zaka na sadaka ibada na sadaka n.
Download
Skip this Video
Loading SlideShow in 5 Seconds..
ZAKA NA SADAKA (IBADA NA SADAKA) PowerPoint Presentation
Download Presentation
ZAKA NA SADAKA (IBADA NA SADAKA)

Loading in 2 Seconds...

play fullscreen
1 / 120

ZAKA NA SADAKA (IBADA NA SADAKA) - PowerPoint PPT Presentation


  • 551 Views
  • Uploaded on

ZAKA NA SADAKA (IBADA NA SADAKA) . Azania Front Cathedral 9-16-23 January, 2011 Na Mwl . Mgisa Mtebe 0713 497 654. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA . IBADA NA SADAKA Waebrania 7:1-10. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA . Waebrania 7:1-10

loader
I am the owner, or an agent authorized to act on behalf of the owner, of the copyrighted work described.
capcha
Download Presentation

PowerPoint Slideshow about 'ZAKA NA SADAKA (IBADA NA SADAKA)' - tyrell


An Image/Link below is provided (as is) to download presentation

Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author.While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server.


- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -
Presentation Transcript
zaka na sadaka ibada na sadaka
ZAKA NA SADAKA(IBADA NA SADAKA)

Azania Front Cathedral

9-16-23 January, 2011

Na

Mwl. MgisaMtebe

0713 497 654

kusudi la mungu kwa kanisa
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

IBADA NA SADAKA

Waebrania 7:1-10

kusudi la mungu kwa kanisa1
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

1 Kwa kuwa huyu Melkizedeki alikuwa Mfalme waSalemu na Kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Abrahamu akirudi katika kuwapiga na kuwashinda hao wafalme; naye Melkizedeki akambariki,

kusudi la mungu kwa kanisa2
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

2 na Abrahamu akampa Melkizedeki “sehemu moja ya kumi (Zaka)” ya kila kitu. Jina hilo Melkizedeki maana yake, “Mfalme wa haki,” pia “Mfalme wa Salemu” maana yake “Mfalme wa amani (Salama).”

kusudi la mungu kwa kanisa3
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

3 (HuyoMelkizedeki, Mfalmewa Salem; )Hana Baba nawalahana mama; hanaukoo, hanamwanzowalamwishowasikuzake, nikamaMwanawaMungu; nayeyeadumukuhanimilele.

kusudi la mungu kwa kanisa4
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

4Tazamajinsialivyokuwamkuu! HataAbrahamu, babayetumkuu, alimpamojayakumi (Zaka) yanyarazakezotealizozitekakulevitani, alipokuwaakipiganana wale wafalme, kwaajiliyaLutu, mpwa wake.

kusudi la mungu kwa kanisa5
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

5 Basi sheria inawaagiza wana wa Lawi, wale ambao hufanyika makuhani, hupokea sehemu moja ya kumi kutoka watu ambao ni ndugu zao (yaani yale makabila 11 mengine, katika watoto 12 wa Yakobo)

kusudi la mungu kwa kanisa6
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

6 Huyu Melkizedeki, ingawa hakufuatia ukoo wake kutoka kwa Lawi, lakini alipokea moja ya kumi kutoka kwa Abrahamu na kumbariki yeye aliyekuwa na zile ahadi (yaani Abrahamu).

kusudi la mungu kwa kanisa7
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

7 Wala hakuna shaka kwamba mdogo hubarikiwa na aliye mkuu kuliko yeye (Kwamba Melkizedeki, ni Mkuu kuliko Ibrahim).

kusudi la mungu kwa kanisa8
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

8 Kwa upande mmoja, sehemu moja ya kumi (yaani Zaka) hupokelewa na wanadamu ambao hupatikana na kufa (yaani Walawi au Makuhani) …

kusudi la mungu kwa kanisa9
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

8 … lakini kwa upande mwingine (Zaka, yaani sehemu ya kumi), pia hupokelewa na Mungu, Yeye ambaye hushuhudiwa kuwa yu hai (Yaani Mungu).

kusudi la mungu kwa kanisa10
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

9 (Kwahiyo) Mtu anaweza hata kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu moja ya kumi (Zaka), naye pia alitoa hiyo sehemu moja ya kumi, kupitia kwa Abrahamu,

kusudi la mungu kwa kanisa11
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

10kwasababu, MelkizedekialipokutananaAbrahamu, Lawialikuwandani, katikaviunovyababayake (Yakobo, ambayepiaalikuwandaniyaIsaka, ambayepiaalikuwandani, katikaviunovyaAbrahamu).

kusudi la mungu kwa kanisa12
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Waebrania 7:1-10

10Kwahiyo, IbrahimualipotoaZakayavituvyakevyotekwaMelkizedeki, ndiokusema, naLawipia, alitoaZakakupitiakwaIbrahimu, angalibadoyukatikakiuno cha babuyake (hatakablayakuzaliwakwakeduniani).

kusudi la mungu kwa kanisa13
KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

IBADA NA SADAKA

Yohana 4:23-24

sifa na ibada kwa mungu1
SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zaburi 22:3

Wewe U Mtakatifu, nawe

“UNAKETI”juuyasifaza Israel

“Inhabit” “Unaishi”

sifa na ibada kwa mungu2
SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zab 22:3

IDABAndiokitu cha kwanza kabisakatikamoyowaMungu, kwasababu

MUNGU ANAISHI KATIKA

IBADAnaSIFA.

sifa na ibada kwa mungu3
SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zaburi 22:3

Wewe U Mtakatifu, nawe

“UNAKETI”juuyasifaza Israel

“Inhabit” “Unaishi”

kanisa la mtu binafsi
KANISA LA MTU BINAFSI

ZABURI 150:1-6

6Kila mwenye pumzi amsifu Bwana, kwa sauti kuu, kwa zeze, kwa filimbi, kwa zomari, kwa matari, kwa vinubi na kwa matoazi yavumayo sana.

sifa na ibada kwa mungu4
SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu

Kuhani Ibada Nchi

Adam

zaka na sadaka
ZAKA NA SADAKA

Walawi 6:8-13

12 Moto ulio juu ya madhabahu (ibada) lazima uwe unaendelea kuwaka juu ya madhabahu, siku zote, na kamwe usizimike.

(Masaa 24 bila kukatika)

zaka na sadaka1
ZAKA NA SADAKA

Walawi 6:8-13

13 Moto (wa ibada) lazima uendelee kuwaka juu ya madhabahu mfululizo(Kwa Masaa 24 bila kukatika), na kamwe usizimike!

sadaka na ibada kwa mungu
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Nafasi ya

SadakakatikaIbada

zaka na sadaka2
ZAKA NA SADAKA

Kumbukumbu 18:1-5

1 Makuhani na kabila lote la Lawi hawatakuwa na mgao wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya BWANA; na huo ndio urithi wao.

zaka na sadaka3
ZAKA NA SADAKA

Kumbukumbu 18:1-5

2 Hawatakuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao, BWANA ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.

zaka na sadaka4
ZAKA NA SADAKA

Kumbukumbu 18:1-5

3Hilindilofungu la makuhanikutokakwawatuwatakaotoadhabihuyang’ombe au kondoo: mguuwambele, mashavumawilinamatumbo.

zaka na sadaka5
ZAKA NA SADAKA

Kumbukumbu 18:1-5

4Mtawapamalimbukoyanafakazenu, divaimpya, mafutanasufuya kwanza kutokamanyoyayakondoozenu;

zaka na sadaka6
ZAKA NA SADAKA

Kumbukumbu 18:1-5

5kwakuwa BWANA Munguwenuamewachaguapamojanawazaowaokutokamakabilayenukusimamanakuhudumukatikajina la BWANA sikuzote.

mzunguko wa baraka
MZUNGUKO WA BARAKA

2Kor 9:6-8, 11

Mungu

Kuhani Nchi

Adam

Kumb 18:1-5

Kumb 8:6-18

Lawi 6:12-13

Lawi 26:3-7

Malaki 3:7-12

Hagai 1:5-11

sadaka na ibada kwa mungu1
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kazi yoyote inayofanywa na kanisa (makuhani) ili Mungu apewe ibada na utukufu anaostahili, kazi hiyo ikichechemea, kwa namna yoyote, basi mimi na wewe hatuwezi kubarikiwa katika maisha yetu wala katika kazi zetu.

sadaka na ibada kwa mungu2
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Na utaratibu ambao Mungu aliuweka kwa ajili ya kuitunza ofisi yake duniani (kanisa) ni

Watu wake kutuoa sehemu za mali zetu kwake (Zaka na Sadaka) katika namna ya kuonyesha heshima na upendo wetu kwake

zaka na sadaka7
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

7Tangusikuzababazenu, mmegeukiambalinaamrizangu, nanyihamkuzishika.

8 ‘‘Mnaniibiazakanadhabihu.

9Hivyommkochiniyalaana, ninyitaifalote, kwasababumnaniibiamimi.

zaka na sadaka8
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, asema BWANA Mwenye Nguvu;

zaka na sadaka9
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

10 Nijaribuni katika hili,’’ asema BWANA Mwenye Nguvu, ‘‘nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi mpaka mkose nafasi ya kutosha au la.

zaka na sadaka10
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

11Namikwaajiliyenunitamkemeayeyealaye, walahataharibumazaoyaardhiyenu, walamzabibuwenuhautapukutishamatundayakekablayawakati wake,’’ asema BWANA MwenyeNguvu.

zaka na sadaka11
ZAKA NA SADAKA

12 ‘‘Ndipo mataifa yote watawaita ninyi, mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,’’ asema BWANA Mwenye Nguvu.

sadaka na ibada kwa mungu3
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwahiyo, Utaratibu ambao Mungu aliuweka kwa ajili ya kuitunza ofisi yake duniani (kanisa) ni

Watu wake kutuoa sehemu za mali zetu kwake (Zaka na Sadaka) katika namna ya kuonyesha heshima na upendo wetu kwake

zaka na sadaka12
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

Tunamwibia?

zaka na sadaka13
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

7Tangusikuzababazenu, mmegeukiambalinaamrizangu, nanyihamkuzishika.

8 ‘‘Mnaniibiazakanadhabihu.

9Hivyommkochiniyalaana, ninyitaifalote, kwasababumnaniibiamimi.

sadaka na ibada kwa mungu4
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kuiba; ni kuchukua mali au kitu kisicho chako (kutokuachilia, mali ya mtu).

Kunyima; ni kuzuia mali au kitu kiilicho chako (kuto-kuachilia, mali yako kwa mtu mwingine)

sadaka na ibada kwa mungu5
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Uwe mwanagalifu sana na mwaminifu katika mali hii, kwasababu,

ZAKA sio yako!

ZAKA ni ya Mungu!

Zaka ni takatifu!

zaka na sadaka14
ZAKA NA SADAKA

10 = 1 + 9

ZAKA + MATUMIZI

(Dhabihu)

zaka na sadaka15
ZAKA NA SADAKA

ZAKA Ya Mungu.

Dhabihu Ya Kwako.

zaka na sadaka16
ZAKA NA SADAKA

ZAKADhabihu

Ya Mungu.Ya Kwako.

1 9

‘Unarudisha’ ‘Unatoa’

zaka na sadaka17
ZAKA NA SADAKA

Kwanini vitu 10?

zaka na sadaka18
ZAKA NA SADAKA

Kwanini vitu 10?

Katika maisha mahesabu ya vitu vyote yapo katika tarakimu 10 tu.

zaka na sadaka19
ZAKA NA SADAKA

0

9

1

8

2

7

3

4

6

5

zaka na sadaka20
ZAKA NA SADAKA

Kwanini vitu 10?

Katika mduara, namba kumi (10) ndiyo inayokamilisha mzunguko kamili.

zaka na sadaka21
ZAKA NA SADAKA

10

9

1

8

2

7

3

4

6

5

zaka na sadaka22
ZAKA NA SADAKA

Kwanini vitu 10?

Pasipo ile namba kumi (10) seti au duara linakuwa si kamilifu (hakijakamilika).

zaka na sadaka24
ZAKA NA SADAKA

10

9

1

8

2

7

3

4

6

5

zaka na sadaka25
ZAKA NA SADAKA

10

1

9

2

8

3

7

6

4

5

zaka na sadaka26
ZAKA NA SADAKA

Kwanini vitu 10?

Yaani; Mungu ndiye ukamilifu wa maisha ya Mwanadamu.

zaka na sadaka27
ZAKA NA SADAKA

UnapotoaZAKA (Sehemu ya Kumi) ya vitu vyako (mali zako), unathamini na kuheshimunafasi ya Mungu katika maisha yako, kwamba;

Mungu ndiye ukamilifu wako.

zaka na sadaka28
ZAKA NA SADAKA

Kwanini vitu 10?

Yaani; Mungu ndiye ukamilifu wa maisha ya Mwanadamu.

zaka na sadaka29
ZAKA NA SADAKA

Walawi 27:30-31

31 Tena Zaka yote ya nchi, kama ni Zaka ya mbegu, kama ni matunda ya nchi, ni ya BWANA, na ni TAKATIFUkwa Bwana.

zaka na sadaka30
ZAKA NA SADAKA

Kwahiyo, uwe mwanagalifu sana na mwaminifu katika fedha na mali hizi tunazopata;

kwasababu …

ZAKA (1/10) yote ni ya Mungu

Hivyo, Zaka ni takatifu

zaka na sadaka31
ZAKA NA SADAKA

ZAKADhabihu

Ya Mungu.Ya Kwako.

1 9

‘Unarudisha’ ‘Unatoa’ (Haibariki) (Inabariki)

sadaka na ibada kwa mungu6
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

sadaka na ibada kwa mungu7
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

sadaka na ibada kwa mungu8
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

Marupurupu 160,000

sadaka na ibada kwa mungu9
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

Marupurupu 160,000

Kuku/Mayai 130,000

sadaka na ibada kwa mungu10
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

Marupurupu 160,000

Kuku/Mayai 130,000

Soda 110,000

sadaka na ibada kwa mungu11
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

Marupurupu 160,000

Kuku/Mayai 130,000

Soda 110,000

Mengineyo 100,000

sadaka na ibada kwa mungu12
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

Marupurupu 160,000

Kuku/Mayai 130,000

Soda 110,000

Mengineyo 100,000

JUMLA 1,000,000 .

sadaka na ibada kwa mungu13
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Zaka yako.

Jumla1,000,000 =

10

sadaka na ibada kwa mungu14
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Zaka yako.

Jumla1,000,000 =

10

100,000

sadaka na ibada kwa mungu15
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Walawi 27:30-31

30 Tena Zaka yote ya nchi, kama ni Zaka ya mbegu, kama ni matunda ya nchi, ni ya BWANA, na ni TAKATIFU kwa Bwana.

sadaka na ibada kwa mungu16
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Watu wa Mungu wakielewa, nafasi ya sadaka katika maisha yao, watatoa mali zao kwa heshima na utii, na kwa moyo wa furaha, katika kuifanya kazi ya Mungu. Na kazi ya Mungu inakwenda vizuri, nasi sote tunabarikiwa sana.

sadaka na ibada kwa mungu17
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa kadri kila mtu alivyojaliwa na Mungu, anatakiwa kutoa matoleo haya kwa heshima na kwa upendo, kwasababu ya ukuu na wema wa Mungu maishani mwetu, ambao hatuwezikuulipa.

sadaka na ibada kwa mungu18
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Aliyejaliwa kidogo, katika hicho hicho kidogo, ampe Mungu iliyo yake; na kwa aliyejaliwa vingi, katika hivyo vingi, naye pia ampe Mungu sehemu yake, kwa heshima na upendo.

sadaka na ibada kwa mungu19
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Walawi 27:30-31

31 Na kama mtu akitaka kukomboa chochote cha Zaka yake, ataongeza sehemu ya

tano (1/5) juu yake.

“cha juu”

sadaka na ibada kwa mungu20
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Zaka yako.

1 X 100,000=

5

sadaka na ibada kwa mungu21
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Zaka yako.

1 X 100,000= 20,000

5

sadaka na ibada kwa mungu22
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Zaka yako.

100,000 (Zaka)

+ 20,000 (Riba)

sadaka na ibada kwa mungu23
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Zaka yako.

100,000 (Zaka)

+ 20,000 (Riba)

120,000 (Z’Kamili)

zaka na sadaka32
ZAKA NA SADAKA

ZAKA HUTOLEWA WAPI?

Malaki 3:10-12

zaka na sadaka33
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, asema BWANA Mwenye Nguvu;

sadaka na ibada kwa mungu24
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Malaki 3:7-12

NGUVU YA SADAKA

(ZAKA + DHABIHU)

zaka na sadaka34
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, asema BWANA Mwenye Nguvu;

zaka na sadaka35
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

10 Nijaribuni katika hili,’’ asema BWANA Mwenye Nguvu, ‘‘nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi mpaka mkose nafasi ya kutosha au la.

sadaka na ibada kwa mungu25
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Malaki 3:7-12

ZAKA + DHABIHU

sadaka na ibada kwa mungu26
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Malaki 3:7-12

ZAKA + DHABIHU

NITAFUNGUA + KUMWAGA

sadaka na ibada kwa mungu27
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Malaki 3:7-12

ZAKA + DHABIHU

KUFUNGUA + KUMWAGA

Hagai 1:5-11

sadaka na ibada kwa mungu28
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Malaki 3:7-12

ZAKA + DHABIHU

KUFUNGUA + KUMWAGA

(Haibariki) (Inabariki)

nguvu ya sadaka
NGUVU YA SADAKA

Malaki 3:7-12

1. Kufunguambingu

2. Kumwaga Baraka

kutembea na nguvu za mungu

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

Kwahiyo, Sadaka yako, ina nguvu ya kukufunguliafursa(nafasi)ambazo kikawaida, usingezipata wewe au kwa juhudi zako. Na pia sadaka yako ina nguvu ya kukumwagia baraka mbalimbali za kukufanikisha zaidi kimaisha.

zaka na sadaka36
ZAKA NA SADAKA

Malaki 3:7-12

11Namikwaajiliyenunitamkemeayeyealaye, walahataharibumazaoyaardhiyenu, walamzabibuwenuhautapukutishamatundayakekablayawakati wake,’’ asema BWANA MwenyeNguvu.

nguvu ya sadaka1
NGUVU YA SADAKA

Malaki 3:7-12

1. Kufunguambingu

2. Kumwaga Baraka

3. UpakowaKushinda Vita

kutembea na nguvu za mungu1

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

Kwahiyo, Sadaka yako, ina nguvu ya kufungulia upako maalumu (msaada wa Roho Mtakatifu) ili kukuwezesha kuendelea kupigana na adui zako katika vita vya kiroho tulivyonavyo duniani na kushinda!

malaki 3 7 12
Malaki 3:7-12

12 ‘‘Ndipo mataifa yote watawaita ninyi, mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,’’ asema BWANA Mwenye Nguvu.

nguvu ya sadaka2
NGUVU YA SADAKA

Malaki 3:7-12

1. Kufunguambingu

2. Kumwaga Baraka

3. UpakowaKushinda Vita

4. Kukutofautisha.

nguvu ya sadaka3

NGUVU YA SADAKA

Kutoka 9: 4, 26

Nami nitaweka tofauti kati ya Wamisri na Waebrania.

(Mambo yatakayowapata Wamisri hayatawapata Waebrania)

nguvu ya sadaka4

NGUVU YA SADAKA

Mathayo 6:26-33

Mnahangaikia Chakula? Mavazi?

Waangalieni Ndege na Maua … Ninyi utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu … hayo mengine nitawazidishia.

nguvu ya sadaka5

NGUVU YA SADAKA

Zekaria 8:20-23

‘Katika siku hizo, watu 10 wa mataifa mbalimbali, wataushika upindo wa nguo wa Myahudi (Mkristo) mmoja na kusema, tutakwenda pamoja nawe, kwa maana tumesikia Mungu yupo pamoja nanyi’

nguvu ya sadaka6

NGUVU YA SADAKA

Daniel 1:17

17 Na katika habari za hao vijana waliompenda Mungu, Daniel, Shadrack, Meshack, na Abednego, Mungu aliwapa akili, busara na maarifa; na kuwa bora zaidi, mara 10 kuliko werevu wote, waganga wote na wachawi wote wa Babeli.

kutembea na nguvu za mungu2

KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU

Kwahiyo, Sadaka yako, ina nguvu ya kukufanya uwe tofauti na watu wengine, ukawa bora zaidi katika utendaji, akili na maarifa, masomo, afya, uchumi, familia, ulinzi, n.k. kwa Utukufu wa Mungu wako.

zaka na sadaka37
ZAKA NA SADAKA

Kwa mfano;

Ujenzi wa Nyumba (Hema)

ya Mungu Jangwani

Kumb 36:2-7

sadaka na ibada kwa mungu29
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kumb 36:2-7

Wajenzi wa hekalu wakamwambia Musa, watu wameleta sadaka nyingi sana na kuzidi, kuliko tulivyokuwa tunahitaji. Tumewazui, lakini hawataki, nao bado wanaleta tu.

sadaka na ibada kwa mungu30
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kumb 36:2-7

Tunaomba wewe Baba, labda watakusikia; Ndipo Musa akatoa amri, kwamba watu wasilete tena matoleo kwa ajili ujenzi wa hema ya ibada, kwasababu walikuwawameleta vingi sana na kuzidi.

sadaka na ibada kwa mungu31
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kumb 36:2-7

… Hivyo watu wakazuiliwa kuleta zaidi, 7 kwa sababu vitu vilivyokuwa vimeletwa, tayari vilikuwa vimetosha, na hata kuzidi sana, kwa ajili ya kuifanya kazi yote.

sadaka na ibada kwa mungu32
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Watu wa Mungu waliomheshimu Mungu, walitoa mali zao, kuliko hata bajeti iliyokuwa inahitajika kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya Mungu kule jangwani.

kwahiyo
Kwahiyo …

Watu wa Mungu wakielewa, nafasi ya sadaka katika maisha yao, watatoa mali zao kwa heshima na utii, na kwa moyo wa furaha, katika kuifanya kazi ya Mungu. Na kazi ya Mungu itakwenda vizuri, nasi sote tunabarikiwa sana.

sadaka na ibada kwa mungu33
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Huu ndio utaratibu ambao Mungu aliuweka kwa ajili ya kuitunza ofisi yake duniani (kanisa).

Malaki 3:10-12

sadaka na ibada kwa mungu34
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Na Mungu anawapenda, wale wanatoa mali zao kwa heshima na utii, na kwa moyo wa furaha, katika kuifanya kazi yake.

2 Wakorintho 9:6-7

ibada na utoaji

IBADA NA UTOAJI

2 Wakorintho 9:6-8, 11

6 Kumbukeni kwamba: Ye yote apandaye kwa uchache pia atavuna kwa uchache, naye apandaye kwa ukarimu pia atavuna kwa ukarimu.

ibada na utoaji1

IBADA NA UTOAJI

2 Wakorintho 9:6-8, 11

7 Kila mtu atoe kama anavyokusudia moyoni mwake, si kwa uchoyo au kwa kulazimishwa, kwa maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu.

ibada na utoaji2

IBADA NA UTOAJI

2 Wakorintho 9:6-8, 11

8 Naye Mungu aweza kuwapa kila baraka kwa wingi, ili katika mambo yote kila wakati, mwe na kila kitu mnachohitaji, ili mweze kushiriki kwa wingi katika kila kazi njema. …

sadaka na ibada kwa mungu35
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 500,000

Kodi - 60,000

440,000

Pension - 50,000

390,000

sadaka na ibada kwa mungu36
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Baki 390,000

Mkopo - 100,000

290,000

sadaka na ibada kwa mungu37
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Mshahara 290,000

Posho 140,000

Mayai 140,000

Soda 130,000

Mengineyo 100,000

sadaka na ibada kwa mungu38
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Jumla 800,000

sadaka na ibada kwa mungu39
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Jumla 800,000

10

sadaka na ibada kwa mungu40
SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Kwa mfano; Mapato yako.

Jumla 800,000 = 80,000

10

mafundisho mengine
Mafundisho Mengine

Mwalimu Mgisa Mtebe ana Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho ya Neno la Mungu, yanayoweza kukujenga na kukuimarisha sana kiroho, ili uwe na maisha ya ushindi na yenye mafaniko mazuri.

mafundisho mengine1
Mafundisho Mengine

Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

Azania Front Cathedral

Luther House, Sokoine Drive

Dar es Salaam.

kwa mawasiliano zaidi
Kwa mawasiliano zaidi,

Mwl. Mgisa Mtebe

(Christ Rabbon Ministry)

P. O. Box 837,

Dar es Salaam, Tanzania.

+255 713 497 654

+255 784 497 654

mgisamtebe@yahoo.com