1 / 25

SEMINA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAMU TANZANIA

SEMINA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAMU TANZANIA. Jumuiya ya Wataalamu wa Kiislamu Tanzania. SEMINA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAMU TANZANIA NENO LA KATIBU MKUU WA TAMPRO PAZI MWINYIMVUA, UKUMBI WA JAFARY COMPLEX. DAR ES SALAAM, 05 SEPTEMBA-2010. 2. Neno litajikita na:.

charo
Download Presentation

SEMINA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAMU TANZANIA

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. SEMINA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAMU TANZANIA

  2. Jumuiya ya Wataalamu wa Kiislamu Tanzania SEMINA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAMU TANZANIA NENO LA KATIBU MKUU WA TAMPRO PAZI MWINYIMVUA, UKUMBI WA JAFARY COMPLEX DAR ES SALAAM, 05 SEPTEMBA-2010 2

  3. Neno litajikita na: • TAMPRO KWA KIFUPI • HAJA YA SEMINA YA NGOs ZA KIISLAMU • MIIKO KATIKA SEMINA HII

  4. TAMPRO KWA KIFUPI

  5. TAMPRO ni nini ? • Ni NGO ya Kiislamu, ya Wataalamu • Ilizaliwa 22 Aug, 1997, H/Q - DSM • WAZO – JUKWAA LA WASOMI • LENGO KUU – KUUPIGANIA UISLAMU 5

  6. TAMPRO MAKAO MAKUU MAGOMENI, DSM, Thamani zaidi Tsh. 200m

  7. UANACHAMA • UNAOMBA/NA KUJAZA FOMU • ADA 10,000/= (KIINGILIO, KILA MWEZI) • UKOMO WA KUWA MWANACHAMA • FAIDA YA KUJIUNGA TAMPRO 7

  8. MIRADI/PROGRAMU • SEKONDARI YA SOTELE • CHUO CHA UALIMU SAFINA • TAMPRO SACCOS • BAYTULMAL • KITUO CHA AFYA, CABLE TV – MZ

  9. MIRADI/PROGRAMU..2 • CONSULTANCY SERVICES • KUENDESHA MAFUNZO/SEMINA • OUTREACH • MOBILE CLINIC VIJIJINI • KUJIFURAHISHA- GET-TOGETHER • KUKUZA IMANI - ITIQAFU

  10. MIRADI/PROGRAMU…3 • MRADI WA HEIFER • KOPA NG’OMBE LIPA NG’OMBE • THAMANI YA MRADI TSH. 100 M • UKO WILAYA YA KISARAWE • HEIFER INATOA FEDHA; • TAMPRO INATOA UTAALAMU/USIMAMIZI

  11. MIPANGO 2015 • NYUMBA YA GOROFA YA TAMPRO • Ofisi • Ukumbi wa mikutano, Kitega uchumi, • UPANUZI WA SOTELE (US$ 290,000) • HOSPITALI YA KIISLAMU - DAR • MFUKO WA ELIMU naSHULE ZA KATA

  12. MIPANGO 2015..2 • CHUO CHA UFUNDI VIGWAZA, PWANI; HEKA 45 ZIPO TAYARI • MRADI WA KILIMO WA SHULE YA SOTELE – HEKA 1000, RUFIJI • KUIJENGEA UWEZO JAMII YA KIISLAMU • Mafunzo • Kuongeza mwamko, Ushauri wa kitaalamu

  13. HAJA YA SEMINA YA NGOs ZA KIISLAMU

  14. KANUNI ZA ULIMWENGU • JENGO LIKIJENGWA KWA KUFUATA TARATIBU ZA KIUHANDISI LITADUMU HATA KAMA NI DANGURO • JENGO LIKIJENGWA BILA KUFUATA TARATIBU ZA KIUHANDISI LITAANGUKA HATA KAMA NI MSIKITI

  15. KANUNI ZA ULIMWENGU..2 • UHAI WA NGO • Kuwepo kwake (Existence) • Kutimiza malengo yake • Kujenga jina (Credibility)

  16. FACTORS THAT IMPACT AN ORGANISATION’S CAPACITY • Knowledge • Skills • Attitudes • Competence • Influenced by • Recruitment • Staff development • Motivation & Leadership • Mission / KPA / Objectives • Priorities • Delegation / Decision-making • Organisational structures • Organisational culture • Values • Work system • Work procedures and praxis • Etc. PERSONNEL ORGANISATION AND SYSTEMS INFRASTRUCTURE • Facilities / Accommodation • Equipment • Materials • Manuals • Utilities • Etc.

  17. UWEZO WA NGO UNABEBWA NA: • WATENDAJI • Elimu, Ujuzi, Uhodari, Taqwa • MUUNDO NA MFUMO • Dira, Malengo, Shura, Value (m.f. Mzinifu ana baki) • MIUNDO MBINU • Ofisi, Vipando, Komputa, Maji, Umeme,

  18. KUSUDIO KUU LA SEMINA • NI KUTAFAKARI NAMNA YA KUZIJENGEA UWEZO NGOs ZA KIISLAM ILI ZIFIKIE MALENGO YAO

  19. MIIKO YA SEMINA

  20. MIIKO YA SEMINA..2 • “Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kila nafsi iangalie inayoyatanguliza kwa ajili ya kesho. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu Anazo khabari ya mnayoyatenda” [Al-Hashr: 18]

  21. MIIKO YA SEMINA..3 • "Hesabuni nafsi zenu kabla ya kuhesabiwa, na zipimeni kabla ya kupimwa, kwani ni bora (wepesi)  kwenu kupima (amali zenu) leo kabla ya (kupimwa) kesho kwenye Hesabu, na jipambieni kwa siku ya Hadhara kuu, (Siku hiyo mtahudhurishwa; haitafichika siri yoyote)" [Umar Ibn Al-Khatwaab, Al-Haaqah:18]

  22. SWALI MUHIMU KWETU • Tumezifanyia nini NGOs za kiislamu? • Tujihesabu kabla Allah hajatuhesabu • NGOs za Kiislam ziko hoi; tatizo ni • Viongozi au • Wasomi wako bize na dunia

  23. KWAHIYO TUNAOMBA • TUSISHAMBULIANE • TUSITAJE MAJINA YA WATU AU NGOS • TUVUMILIANE NA KUHESHIMU HOJA ZA WENGINE • SOTE NI WAISLAMU

  24. MADA NA CASE STUDIES • Nguvu na Udhaifu wa NGOs za Kiislamu Tanzania • Nafasi ya Wasomi Waislamu Katika Jihadi ya Kuzinusuru NGOs za Kiislamu Tanzania • Miradi ya mfano (Kisa mkasa/Case studies)

  25. Mwisho Wabillah Taufiq

More Related