1 / 27

Huduma za Huduma Fasta MFANO Jinsi ya kutumia Huduma zetu

Huduma za Huduma Fasta MFANO Jinsi ya kutumia Huduma zetu. Huduma za Huduma Fasta . Real Estate Nafasi za kazi Burudani mbalimbali Usafiri Bei za bidhaa masokoni Kuuza na Kununua mazao Uuzaji wa magari Kutuma taarifa mbalimbali (Taarifa Fasta) Utumaji wa message kwa kutumia Kompyuta.

wayland
Download Presentation

Huduma za Huduma Fasta MFANO Jinsi ya kutumia Huduma zetu

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. HudumazaHudumaFasta MFANOJinsiyakutumiaHudumazetu

  2. Huduma za Huduma Fasta • Real Estate • Nafasi za kazi • Burudani mbalimbali • Usafiri • Bei za bidhaa masokoni • Kuuza na Kununua mazao • Uuzaji wa magari • Kutuma taarifa mbalimbali (Taarifa Fasta) • Utumaji wa message kwa kutumia Kompyuta

  3. REAL ESTATE • Kwenye huduma hii kuna Nyumba za kupanga, nyumba za kununua, mashamba au viwanja vya kununua/kukodi/kuuza, vyumba vya biashara na vya kupangisha .

  4. REAL ESTATE ... Nyumba za kupanga KWA DAR ES SALAAM • Andika Panga Nyumba (Eneo Husika) Mf: Panga Nyumba Tabata kwenda 15450.

  5. REAL ESTATE ... • Andika: Panga apartment (Eneo husika) kwenda 15450 Mf: Panga Apartment Masaki kwenda 15450 Apartment za kupanga

  6. REAL ESTATE ... Frame za kupanga • Andika: Panga Frame (Eneo) kwenda 15450 • Mf Panga Frame Ukonga kwenda 15450

  7. REAL ESTATE ... Nyumba za kununua • Andika: Nunua Nyumba (eneo) kwenda 15450 • Mf: Nunua Nyumba Mwananyamala kwenda 15450

  8. REAL ESTATE ... Viwanj au Mashamba ya kununua • Andika: Nunua kiwanja/shamba (eneo) kwenda 15450 • Mf: Nunua Kiwanja kigamboni kwenda 15450

  9. REAL ESTATE ... Kwa Mikoani • Huduma hii pia inapatikana mikoani kwa utaratibu tofauti na Dar es salaam. Mteja atatakiwa kuandika aina ya huduma anayoihitaji, jina la wilaya na jina la mtaa husika.

  10. REAL ESTATE ... Nyumba za kupanga • Andika Panga Nyumba (jina la wilaya na mji) kwenda 1540 • Mf Panga Nyumba mbeya mabatini tuma kwenda 15450.

  11. REAL ESTATE ... Apartment za kupanga • Andika: Panga apartment (wilaya na mji) kwenda 15450 • Mf: Panga Apartment Njombe Makambako kwenda 15450

  12. REAL ESTATE ... Frame za kupanga Andika: Panga Frame (wilaya na mji) kwenda 1540 Mf Panga: Panga Frame Morogoro Kihonda kwenda 15450

  13. REAL ESTATE ... Nyumba za kununua Andika: Nunua Nyumba (wilaya na mji) kwenda 15450 Mf: Nunua Nyumba Iringa Kihesa kwenda 15450

  14. REAL ESTATE ... Mashamba ya kununua Andika: Nunua kiwanja (wilaya na mji) 15450 Mf: Nunua Kiwanja Bagamoyo Chalinze kwenda 15450

  15. NAFASI ZA KAZI • Huduma Fasta tunatoa taarifa za wapi kazi ilipo ili mtu aweze kuomba, unachotakiwa ni kufuata maelezo yafuatayo.

  16. Nafasi za kazi... Andika: Kazi (Taaluma yako) kwenda 15450 Mf Kazi Mhasibu kwenda 15450

  17. Burudani mbalimbali Huduma Fasta wanakupa taarifa ni sehemu gani kuna burudani au wapi uende ukale bata. Huduma Fasta wanakupa ratiba ya bendi/kumbi/msanii(wasanii) mbalimbali na siku husika

  18. Burudani mbalimbali ... Andika: Ratiba eneo husika na siku kwenda 15450 Mf: Ratiba Mbalamwezi Jumamosi, au Andika: Ratiba msanii/band na siku kwenda 15450 Mf Ratiba B Band Jumapili, au Andika: Ratiba Eneo na Siku kwenda 15450 Mf: Ratiba Maisha Jumapili

  19. HUDUMA ZA USAFIRI • Huduma Fasta tunatoa taarifa za usafiri wa aina mbalimbali kama ilivyoonyeshwa hapa chini: Usafiri wa teksi, magari ya maji taka na maji safi, usafiri wa breakdown na usafiri wa mabasi madogo ya kukodishwa

  20. HUDUMA ZA USAFIRI ... Andika: Usafiri (Aina ya usafiri) (eneo) kwenda 15450 eg Usafiri Teksi makumbusho kwenda 15450 Usafiri majitaka sayansi kwenda 15450 Usafiri basi Kinondoni kwenda 15450 Usafiri roli Tegeta kwenda 15450 Usafiri breakdown mwenge kwenda 15450 Usafiri pickup Magomeni kwenda 15450

  21. TAARIFA ZA BEI ZA MAZAO MASOKONI ... Katika Huduma ya taarifa za mazao sokoni, BR Solutions inatoa taarifa ya bei ya bidhaa mbalimbali kwenye masoko mbalimbali nchini ikiwa imeanzia na DSM. Kwa kupata taarifa hizo tuma ujumbe mfupi kupitia simu yako ya mkononi kwenda 15450 kama ilivyoanishwa hapa chini

  22. TAARIFA ZA BEI ZA MAZAO MASOKONI ... Andika: Bei (aina ya bidhaa) (soko husika) kwenda 15450 Mf: Bei Mchele Tandika kwenda 15450 Bei Mahindi Tandale kwenda 15450 Bei viazi Kariakoo kwenda 15450 Bei Maharage Mwenge kwenda 15450

  23. KUUZA NA KUNUNUA MAZAO BR Solutions kupitia Huduma Fasta inatoa taarifa mbalimbali kwa wakulima au wafanyabiashara wa mazao na wanunuzi wa mazao kutoka maeneo mbalimbali Tanzania.

  24. KUUZA NA KUNUNUA MAZAO ... • Wauzaji Andika: uza mazao (aina ya zao) (eneo) tuma kwenda 15450 Mf. Uza mazao mchele kyela kwenda 15450 • Wanunuzi Andika: nunua mazao (aina ya zao) (eneo) tuma kwenda 15450. Mf. nunua mazao mahindi Iringa kwenda 15450.

  25. Uuzaji wa magari Huduma Fasta tunakupa taarifa za muhimu unapotaka kununua gari pamoja na vielelezo vya gari lenyewe. Ni rahisi kwa kufuata utaratibu ufuatao:- Mfano : nunua gari Toyota au nunua gari RAV4 kwenda 15450

  26. Taarifa • BR Solutions inakupa urahisi zaidi kwa mteja kuweza kusajili bidhaa zako kwenye mtandao wa BR Solutions Ltd. • Mteja unachotakiwa kufanya ni kutuma neno taarifa na maelezo husika kwenda namba 15450 na baada ya uhakiki BR Solutions watakutaarifu kuwa taarifa zako zipo tayari kwa watu kuweza kuzitumia • Andika: Taarifa maelezo Husika • Mf: Taarifa Kuuza Nyumba Mbagala • Taarifa kuuza Gari Mark II GX110 Iringa • Taarifa kuuza samani za ndani zilizotumika • Taarifa Akudo Impact TCC chang’ombe tarehe 5/04/2012 kiingilio 10,000

  27. PUSH TEXT MESSAGES • Huduma hii inakuwezesha kutuma ujumbe mfupi kwa mtu mmoja na kuendelea kwa ajili ya kufikisha taarifa mbalimbali. Kwa makampuni kama Taasisi za fedha wanaweza kutumia huduma hii kuwataarifu wateja wao kuhusiana na marejesho ya mikopo yao, kiwango cha mikopo kilichobaki, mikutano kwa wateja n.k. na kutoa taarifa mbalimbali • Kwa makampuni kama DAWASCO na mengineyo, huduma hii inawawezesha kutuma na kuwataarifu wateja wao kuhusu kiasi cha bili wanachopaswa kulipa, madeni na pia kuwatumia wateja taarifa muhimu wazotaka wateja wazipate.

More Related