1 / 23

Imeandaliwa na Fatuma Semgaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu .

Mazingira ya Haki za Wanawake Tanzania na Mapendekezo ya Haki za Wanawake kwenye Katiba mpya. Imeandaliwa na Fatuma Semgaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Utangulizi.

dyani
Download Presentation

Imeandaliwa na Fatuma Semgaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu .

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Mazingira yaHakiza Wanawake Tanzania na MapendekezoyaHakiza Wanawake kwenyeKatibampya. Imeandaliwa na FatumaSemgaya Kituo cha Sheria na Haki zaBinadamu.

  2. Utangulizi Tanzania nimiongonimwanchizaAfrikaambazozimeridhiamikatabayakimataifambalimbaliambazozinawalindawanawakekwanamnamoja au nyingine. Ipomikatabayakimataifa na yakibaratofautitofautiinayoainishaHakizawanawake Kwa leotunaangaliamazingirayahakiza Wanawake Tanzania,kunasheriaambazozinazowalindawanawake Tanzania na

  3. Hakiza Wanawake kwenyesheriaza Tanzania KatibayaJamuhuriyamuunganowa Tanzania, Ibaraya 12(usawawabinadamu), Ibaraya 13 (Usawambeleyasheria - ubaguzi) Sheriayandoa, suraya 29. Kifungu 66 (kinakataza kumchapa viboko mwenzi katika ndoa. Hivyo endapo mtu atamchapa mkewe ama mumewe ni kosa kisheria) SheriayaKuzuiaMaambukiziyaUkimwi(kulindamaambukiziyakusudi, usiriwataarifa) SheriayakuzuiaUsafirishajiwaWatuyamwaka2008

  4. Hakiza Wanawake…. Sheriayamakosayajinaisuraya 16 mabadilikoya 1998 (k.130 ubakaji, k.135 shambulio la aibu, k.138 A-D unyanyasajiwaaina zote,k157 kufanyamapenzikinyume cha maumbile, k.169A ukeketaji ). PiakinaainishaainanyinginezamakosakamaKupigana, kuumizana, k.89A kutoavitisho, K.240 -243 mashambulio

  5. Mazingira yanayopelekeaukiukwajiwaHakiza Wanawake Tanzania VitendovyaukatiliwaKijinsiakamaambavyovilivyoainishwakwenyeTamko la Umoja wa Mataifa la Uondoshaji wa Ukatili Dhidi ya Wanawake la mwaka 2005 ( the United Nations Declaration on the Elimination of Violence against Women (UNFPA, 2005)], limetafsiri Ukatili kumaanisha: “Kitendo chochote cha ukatili kuhusu jinsia, ambacho kinaweza kusababisha madhara/maumivu ama mateso ya kimwili au kisaikolojia kwa mwanamke, ikiwa ni pamoja na vitendo vya kutishia, kulazimisha, kunyima uhuru, bila kujali vimefanywa kisiri ama kwenye kadamnasi.”

  6. Vitendoyaukatilikwawanawake. Ukatiliwakutumianguvu (kumpigamakofi, mateke, na kumchapa) - Ukatiliwakisaikolojia (kusema mambo yanayo Kufanyakujisikiamdogo,kuku nyanyasa, kukusimanga) kulazimisha na kushinikizakufanyanayemapenzi/tendo la ndoa

  7. Inaendelea……. Ukatiliwakiuchumi(kukunyimamahitajimuhimu na fedhazakujikimu, kukuzuiakufanyakazi) Kukuwekachiniyake(kukuwekambali na ndugu au marafiki, kuchunguzamwenendowako, kusimamia na kuzuiaupatikanajiwakowataarifa au msaada) Ukatiliunaotokanana mila na desturi :Ukeketaji- Kitendo cha kukatakidogo au kuondoakabisasehemuyauzaziyamwanamke au msichanakwasababuzozotezile.

  8. Inaendelea………. Ndoazautotoni-ndoainayofungwaambayommojawawanandoahajafikishaumriwa utu uzima, unaosababishaashindwekufanyamaamuzimwenyewe, juuyaafyayakeyauzazi, mwenzi wake, kumkosakusoma, kipato. Hiinimojayasababuzinazosababishaukatilikwawanawakena pianiukatili. Utakasaji na kurithiwajane Mauajiyavikongwe Usafirishajiwawatu – (wanawake na watoto)

  9. MapendekezoyaHakiza Wanawake kwenyeKatiba Baadayakuangaliasheria na mikatabaambayoinalindahakiza Wanawake Tanzania na mazingirayanayopelekeaukiukwajiwaHakiza Wanawake, mchakatowaKatibaninafasimuhimuyakutoamapendekezoyakufanyamabadilikokatikaKatibampya. Katibayasasahaijaelezeahakiza Wanawake kwaupana wake kwahiyotumeainishamapendekezoyanayohusuhakizawanawakekwenyeKatibampya.

  10. MapandekezoyaJumla. • KatibayanchilazimaiainishekwaufasahamisingiyoteyaHakizaBinadamuyaani (Kisiasa, kiraia, kiuchumi, na kijamii na kimaendeleokuwekaulinzimadhubutiwahakihizo. • Katibaiainishe na kutoaulinziwahakizamakundihususanihakizawanawake na watoto

  11. Inaendelea……. • IonyeshekuwaMahakamazotezinawezakusikilizaMashauriyauvunjwajiwaHakizaBinadamu. • Katibaiainishekutokuwepo na muuingilianowamihimiliyadolayaaniMahakama, Serikali na Bunge. • Katibaiainishekuwamapatoyatokanayo na Rasilimalizataifayawanufaishewananchihasamaeneoyanayopatikanarasilimalihizo

  12. HAKI ZA KIJAMII • Katibaianinishekuwawatuwotewanahakiyakupatahuduma bora za: Afya MajiSafi na Salama Elimu MakaziBora . • Kuwaka na utengwajiwabajetiendelevukwenyesektazahudumambalimbalizakijamiijamii. • Mwanamkekuthaminiwa na kupewaulinziwa utu na ubinadamu wake.

  13. Inaendelea…… • KuwalindawanawakedhidiyamanyanyasoyoteyakiwemoyaKijinsia na kutoaadhabukwawatendajiwavitendohivyo. • KuondoaainazotezaUbaguzi na unyanyasajiwaKijinsiahasakwawalemavu, wanawake na watoto • Kutungwakwasheriazinazomlindamtudhidiyakuteswa, kuadhibiwakinyama au kupewaadhabuzinazomtwezaamakumdhalilisha.

  14. HAKI ZA KISIASA: • Kuwena uwianosawawaKijinsiaasilimia 50/50 katikangazizotezamaamuzikamavile: - Bunge - Mahakama - NafasimbalimbalizauteuzikamaMakatibuwakuu, - mawaziri, - manaibuwaziri, mabalozin.k. - MadiwaniSerikalizavijiji, miji na mitaa • Kuwepo na jitihadachanyazakurekebishamfumoilikuwa na usawakatikangazizotezamaamuzi. • SerikalikutungaSheriaitakayohakikishakuwawanawakewanashirikibilayaUbaguzikatikachaguzizote.

  15. Inaendelea…….. • Katibakuainishakuwakilamtuanahakiyakujiunga na chamachochote cha siasaanachopenda. • Katibakuainishakuwaviongozikutojilimbikiziamaliwakatiwauongoziwao. • Kuwepo na ukomowawabunge. • Mawaziriwachaguliwekulingana na taalumazao na vilevilewasichaguliwekutokana na wabunge.

  16. HAKI ZA KIUTAMADUNI: • Mwanamkekulindwadhidiyamila na desturikandamizi na kuwepokwasheriazakumpaulinzimwanamkedhidiyamilahizo. • Kuondoa na kubadilishasheriazotezakibaguzi na kandamizidhidiyamwanamkezilizoposasamfanosheriayamirathi, ndoa, sheriayaUraia. • KuwekaulinziwahakizaWazeedhidiyaUbaguzi, mali na kunyanga’nywa

  17. HAKI ZA KIUCHUMI: • Kutoahaki na kuhakikishamwanamkeanakuwa na hakiyakupata na kumilikiRasilimalikama : • Ardhi/Urithi • Madini • Mazaoaliyolimamwenyewe. • Patolake • Katibakutambuahakizawajanekatika : - Kurithimali - Kuleawatoto wake. -Kuishikwenyenyumbayafamilia. -Hakiyakuolewatena.

  18. Inaendelea….. • Wanawakewapewefursa na usawakatikaajira, na kuwa na uwianowaujiraanaolipwakatiyawanawake na wanaume. • Hakiyaulinzikwawanawake na kuwawekeamazingiramazurikutokana na mahitajiyao. • MaliasilizotezanchiziwechiniyamamlakayawananchiiliKuwepo na kuhifandhi na ulinzikwakutowekawawekezajiwanyonyaji.

  19. Inaendelea…. • Katibaiainishekwakuwekawazimbeleyawananchimikatabayoteinayohusiana na uvunaji na matumiziyaRasilimalizataifa. • Wananchiwashirikishwekatikauwekezaji na umilikiwaardhiyaumma na mamlakayasiwemikononimwaraistu.

  20. HAKI ZA KIRAIA. • KuwepokwaMahakamayakifamiliailiiwezekutatuamatatizoyakifamiliakwaharaka na wakati. • Katibakuainishahakiyawatukuwa na Uhuruwakutoamaoni na kuelezafikrazao. • Hakiyakupatataarifakwawakatikuhusumatukiombalimbalimuhimukwamaisha na shughulizaummapamoja na mikatabayoteiliyoingiabainayaserikali na wawekezaji.

  21. Inaendelea….. • Katibaiainishejukumu la serikalikutoataarifakwawananchi. • Katibaiainishekuwawatuwanastahilikuwa na Uhuruwamawazo, imani na uchaguzikatika mambo yadini. • Hakiyawanawakekushirikikatikashughulizaumma na kuwekajukumukwavyombohusikakuhakikishaushirikihuo. • KutoajukumukwaserikalikutekelezamikatabayakimataifayahakizaBinadamu na hakizawanawakepindiinaporidhiwa na utekelezajiwamajukumuyakekamayalivyoainishwakwenyemikatabahiyo.

  22. Hitimisho Kwa kuhitimisha, tumeangaliasheriazinazolindawanawake,nazinazowakandamizawanawakenijukumuletusasakutumiafursatuliyonayokupendekezahakimuhimukuingiakatikakatibampyakwakuangaliahakizamsingiambazohazikokwenyekatibampya.

  23. Pamojatunawezakulinda na KuteteaHakiza Wanawake

More Related