1 / 34

Wito wa Kanisa la Coptic Orthodox

Wito wa Kanisa la Coptic Orthodox . Maono, Wito, & Mkakati Kujenga Kanisa lililo na Afya Kutoka Muumini hadi Mjumbe. mjumbe/Misionari. Muumini aliyekomaa. Muumini Mpya. Muumini Mpya – Umlete Ndani. umlete Ndani Kanisa la Upendo kubali/Kukaribisha Wengine Kutembelea Waumini Wapya

ovidio
Download Presentation

Wito wa Kanisa la Coptic Orthodox

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. Wito wa Kanisa la Coptic Orthodox Maono, Wito, & Mkakati Kujenga Kanisa lililo na Afya Kutoka Muumini hadi Mjumbe

  2. mjumbe/Misionari Muumini aliyekomaa Muumini Mpya Muumini Mpya – Umlete Ndani • umlete Ndani • Kanisa la Upendo • kubali/Kukaribisha Wengine • Kutembelea Waumini Wapya • Matukio ya Kanisa la Agape • Somo la Katekisimu • Msingi ya Imani ya Kanisa • Maadili ya Ukristo (Maombi, Biblia) • Kuelewa Malengo na Wito wa Kanisa • Tathmini ya Ubatizo

  3. Mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini Mpya Muumini Mpya – Kanisa la Upendo

  4. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo kuwakubali/Kanisa la Makaribisho • Kukaribisha Wanakamati • Sio chini ya watu 3 kuwa katika kamati hii, pia inategemea idadi ya kanisa nzima • Waumini wanahitajika kufika kanisani kabla ibada kuanza • Wanahitaji mwelekeo ya makaribisho • Wajibu ya Wanakamati ya Makaribisho: • Katika Mlangoni kwa kuwapa waumini wapya vitabu vya misa • Waonyeshe mahali pa kuketi • Karibisha mgeni wazi baada ya misa- Tangaza majina yao na mahali watokako • Kaa na muumini mpya na ufanye yafuatayo: • Ongea kuhusu Kanisa • Umuonyeshe taratibu za kanisa • Umpe taswira/picha ndogo iliyo na hadithi ya watakatifu • Umpe kijitabu kuhusu kanisa la koptiki • Ubaki na anwani yake katika kitabu cha wageni ili uweze kumtafuta kwa ujumbe fupi (SMS) au kwa njia nyingine • Fanya upya kibao cha matangazo ilioko karibu na lango la kanisa kwa kuweka shughuli na mipangilio ya juma lijaalo

  5. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo kukubali/Kanisa la Makaribisho • Wanakamati ya Ukaribishaji – Jukumu la Kiroho • Kutana mara moja kwa Wiki • Someni Biblia kwa pamoja • Tayarisheni mipangilio ya kanisa ya wiki ujao • Kufuatilia waumini wapya pamoja na wageni • Rasilimali • Kila kanisa ni lazima liwe na vitabu vya misa za kutosha kwa waumini wote wanaojua kusoma • Picha za watakatifu na vijitabu kuhusu kanisa vinapaswa kupatikana katika ofisi ya rasilimali. Wanakamati watakuwa wakihakikisha ya kwamba kunazo vitabu vya kutosha. • Kila kanisa litakuwa na kitabu cha kuhifadhi majina, anwani, tarehe ya kuhudhuria kanisa kwa mara ya kwanza.

  6. Kusudi la utembeleaji Kujua na kugundua waumini zaidi Kuwa na uwepo katika jamii Kuwa kiungo kati ya kanisa na nyumbani Washiriki wameuliza watembelewe Kuwafariji wagonjwa Kuonyesha kwamba kanisa lina upendo na kujali Kufuatia waumini Watu wafuatao watatembelewa: Wana Shule ya Jumapili vijana Waumini wapya Waudumu kanisani Wanakamati wa Utembeleaji Wawe na moyo wa huduma Wana jukumu la kutayarisha kundi la watembeleaji. Kundi hili lazima lijue mila ya wanaotaka kuwatembelea Muumini Mpya – Kanisa la Upendo Utembeleaji

  7. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo utembeleaji • Utembeleaji utafanywa kwa njia zifuatazo: • Kufungua kwa maombi • Mnenaji/wanenaji ni lazima awe tayari mapema • Mtalaa wa jumla iwekwe kulingana na nguzo 5 za kanisa nzuri • Pata mwitiko ya utembeleaji kutoka kwa mtumishi • Kuwa na taarifa kuhusu sehemu zinazotembelewa • Peleka kadi za sherehe za kanisa(k.m. Krismasi, Pasaka, Mwaka Mpya n.k) • Kila mara uwe na vijitabu za kanisa kwa ajili ya waumini wapya • Kumbusha au fanya watu wajue mipangilio ya huduma za kanisa • Anza matazamio kwa wahudumu wa kanisa (madaktari na wajumbe wenyeji) • Changamoto kuhusu usafiri ni lazima iangaliwe

  8. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo utembeleaji • Jukumu la Wanakamati ya Utembeleaji • Kutana kila wiki • Mikutano za maombi na kushiriki Biblia • Andaa kwa ajili ya wiki • Hakikisha kila rasilimali inapatikana • fuatilia • Rasilimali • Picha za watakatifu na vijitabu kuhusu kanisa vinapaswa kupatikana katika ofisi ya rasilimali. Wanakamati watakuwa wakihakikisha ya kwamba kunazo vitabu vya kutosha.

  9. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo Agape na Tukio za kanisa • Wanakamati wa Agape • Lazima wawe na ujuzi wa mawasiliano bora • Lazima wawe watu wa kubuni mambo mapya • Chakula cha Agape kwa watu wote baada ya misa. Upendo na kushiriki pamoja. • Baada ya miezi 3, kila parokia siku kuu ya kiroho (siku 1).kamati ndio itasimamia, na kila mara iwe na waudumu wapya. Siku hiyo kutakuwa na: • Tamthiliya (Drama) • mashindano • michezo • Mafundisho ya liturjia • Agape • kwaya

  10. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo Agape na Matukio za Kanisa – Songea kwa Uinjilisti • Kila parokia / kanisa, baada ya miezi 6, watapanga siku moja ya maombi kwa nyumba ya mshiriki: • Kufunza juu ya kanisa (n.k) • Kufundisha liturjia (misa) • Kusaidia waumini kutumia vipaji vyao • Kila mwaka watumishi wanafanya mkutano ya kitaifa kwa siku 3. • Kufundisha liturjia • Mashindano ya kwaya • Mashindano ya tamthiliya (Drama) kuhusu somo uliopangwa • Matazamio ikiwa ni kwa mmoja ndani ya Biblia • Rasilimali • Kadiri kulingana na vikundi mbalimbali (k.m. kwaya, shule ya Jumapili, n.k) • Waumini wa kila parokia wanapaswa kuchanga huku wakisaidiwa na kanisa kuu.

  11. Muumini Mpya – Kanisa la Upendo pendekezo • Wanakamati watachaguliwa kulingana na sheria zifuatazo: • Wajibu na kuwahi • Watumishi wa kamati lazima wamemaliza au wanaendelea na mafunzo kwa waudumu • Wanakamati wote wawe wamemaliza somo la katekisimu • Mara moja kwa mwezi, wanakamati watampa kasisi ripoti kuhusu shughuli wanazozitekeleza. • Katika mkutano ya kila mwaka ya wahudumu, kila kamati kutoka kanisa mbalimbali watajadiliana kuhusu faulu na changamoto walizozipitia. • Kwa kila tukio lililojadiliwa hapo juu ni lazima liwe kitabu cha mafuatilio • Kila kanisa au parokia litahitajika kujaza ripoti kwa minajili ya tathmini.

  12. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini Mpya Muumini Mpya–Somo la Katekisimu • Msingi ya masomo hii: • …Nyinyi ni raia pamoja na watu wa Mungu, na ni watu wa jamaa ya Mungu (Efeso 2:19) • Lengo la somo hili: • … ili nijikabidhi kwa bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo pamoja na jamii ya kanisa. • Ni nani atakuwa na jukumu la kufunza masomo ya katekesimu? • Kasisi au shemasi aliyefunzwa • Muda wa somo la katekesimu • Kukutana mara moja kwa wiki, kwa jumla ya wiki 4, kwa mda wa saa moja kila wiki • Wiki ya tano (5), mtihani itafanyika

  13. Muumini Mpya–Somo la Katekisimu inaendelea….. • Ni somo gani itasomwa katika kosi ya katekesimu? • “ni nini maana ya uhai” au “Kusudi”? • Kwa nini niko hapa: • Mungu aliniumba anipende • Niliumbwa nifurahie uhusiano na Mungu binafsi • Kanisa la Coptic Orthodox ni nini? • Kanisa la Mitume • Historia ya Kanisa • Imani ya kanisa pamoja na kanuni • Sakramenti 7 • wokovu • watakatifu • Msimamo ya Ukristo na matendo yake • Amri kumi • Hotuba juu ya mlimani • Kusoma Biblia kila siku • Maisha ya kuomba • Fungu la kumi • uinjilisti • kufunga

  14. Muumini Mpya-Katekesimu • Kigezo / mipangilio ya Ubatizo • Aliyemaliza masomo ya katekesimu • Kufuatilia maisha ya ukristo ya kila siku, hii ifanywe na kasisi au shemasi anayemfunza • Lazima akatae ya ulimwengu na amkubali Bwana • Lazima ajikabidhi kama ishara ya kubadilika na aonyeshe kwa vitendo kuwa ameungama • muda • Muda wa ubatizo itategemea na tathmini ya kasisi anayeisimamia • Watoto lazima wawe na ridhia iliyoandikwa kutoka kwa msimamizi au wazazi • Watoto yatima au walioathiriwa watakuwa na BabaMsimamizi au Mama Msimamizi • Majina ya wanaobatizwa lazima yaandikwe chini na kusomwa kanisani kabla ya ubatizo • Tunaruhusu mtu abatizwe baada ya miezi sita hadi mwaka moja.

  15. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Maisha ya kila siku Muumini Mpya Maisha ya kila siku Kanisani • Ushauri kwa Jamii • Mipangilio ya Wafuasi • masomo kabla ya kuwa mtumishi/Mtalaa ya Watumishi • Faraga ya Kiroho • Badilisha Mtumishi katika Sura ya Kristo • Vikundi vidogo vya kufanya utume kanisani • Shule ya Kitheolojia • Ibada Changamfu • Misa, Sifa, & Kesha • Mafundisho Bora • Mipangilio ya Kusoma • Ujuzi wa Kuhubiri • Masomo ya Biblia

  16. Mjumbe Muumini aliyekomaa Mature Member – Lively Worship M,uumini Mpya Maisha ya kilasiku Kanisani • Ibada Changamfu • Liturjia • sifa & Ibada • Maombi (Kesha)

  17. Muumini aliyekomaa – Kanisa Changamfu Liturjia/Misa • Vitabu vya Misa • Vitabu sawa za kutumiwa na kanisa zote. Vitatafsiriwa kulingana na lugha ya kanisa fulani. Itaandamana na maelezo kuhusu tukio wakati wa liturjia, picha ya safari ya Kristo katika misa, wakati wa kuketi, wakati wa kusujudu na kusimama, n.k. • Maelezo juu ya Liturjia • kasisi ataeleza kwa ufupi sehemu fulani katika misa • Maandalizi ya Kasisi kwa minajili ya Misa • Makasisi watatayarisha nyoyo zao usiku kabla ya liturjia kwa kuwa na wakati wa kipekee na Mungu, kusoma masomo kwa undani zaidi, na kuwaombea nyoyo za waumini kanisani • Mafunzo ya Shemasi na kujitayarisha kwa liturjia • Mashemasi watajitayarisha mioyo yao usiku kabla ya liturjia kwa kusoma Biblia, kuimba na kuomba kwa ajili ya kufungua moyo. Makasisi watafundisha masemasi roho wa kweli na uzuri wa kumsifu Mungu wakati wa liturjia

  18. Muumini aliyekomaa – Kanisa Changamfu Liturjia/Misa … • Fundisha watu maana ya kweli ya kumsifu Mungu • Fundisha watu ya kwamba kila mmoja anahitajika kushiriki katika misa na moyo wao wote. Pia, funza roho wa kweli na ubora wa kumsifu Mungu katika liturjia. • Husisha watu kwa kusoma Biblia • Andika masomo ya Biblia katika ubao wa nje na ya ndani ya kanisa. Karibisha watu ili wafuate kwa Biblia zao au wasome wakirudi nyumbani kwao • Ongezea muziki katika kiitikio cha misa • Ongezea sauti ya kupendeza pamoja na viombo vya muziki wakati wa kiitikio katika liturjia • Maelezo kuhusu ushirikiano ya masomo ya liturjia • Wakati wa mahubiri, kasisi ataongezea lengo la somo la mwaka kwa masomo ya liturjia • Fundisha ishara za liturjia • Katika mikutano baada ya misa, kasisi atatemelea kila mkutano na kueleza ishara ya sehemu fulani katika liturjia

  19. Muumini aliyekomaa – Kanisa Changamfu sifa na Ushirika • Kundi la Sifa na Ibada • Kundi hili ndio watakuwa wa kwanza kufika kanisani na sehemu zote za matukio. Wanatumbuikiza kanisa na waumini kwa nyimbo na muziki • Jumapili za Kiroho • Kuwa na Jumapili za kipekee baada ya liturjia, ambapo watu wote wanakusanyika kwa ushirika moja , kupata mlo pamoja, kushiriki katika shughuli na kutoa ushuhuda zao. Makaribisho hii ni pamoja na wasio washiriki wa kanisa

  20. Muumini aliyekomaa – Kanisa Changamfu Maombi • Sifa na Siku ya Maombi • Makaribisho ya wazi kwa kuimba na kucheza ngoma, kuomba pamoja kwa mahitaji yetu, kuombea wagonjwa, kusikiza mahubiri fupi ya dakika 15 na pia kusikia ushuhuda • Tasbeha (Sifa za Usiku wa manane) • Ni usiku wa sala ya saa kumi na mbili pamoja na nyimbo za kumsifu Mungu kwa lugha ya asili ya waumini, somo fupi ya Biblia na kutafakari • Mkutano wa Kesha • Lengo la somo litachaguliwa (k.m kuungama, Mapenzi ya Mungu, Utume). Kanisa litaombea lengo. Filamu inayoambatana na lengo litaonyeshwa. Washiriki watakunywa chai na kitafunio pamoja. Kesha litamalizika na liturjia. • Mkutano ya Maombi ya Watumishi • Watumishi watakuja pamoja kusikiliza mafundisho, kugawa jukumu, kagua wiki zilizopita na zinazokuja, kuomba na kushiriki uhushuda.

  21. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Mafundisho Thabiti Muumini Mpya • Mafundisho Thabiti • Kusoma Mipangilio (Hosea 4:6) • Tunahitaji kanisa liwe na maktaba ilio na vitabu vya kutosha. • Utaratibu ya kusoma lazima iwepo (kufupisha masomo ya kitabu maramoja kwa mwezi kwa msomaji) • Magazeti na vichapisho vya habari za kanisa zichapishwe • Lazima kusoma na kujifunza Biblia litiwe maanani kanisani • Msomaji ajulishwe kwa habari mpya • Msomaji pia anapaswa kuwa na maktaba yake binafsi. (Msomaji bora atatuzwa na msomaji asiyejali ataadhibiwa ili atie bidii) Maisha ya kila siku kanisani

  22. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Mafundisho Thabiti Muumini Mpya Maisha ya Kila Siku Kanisani • Mafundisho Thabiti • Kuhubiri • matayarisho: • maombi (Kutafuta ujumbe kutoka kwa Mungu) • Weka muda wa kuketi na kutafuta ujumbe kutoka kwa vitabu mbalimbali • Kutoa ujumbe kwanjia fupi • Kujifunza ujumbe kwako binafsi kabla ya kuwapa watu • Yaliyomo katika Ujumbe • Lenga kalenda ya kanisa ya mwaka huo • Elewa wasikilizaji wako • Uwe wa kubuni mapya • Kuwa na maonyesho bora • Njia ya kutumia iwe ya kueleweka

  23. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa - Familia Muumini Mpya Maisha ya Kila Siku Kanisani • Ushauri kwa Familia • Mipangilio ya masomo kabla ya ndoa ili iwatayarishe wanaotaka kuoana • Ushauri kwa walio katika ndoa ili uhusiano yao izidi kuwa thabiti • Kufundisha wazazi njia ya kulea mtoto katika Bwana • Semina ya kusaidia wazazi kuwaelewa watoto wao • Kuelewa mambo ya vijana chipukizi pamoja na vijana wengine • Kushughulikia mambo ya pombe na madawa za kulevya katika familia

  24. Mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Ufunzi Muumini Mpya Maisha ya kila siku Kanisani • Mipangilio ya Ufunzi • Mtalaa ya masomo kabla kuwa Mtumishi • Miaka miwili ya kutayarisha mtumishi mkakamavu • Mkutano mara moja kwa wiki kwa muda wa masaa mawili kwa maandalizi • Faragha ya Kiroho • Lengo ni kwenda faragha mwisho wa wiki kuiga maisha yakiroho ya waumini wengine • Faragha kwa kila rika pamoja na watumishi • Mikutano ya Watumishi – Mtalaa ya kufanya watumishi kukua kila wiki • Tathmini ya Mtumishi – Kuwaweka watumishi laini ya kiroho kila mwezi kwa kuwasaidia kukuwa katika sura ya Kristo • Kundi Ndogo – Utaratibu ambao watu 6 hadi 8 wanakutana pamoja ili wafunzwe

  25. Mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Ufunzi mfano wa mtumishi-tathmini ya mtumishi • Mambo ya Kiroho ya Mtumishi • Kuomba kila siku Wakati wa Utulivu • Kusoma Biblia kila siku • Kusoma vitabu vya kiroho • Kuhudhuria liturjia kila wiki mapema • Kutia bidii ya kuhudhuria, hata mara moja, liturjia katikati ya wiki mara moja kwa wiki mbili • Chunguza Mwenyewe • Kuishi maneno ya Mungu kwa maisha ya kila siku • Kuungama kila siku • Kutubu kila mara, sio chini ya baada wiki 6-8 • Tathmini kutoka kwa kasisi • Kujikabidhi kwa hayo yaliyotajwa hapo juu • Kupitia kwa uaminifu wa mtumishi kwa huduma yake na kwa kasisi • Urahisi wa kubali kubadilishwa kuhudumu popote anachohitajika Muumini Mpya Mfano wa Mtumishi Maisha ya kila Siku Kanisani

  26. Mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Ufunzi kupitia kundi ndogo Muumini Mpya Maisha ya kila siku Kanisani • Makundi madogo • Kundi ndogo ni nini? • Ni familia ndogo ya kati ya watu 6-8 na kiongozi mmoja • Lazima wawe rika moja na jinsia moja au wote walio katika ndoa • Kiongozi wa kila kikundi atakuwa anawatembelea kila wiki • lengo = kuwafanya wanakikundi kuwa wafuasi • utaratibu = Maombi, Shiriki Biblia, Shika nafasi kuhusu somo la kikundi • Kila mshiriki wa kikundi ana jukumu la mwenzake kwa maombi na kumtembelea • Kiongozi ni mwelekeza na rafiki sio mwalimu mkali

  27. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Ufunzi kupitia kundi ndogo Muumini Mpya Maisha ya kila siku kanisani • Kundi Ndogo • Kwa nini makundi madogo? (Faida) • Kupitia kwa ufunzi huu wa kikundi tunaweza kuwafanya wafuasi wa Yesu • Washiriki wa kanisa wanaanza kuhisi kuwa wamekaribishwa katika jamii ya kanisa • Washiriki wanajitolea wazi na kusaidi huku wakibadilishwa • Washiriki wanaweza kujipa moyo wenyewe kwa wenyewe kwa uamuzi kupitia maombi

  28. Mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Ufunzi kupitia kundi ndogo Muumini Mpya Maisha ya kila siku kanisani • Kundi ndogo • Jinsi gani tutaanzisha kundi ndogo kama kanisa? • Tangazia watumishi na mashemasi na ueleze maana ya kundi ndogo • Tangaza kwa wiki 3 kanisani • Vijana na wale chipukizi wanapaswa kuwa na kibali kutoka kwa wazazi / walezi wao • Kanisa litapanga watu wa kusimamia vikundi na kuchagua kiongozi • Viongozi watasomeshwa na kupokea mtiririko ya masomo kwa wanakikundi • Mara tu kiongozi akipata majina ya kikundi, yeye ndiye atakwenda kwao na kupanga mkutano ya kila wiki • Mikutano zifanyike katika nyumba za wanakikundi ili wajivunie kuwa ni yao • Kiongozi atafanya tathmini ya mikutano kila mwezi na kufanya mabadiliko inayohitajika • Kama waumini wapya wanajiunga na kanisa, watawekwa katika vikundi vilioko

  29. mjumbe Muumini aliyekomaa Muumini aliyekomaa – Shule ya Teolojia Muumini Mpya Maisha ya kila siku kanisani • Shule ya Teolojia • Mipangilio ya miaka miwili (2) (Kuishi) • teolojia, Biblia, na Masomo ya Utume • Zoezi kwa Kutumika • Kutayarisha viongozi na wamisionari kwa kuongoza miradi na sehemu mbalimbali • Geuza maisha ya viongozi

  30. Muumini Mpya Muumini aliyekomaa Mjumbe Misionari – Kwenda Nje • Tuma Nje • Mipangilio ya Uinjilisti

  31. Muumini Mpya Muumini aliyekomaa Misionari Misionari – Kutumwa Nje • Kutumwa Nje • Mipangilio ya Uinjilisti • Uinjilisti ni nini? • Ni kufikia watu nje, wanaume kwa wanawake, watoto kwa vijana ambao hawana uhusiano na Bwana ili waje wapate kuwa na huo uhusiano wa kipekee na Bwana. • Hivyo ni kutimiza Utume Kuu kulingana na Matayo 28:19.

  32. Muumini Mpya Muumini aliyekomaa Misionari Misionari – Kutumwa Nje • Kutumwa Nje • Mipangilio ya Uinjilisti • Kuanza Vipi? • Kila kanisa lazima itambue mtumishi / shemasi ambaye atasomeshwa kuwa katika kundi la Uinjilisti na kutoa ripoti kwa kasisi • Na kila kanisa litapeleka ripoti kwa kamati kuu ya Uinjilisti kila mwezi • Bawabu (Ushers) wanapaswa kusomeshwa vilivyo ili wajue kufuatilia matukio ya Uinjilisti • Kuandaa vifaa vya masomo kama vijitabu • Washiriki wote wa kanisa wasaidie katika matukio ya Uinjilisti • Karibisha wanenaji wa kimataifa ambao ni makasisi wa orthodox • Sehemu ya maandalizi • Sokoni, Mtaa wa mabanda, Wana kijiji mashambani, chuo kikuu, Shule ya upili na shule ya msingi.

  33. Muumini Mpya Misionari Muumini aliyekomaa Yanayohitajika kwa Kila Muumini • Kuleta Ndani • Kumaliza kosi ya Katekesimu • Maisha ya Kila siku Kanisani • Ibada ya kila wiki • Kuwa katika kundi ndogo • Hudhuria siku ya Kiroho • Somo kabla ya kuwa mtumishi • Mkutano ya wahuduma • Shule ya Teolojia • Tumwa Nje • Kundi la Uinjilisti

  34. Muumini Mpya Mjumbe Muumini aliyekomaa Steering Committee Leader • Kuleta Ndani • Kanisa la Upendo • Fr Timothy • Mena Attwa • Somo la Katekesimu • Fr Mark • Maisha ya kila siku Kanisani • Ibada Changamfu • Fr Joshua • Grace Attwa • Mafundisho Thabiti • Fr Thomas • Ushauri kwa Familia • Fr Abraham • Mipangilio ya ufunzi • Kabla kuwa mtumishi -Fr Joseph • mtumishi-Father Jacob • Kundi Ndogo-Dalia Fam • Kwenda nje – Fr. Elisha • Shule ya Teolojia Fr Elisha • Kutumwa Nje • Mipangilio ya Uinjilisti • Fr Bishoy

More Related