mbalimbali ...

Andika: Ratiba eneo husika na siku kwenda 15450

Mf: Ratiba Mbalamwezi Jumamosi, au

Andika: Ratiba msanii/band na siku kwenda 15450

Mf Ratiba B Band Jumapili, au

Andika: Ratiba Eneo na Siku kwenda 15450

Mf: Ratiba Maisha Jumapili


Huduma za usafiri

HUDUMA ZA USAFIRI

 • Huduma Fasta tunatoa taarifa za usafiri wa aina mbalimbali kama ilivyoonyeshwa hapa chini: Usafiri wa teksi, magari ya maji taka na maji safi, usafiri wa breakdown na usafiri wa mabasi madogo ya kukodishwa


Huduma za usafiri1

HUDUMA ZA USAFIRI ...

Andika: Usafiri (Aina ya usafiri) (eneo) kwenda 15450

egUsafiri Teksi makumbusho kwenda 15450

Usafiri majitaka sayansi kwenda 15450

Usafiri basi Kinondoni kwenda 15450

Usafiri roli Tegeta kwenda 15450

Usafiri breakdown mwenge kwenda 15450

Usafiri pickup Magomeni kwenda 15450


Taarifa za bei za mazao masokoni

TAARIFA ZA BEI ZA MAZAO MASOKONI ...

Katika Huduma ya taarifa za mazao sokoni, BR Solutions inatoa taarifa ya bei ya bidhaa mbalimbali kwenye masoko mbalimbali nchini ikiwa imeanzia na DSM. Kwa kupata taarifa hizo tuma ujumbe mfupi kupitia simu yako ya mkononi kwenda 15450 kama ilivyoanishwa hapa chini


Taarifa za bei za mazao masokoni1

TAARIFA ZA BEI ZA MAZAO MASOKONI ...

Andika: Bei (aina ya bidhaa) (soko husika) kwenda 15450

Mf: Bei Mchele Tandika kwenda 15450

Bei Mahindi Tandale kwenda 15450

Bei viazi Kariakoo kwenda 15450

Bei Maharage Mwenge kwenda 15450


Kuuza na kununua mazao

KUUZA NA KUNUNUA MAZAO

BR Solutions kupitia Huduma Fasta inatoa taarifa mbalimbali kwa wakulima au wafanyabiashara wa mazao na wanunuzi wa mazao kutoka maeneo mbalimbali Tanzania.


Kuuza na kununua mazao1

KUUZA NA KUNUNUA MAZAO ...

 • Wauzaji

  Andika: uza mazao (aina ya zao) (eneo) tuma kwenda 15450

  Mf. Uza mazao mchele kyela kwenda 15450

 • Wanunuzi

  Andika: nunua mazao (aina ya zao) (eneo) tuma kwenda 15450.

  Mf. nunua mazao mahindi Iringa kwenda 15450.


Uuzaji wa magari

Uuzaji wa magari

Huduma Fasta tunakupa taarifa za muhimu unapotaka kununua gari pamoja na vielelezo vya gari lenyewe. Ni rahisi kwa kufuata utaratibu ufuatao:-

Mfano : nunua gari Toyota au nunua gari RAV4

kwenda 15450


Taarifa

Taarifa

 • BR Solutions inakupa urahisi zaidi kwa mteja kuweza kusajili bidhaa zako kwenye mtandao wa BR Solutions Ltd.

 • Mteja unachotakiwa kufanya ni kutuma neno taarifa na maelezo husika kwenda namba 15450 na baada ya uhakiki BR Solutions watakutaarifu kuwa taarifa zako zipo tayari kwa watu kuweza kuzitumia

 • Andika: Taarifa maelezo Husika

 • Mf: Taarifa Kuuza Nyumba Mbagala

 • Taarifa kuuza Gari Mark II GX110 Iringa

 • Taarifa kuuza samani za ndani zilizotumika

 • Taarifa Akudo Impact TCC chang’ombe tarehe 5/04/2012 kiingilio 10,000


Huduma za huduma fasta mfano jinsi ya kutumia huduma zetu

PUSH TEXT MESSAGES

 • Huduma hii inakuwezesha kutuma ujumbe mfupi kwa mtu mmoja na kuendelea kwa ajili ya kufikisha taarifa mbalimbali. Kwa makampuni kama Taasisi za fedha wanaweza kutumia huduma hii kuwataarifu wateja wao kuhusiana na marejesho ya mikopo yao, kiwango cha mikopo kilichobaki, mikutano kwa wateja n.k. na kutoa taarifa mbalimbali

 • Kwa makampuni kama DAWASCO na mengineyo, huduma hii inawawezesha kutuma na kuwataarifu wateja wao kuhusu kiasi cha bili wanachopaswa kulipa, madeni na pia kuwatumia wateja taarifa muhimu wazotaka wateja wazipate.


 • Login