1 / 414

KUZITAMBUA IMANI POTOFU ‘ Utendaji-kazi wa roho ya Uasi ’

KUZITAMBUA IMANI POTOFU ‘ Utendaji-kazi wa roho ya Uasi ’. Mwl . Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO. 2Petro 1:3-4 3 ‘ Mungu, kwa uweza wake wa uun g u , ametukirimia ahadi kubwa mno na za thamani, ambazo kwa hizo (ahadi zake/Neno lake) … ’.

Download Presentation

KUZITAMBUA IMANI POTOFU ‘ Utendaji-kazi wa roho ya Uasi ’

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. KUZITAMBUAIMANI POTOFU‘Utendaji-kazi wa roho ya Uasi’ Mwl. Mgisa Mtebe +255-713-497-654 www.mgisamtebe.org

  2. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2Petro 1:3-4 3 ‘Mungu, kwa uweza wake wa uungu, ametukirimia ahadi kubwa mno na za thamani, ambazo kwa hizo (ahadi zake/Neno lake) …’

  3. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO 2Petro 1:3-4 4‘… ametushirikisha tabia (asili) ya Ki-Mungu, ili tuokolewe na uharibifu ulioko duniani, unao-sababishwa na tamaa.

  4. KUSUDI LA MUNGU 2Petro 1:3-4, Efe 4:17-24 Asili yaroho iliyo ndani ya mwili, ina uwezo wa ajabu wa Ki-Uungu, (Nguvu za Mungu/Utukufu) wa kutuwezesha kuushinda uharibifu wote uliopo duniani …

  5. ASILI YA MUNGU NDANI YETU. Mwa 2:7 Mungu Dunia Mwili Nafsi Roho RMt

  6. UKOMBOZI WA MWILI 2 Wakorintho 4:7-16 7.‘Lakini ndani yamiili yetu, ambayo ni vyombo vya udongo, tuna hazina hii (ya Utukufuwa Mungu na Uweza za Mungu). (Mafafanuzi yameongezewa)

  7. KUMPENDA MUNGU Warumi 8:28 Kiwango cha utendaji kazi wa Nguvu za Mungu maishani mwako, kitategemea sana kiwango cha Upendo wako kwa Mungu.

  8. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28 28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamoja na wale wanaompenda, katika kuwapatia mema.

  9. KUSUDI LA MUNGU 2Petro 1:3-4, Efe 4:17-24 Asili yaroho iliyo ndani ya mwili, ina uwezo wa ajabu wa Ki-Uungu, (Nguvu za Mungu/Utukufu) wa kutuwezesha kuushinda uharibifu wote uliopo duniani …

  10. ASILI YA MUNGU NDANI YETU. Mwa 2:7 Mungu Dunia Mwili Nafsi Roho RMt

  11. HATARI YA UKENGEUFU MtuunapokuakatikaImaninakufikiaukomboziwamwili, ndipoUTUKUFUnaNGUVUzaMungu, hudhihirikakwanjenawatuhuanzakushuhudiautendajikaziwaajabuwaMungumaishanimwake.

  12. ASILI YA MUNGU KUFUNULIWA KUTOKA NDANI YETU. 1Kor 3:18 (Utukufu) Mwili Nafsi Roho RMt

  13. HATARI YA UKENGEUFU UleUTUKUFUnaNGUVUzaMungu, huchipusha VIPAWA NA KARAMA zaajabumaishanimwake, ilikumsaidiahuyumtuwaMungu, kutendakaziyaMungu, kwaurahisizaidi. (1Kor 12:4-11, Rum 12:6-8)

  14. UTUKUFU WA MUNGU KUCHIPUSHA KARAMA NDANI YETU. 1Kor 3:18 (Utukufu) Karama na Vipawa RMt

  15. HATARI YA UKENGEUFU 1Wakorintho 13:1-13 Mtu akishafika katika ngazi ya Mwana wa Mungu, na kutumika kwa karama na nguvu za Mungu, lazima awe na nidhamu ya kutunza uhusiano wake na Mungu.

  16. HATARI YA UKENGEUFU 1Wakorintho 13:1-13 Karama na vipawa, vina nguvu ya ajabu ya kumfanya mtu kulewa utukufu,hata akumsahau Mungu aliyempa karama hizo.

  17. HATARI YA UKENGEUFU 1Wathesalonike 4:1-4-7 Baada ya kufikiacheochamwanawaMungunakujaliwakaramanavipawa, mtuanatakiwakutunzautakatifuwakeilikutunzaheshimanauhusianowakemzurinaMungu.

  18. HATARI YA UKENGEUFU 1Wathesalonike 4:1-4-7 Baada ya kufikakatikacheochaMwanawaMungunakujaliwakaramanavipawa, mtuanatakiwakutunzautakatifunaunyenyekevuwakeilikutunzaheshimanauhusianomzurinaMunguwake.

  19. UTUKUFU WA MUNGU KUCHIPUSHA KARAMA NDANI YETU. 1Kor 3:18 (Utukufu) Karama na Vipawa RMt

  20. 1Wakorintho 13:1-13 Mtume Paulo anatuelekeza na kutuonya kwamba, baada ya kuanza kutenda kazi kwa karama na vipawa vya Roho Mtakatifu, tunatakiwa kudumisha upendo wetu kwa Mungu na kwa watu wake.

  21. HATARI YA UKENGEUFU 1Wakorintho 13:1-13 Hii ni kwasababu, vipawa na karama, vina namna fulani inayoweza kumlewesha mtu utukufu na kufanya ajisahau kabisa, hata mtu akamsahau Mungu wenye hizo karama.

  22. HATARI YA UKENGEUFU 1Wathesalonike 4:1-4-7 Mtumwenyekaramanavipawa, asipotunzautakatifuwake, anawezakubakinakaramanavipawa, lakini akapotezaheshimayakenakuharibuuhusianowakenaMungu.

  23. KIBURI HUZIMISHA UTUKUFU WA MUNGU NDANI YETU. 1Sam 4:1-22(Ikabod) Karama na Vipawa hubaki ktk utendaji ?

  24. HATARI YA UKENGEUFU Mathayo 7:15-23 Mtu anaweza kuwatumiwa na Mungu, kwa karama na vipawa vya ajabu vya kushangaza, lakini kumbe akawa ameshakatwa na kuondolewa katika uzima na uhusiano mzurina Mungu.

  25. HATARI YA UKENGEUFU Mathayo 7:15-23 Siku ile, wengine wataniambia ‘Bwana, mbona tulitoa unabii kwa Jina lako, na kufanya uponyani na miujiza mingi; mbona hajatuita majina yetu kuingia mbinguni?’

  26. HATARI YA UKENGEUFU Mathayo 7:15-23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu [japo mlikuwa watumishi wangu]. Hakika, niliwatumia tu, lakini sikuwajua [nilishawaondoa uzimani] ninyi, japo niliwaachia karama zangu.

  27. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Warumi 11:29 KwamaanaKarama ya MungunaUtumishiwaMunguhaunamajuto.Hiiinamaanakwamba, Munguakikupakaramanavipawavyake, hajutii.

  28. HATARI YA UKENGEUFU Mathayo 7:15-23 Mtu anaweza kuwatumiwa na Mungu, kwa karama na vipawa vya ajabu vya kushangaza, lakini kumbe akawa ameshakatwa na kuondolewa katika uzima na uhusiano mzurina Mungu.

  29. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU 1Wathesalonike 4:1-4-7 Usiridhike tu kuwamtumishiwaMungumwenyekaramanavipawa; heshimasioutumishiwalakarama, balini uhusianomzurinaMungu.

  30. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU UtumishiUsionaHeshima MbelezaMungu 2Timotheo 2:20-22 Mathayo 7:21-23, 15-20

  31. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Jihadharini … maana wengine wenu nitawakataa. Ktk siku ya mwisho, wengine watasema, tulitoa unabii kwa jina lako, tuliponya wangonjwa na kufanya miujiza kwa jina lako …

  32. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 ‘Nami nitawaambia, ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu’ (mlitembea na karama zangu, lakini mkapuuza kutunza utakatifu wenu; hivyo nami niliwatumia tu kama vyombo, lakini nilishawafuta katika kitabu changu cha uzima.

  33. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Mtu anaweza kutumiwa na Mungu vizuri kabisa na kwa nguvu sana, lakini mwishoni, akaambiwa, ondoka zako, nenda katika ziwa la moto, sikukujua kabisa (tangu enzi zile za utumishi na karama).

  34. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 ‘Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana, ataingia katika Ufalme wangu; bali ni wale wanaofanya mapenzi ya Baba yangu…

  35. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 ‘… hivyo, ondokeni kwangu kabisa, ninyi mtendao maovu, sikuwajua ninyi’(tangu enzi zile za utumishi na karama) ‘hivyo nendeni katika lile ziwa liwakalo moto’.

  36. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 ‘Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana, ataingia katika Ufalme wangu; bali ni wale wanaofanya mapenzi yangu; ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu’ (Niliwatumia tu kama miti ya Krismasi. Maiti inayopendeza)

  37. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 ‘Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana, ataingia katika Ufalme wangu; bali ni wale wanaofanya mapenzi yangu; ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu’ (Niliwatumia tu kama miti ya Krismasi)

  38. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Kumbe mtu anaweza kutumiwa na Mungu, kwa utumishi usio na heshima. Mtu anaweza kupambwa kwa Karama nzuri za ajabu, lakini kumbe amesha-katwa uzima wake na uhusiano wake na Mungu.

  39. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Kumbe mtu anaweza kuipenda sana huduma na karama yake kuliko/badala ya kumpenda sana Mungu mwenye kutoa hiyo huduma na karama. (They love the gift than the Giver)

  40. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Kuna watu wanaopenda sana Uponyaji wa Mungu, lakini hawana mapenzi sana na Mungu mwenye kutoa Uponyaji huo. (They love the gift, than the giver)

  41. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Kuna watu wanaopenda sana Ulinzi na Amani, lakini hawana mapenzi sana na Mungu mwenye kutoa Ulinzi huo. (They love the gift, than the giver)

  42. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU Mathayo 7:15-23 Kuna watu wanaopenda Mafanikio na Utajiri wa Mungu, lakini hawa mapenzisana na Mungu mwenye kutoa utajiri na mafanikio hayo. (They love the gift, than the giver)

  43. HATARI YA KUPOTEZA UTUKUFU 1Wathesalonike 4:1-4-7 Usiridhike tu kuwamtumishiwaMungumwenyekaramanavipawa; heshimasioutumishiwalakarama, balini uhusianowakonaMungu.

  44. IMANI POTOFU Roho ya Uasi (Ukengeufu) 1Yohana 4:1, 1Tim 4:1 2Thesalonike 2:7-12

  45. HATARI YA IMANI POTOFU 1Yohana 4:1

  46. HATARI YA IMANI POTOFU 1Yohana 4:1 1Wapenzi, msiiaminikilaroho, balizijaribuni hizo roho,kwambazimetokananaMungu; ni kwasababuManabiiwauongowengi, wametokeaduniani.

  47. HATARI YA IMANI POTOFU 1Timotheo 4:1

  48. HATARI YA IMANI POTOFU 1Timotheo 4:1 1 Basi Roho Mtakatifu ananena wazi wazi kwamba, katika nyakati za mwisho, wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani.

  49. HATARI YA IMANI POTOFU Mathayo 7:15-23 15Jihadharininamanabiiwauongo, wanaowajiawakiwawamevaamavaziyakondoo, lakini ndaniwaonimbwamwituwakali.

  50. HATARI YA IMANI POTOFU Mathayo 7:15-23 16Mtawatambuakwamatundayao. Je, watuhuchumazabibukwenyemiiba au tinikwenyemichongoma?

More Related