1 / 17

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA Study 7: The Origin Of Jesus

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA Study 7: The Origin Of Jesus. SOMO LA 7: Mwanzo wa Yesu. www.biblebasicsonline.com www.carelinks.net Email: info@carelinks.net. 7.1 Old Testament Prophecies Of Jesus. 7.1 Unabii unaomhusu Yesu kwenye Agano la Kale. Unabii ulio katika Agano la Kale

jane
Download Presentation

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA Study 7: The Origin Of Jesus

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Bible Basics / MISINGI YA BIBLIAStudy 7: The Origin Of Jesus SOMO LA 7: MwanzowaYesu

  2. www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: info@carelinks.net

  3. 7.1 Old Testament Prophecies Of Jesus 7.1 UnabiiunaomhusuYesukwenyeAgano la Kale

  4. UnabiiuliokatikaAgano la Kale • “Munguwangu, Munguwangu, mbonaumeniacha ?"(Zaburi 22: 1) • “Laumuyawanadamu na mzahawawatu. wotewanionaohunichekasana, Hunifyonya, wakatikisavichwavyao; Husema, umtegemee (yaani, alimtegemea) Bwana; na amponye; na amwokoesasa, maanaapendezwanaye"(Zaburi 22: 6 -8). • "…. Ulimiwanguwaambatana na tayazangu; wamenizuiamikono na miguu"(Zab. 22:15,16) • “Wanagawanyanguozangu, na vazilanguwanalipigiakura"(Zab. 22: 18) • UmetimilikakwaKristo • HayayalikuwakabisanimanenoyaYesupalemsalabani(Math. 27: 46). • Israeli walimdharauYesunaowalimdhihaki(Luk. 23:35 8:53); walitikisavichwavyao(Math.27:39),walisemahayamanenoalipokuwamsalabani(Math. 27:43). • HuuulitimiaKristo)alipokuwa na kiumsalabani(Yn.19:28). Kuzuiwamikono na miguunitendo la kusulubiwaambalolimetajwa. • UtimilifukabisawahuuunapatikanakatikaMathayo. 27:35.

  5. 7.2 The Virgin Birth • Kuzaliwa na Bikira

  6. The Conception of Jesus / MTUNGO WA MIMBA YA YESU • MalaikaGabrieliakamtokeaMariamu na ujumbekuwa"tazama, utachukuamimba na kuzaamtotomwanamume; na jina lake utamwitaYesu. HuyuatakuwaMkuu, ataitwamwanawaAliyejuu ……. MariamuakamwambiaMalaika, Litakuwajenenohili, maanasijuimume ? (Yaani, alikuwabikira). Malaikaakajibuakamwambia, RohoMtakatifuatakujiliajuuyako, na nguvuzakealiyejuuzitakufunikakamakivuli; kwasababuhiyohichokitakachozaliwakitaitwakitakatifu, MwanawaMungu"(Luk. 1: 31 -35)

  7. No Pre-existence of Jesus • Yesualikuwani"Shina na mzaowaDaudi"(Uf. 22: 16), neno la Kigriki'genos’ linadokezakwambaYesu'alizaliwatoka’ kwaDaudi. • IkiwaYesualikuwa'mimba’ ndaniyatumbo la Mariamu(Lk. 1:31)niushahidikwambahakuwahikuishikimwilikablayawakatihuu.

  8. The Humanity of Jesus • "Ni naniawezayekutoakitukilichosafikitokekatikakitukichafu ? Hapanaawezaye. Mwnadamunikituganihataakawasafi ? huyoaliyezaliwa na mwanamke, hataakawa na haki ? ……… au awezajekuwasafialiyezaliwa na mwanamke ?"(Ay. 14:4; 15:14; 25:4). • Mariamuakiwa "amezaliwa na mwanamke”, mwenyewazaziwanadamuwakawaida, ilibidialikuwa na uchafuwetu, Mwiliwamwanadamu, ambaonayeYesuakazaliwanao,"amezaliwa na mwanamke"(Gal 4:4).

  9. Luke 2:52

  10. 7.3 Christ's Place In God's PlanNafasiyaKristokatikampangowaMungu

  11. Warumi1:1-4 • …….. YesuKristo Bwana wetu, aliyezaliwakatikaukoowaDaudikwajinsiyamwili; na kudhihirishwakwauwezakuwaMwanawaMungu, kwajinsiyarohoyaUtakatifu, kwaufufuowawafu’ (Rum. 1:1 -4). • HiviunaelezaMuhutasariwahistoriayaKristo: - • AliahidiwakatikaAgano la Kale - yaani, katikampangowaMungu • Aliumbwaakiwamtualiye na mwilikwakuzaliwa na bikira, akiwanimzaowaDaudi; • Kwaajiliyatabiatimilifu(“rohoyaUtakatifu”), iliyoonekanawakatiwamaishayamwiliunaopatikana na mauti. • Alifufuliwa, na tenahadharanialielezewakuwaniMwanawaMungu na mitumewaliopewakipawa cha rohoyakuhubiri.

  12. 7.4 "In the beginning was the word“ / "HapoMwanzoKulikuwakoNeno”Yohana 1: 1-3.HapomwanzokulikuwakoNeno, nayeNenoalikuwakokwaMungu, nayeNenoalikuwaMungu. HuyomwanzoalikuwakokwaMungu. Vyotevilifanyikakwahuyo"(Yn. 1: 1-3).

  13. -Aghalabulimetafsiriwakuwa"neno”, lakini vile vilekuwani: • MaelezoKusudi • KupashahabariElimu au Mafundisho • NiaKuhutubu • HojaMethali • Habari

  14. The Logos Became Flesh • “HAPO MWANZO"

  15. www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: info@carelinks.net

  16. Somo La 7 : Maswali • AndikaorodhambilizaunabiiuliokwenyeAgano la Kale unaomhusuYesu. • Je ! KimwiliYesualiwahikuwakokablahajazaliwa ? • Ni katikamaanaganiYesuanawezakusemwaalikuwakokablayakuzaliwakwake? • AkiwaniMalaika / AkiwanisehemuyaUtatu / AkiwaRoho / Ni katikania na kusudi la Mungu. • Ni taarifazipizakwelikumhusuMariamu ? • Alikuwamkamilifu, Mwanamkeasiye na dhambi / AlikuwaniMwanamkewakawaida / AlipatamimbayaYesukwauwezoRohoMtakatifu / KwasasaanatoamaombiyetukwaYesu. • Je ! Yesualiumbanchi ? • Yohana 1:1-3 unaielewaje ?"HapoMwanzokulikowakoneno"kwaninihaimaanishi • Kwasababuganiunadhaninimuhimukuwa na hakikakumhusuYesuendapoalikuwakokimwilikablahajazaliwa ?

  17. STUDY 7: Questions • 1. List two Old Testament prophecies concerning Jesus. • 2. Did Jesus physically exist before his birth? • Yes / No • 3. In what sense can Jesus be said to have existed before his birth? • As an Angel • As part of a trinity • As a spirit • Only in the mind and purpose of God. • 4. Which of the following statements are true about Mary? • She was a perfect, sinless woman • She was an ordinary woman • She was made pregnant with Jesus by the Holy Spirit • She now offers our prayers to Jesus. • 5. Did Jesus create the earth? • Yes • No • 6. What do you understand by John 1:1-3 "In the beginning was the word?" • What does it not mean? • 7. Why do you think it is important to be certain about whether Jesus existed physically before his birth?

More Related