1 / 30

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED . REGISTRATION DSR 118 P.O.BOX 3948 DAR ES SALAAM . TANZANIA. MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TAWI DAR ES SALAAM. UKUMBI WA KARIMJEE . TAREHE 14.OKTOBA.2012. NA. D.F.NGALAWA Manager - Posta na Simu Saccos Ltd.

kuri
Download Presentation

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDITCOOPERATIVE SOCIETY LIMITED REGISTRATION DSR 118 P.O.BOX 3948 DAR ES SALAAM TANZANIA

  2. MAFUNZO YA UJASIRIAMALIKWA WANACHAMA WA TAWIDAR ES SALAAM UKUMBI WA KARIMJEE TAREHE 14.OKTOBA.2012

  3. NA D.F.NGALAWA Manager - Posta naSimuSaccos Ltd. MEED(udsm),PGDEED(udsm),PGDBA DIRECTOR White angels Primary school Bright Angels High School Lupingu Teachers college Proposed Ludewa Health college

  4. Utambulisho • Utangulizi • Madhumuni ya somo • Yaliyomo • Namna ya mafunzo • Majadiliano na kazi katika vikundi Agenda

  5. kujitambulisha • Viongozi wa Chama • Secretariat • Washiriki Wataje pia Biashara walizonazo au Wazo la biashara

  6. Utangulizi • Baada ya mada, washiriki watakuwa: - • Wameelewa maana ya ujasiriamali • Wana tabia za kijisiriamali • Wanamabadiliko Jasiri • Wapo tayari kuanzisha au kuboresha biashara • Tayari kufanya mabadiliko ili kuendesha chama kisayansi • Tayari kushuhudia mabadiliko kt chama

  7. Madhumuni ya Mada • Kutoa elimu ya ujasiriamali na kuwahamasisha washiriki kuanzisha au kuendeleza biashara zao • Kuhamasisha na kuwashirikisha wanachama mabadiliko ya kimtazamo na fikra • Kuzitambua tabia za kijasiria mali • Kuhusianisha ujasiriamali na maendeleo ya chama • Kutambua changamoto za chama na za wanachama za kijasiriamali

  8. Yaliyomo ndani ya mada • Maana ya ujasiriamali, tabia za kijasiria mali, namna ya kuanzisha, kuendeleza na kurithisha biashara • Mahitaji ya mabadiliko ya fikra, dira na mtazamo wa wanachama na mipango • Namna ya kuwa mwanamabadiliko mzuri na majukumu ya mwanamabadiliko • Namna ya kukiendeleza chama kwa kuanza na maendeleo ya mwanachama

  9. Jinsi Mada Itakavyoende…. • Washiriki watashirikishwa kwa kuchangia mada • Majadiliano yatafanyika mara kwa mara • Vikundi vitapewa kazi ya kufanya • Uzoefu na mifano mbalimbali itatolewa • Kushiriki mafunzo ya ujasiria mali wakati wa mada na baada ya mada • Kuchagua na kuamua biashara au mradi wa kufanya baada ya mafunzo

  10. Maana ya Ujasiriamali • Ujasiriamali maana yake ni; - Kitendo cha kuanzisha, kuendesha, kufanya biashara ndogo, kwa kujitegemea, Pia, kuimiliki na mwenye biashara kuwa ni mmiliki na mtendaji au meneja wa biashara yako. • Kuanzisha na kufanya bisahara kijasiriamali, Kuzingatia tabia za kijasiriamali, siyo kufanya biashara kiholela au bila utaratibu

  11. Tabia za kijasiriamali • Kuipenda na kuifurahia biashara • Kuwa na malengo ya kukuza biashara • Kuwa na malengo ya muda mfupi na muda mrefu • Kuwa na mikakati mizuri • Kuwa mbunifu na kujitegemea • Kuwa na ari na jasiri wa kuthubutu • Kuwa na mtandao wa watu wengi • Kufanya kazi kwa bidii

  12. KAZI ZA VIKUNDI DK 10 • Kila kikundi kiainishe: - • Maeneo kumi ambayo pesa za mshahara huwa zinatumika. Anza na eneo linalotumia pesa nyingi • Matatizo (problems) kumi ambayo kikundi kama jamii kinakabiliana nayo katika maisha ya kila siku sehemu wanakoishi: - TEMEKE. ILALA KINONDONI

  13. Maeneo kumi yanayafanana • Chakula………... • ……….. • ………. • ………. • ………. • ……… • ………

  14. 1 MSHAHARA • Chakula • Ada • Nauli • Mawasiliano • Mavazi • Matibabu • UmemeMaji • Pango • Starehe • Maendeleo

  15. 1 MATATIZO • Maji • Usafiri • Magonjwa • Makazi • Majanga • Uchafu • Njaa • Elimu • Miundombinu • Nishati

  16. 2 MSHAHARA • Chakula • Pango • Usafiri • Ada/ Elimu • Mavazi • MisaadakwajamiiMisiba, Sadaka • Simu • Maji/ Umeme • Starehe • Matibabu

  17. 2 MATATIZO • Maji • Miundombinu • Kumbi/ Starehe • HudumaHospitali, sokoPolisi • Usalamawamalinaraiawizi • Usafiri • Mfumukowabei • Ajira • Makazibora • Uchafuwamazingira

  18. 3 MSHAHARA • Chakula • Usafiri • Matibabu • Pango • Ada • Mavazi • Yaya • Sadaka • Starehe • Misaadakwandugu

  19. 3 MATATIZO • Maji • Usafiri • Umeme • Uchafu • Ulinzi • Hospitali • Barabara • Ndugu • Mapumzi

  20. 4 MSHAHARA • Chakula • Matibabu • Ada • Maji • Umeme • Usafiri • Mawasiliano • Pango • KijamiiHarusi • MavaziUremmbo

  21. 4 MATATIZO • Maji • Umeme • Usafiri • Usalama • Mfumukowabei • Miundombinu • Uchafu • Magonjwa • Ajira • HudumazaAfya

  22. Mifano • Rizika na Majaliwa • Kwenda benki: kwani mnakopesha bei gani? • Taasisi zinazokopesha 10%, 20%, 30% kwa mwezi • Taasisi zinazokopesha 30% 35% 48% kwa mwaka • Wakopaji wanategemea au wanajiaminia nini???? Sisi je?

  23. Uwiano na biashara ndogo • Tunategemea wale wenye nia ya kuanzisha biashara wawe na tabia hizo zaidi kuliko watu wengine • Lakini kuanzisha biashara yako na kuiendesha mwenyewe kunaweza kukufanya uwe na tabia ya kijasiriamali • Mipango mizuri ya biashara itakulazimisha kufikiri na kuifanya biashara kijasiriamali. Kuweka malengo na kupanga mikakati ya kutimiza malengo yako. Kuthubutu kimahesabu, kuwa mbunifu nk

  24. Mabadiliko • Mabadiliko hayaepukiki katika maisha na kuna njia mbili za namna ya kuyakabili: - • Mabadiliko yakubadilishe wewe AU • Kupanga namna ya kuleta mabadiliko kwa namna utakavyo

  25. Tunaweza kuleta mabadiliko gani? • Tubadilike kwanza wenyewe na tuwe na mtazamo au mwelekeo wa maendeleo. Tunalenga nini daima • Tukitazame chama chetu. Kinakwenda wapi?? • Tukianzisha biashara vizuri, tutakuza biashara zetu na tutakopa zaidi mwisho saccos yetu itakuwa zaidi. BENKI Agenda

  26. Mabadiliko ya kiutendaji Utendaji wa chama unapo badilika Dira Sasa Mpito Hakieleweki Wegine hawapendi Hali inayojulikana Maumivu Mabadiliko

  27. Mabadiliko kiutendaji Maana • Kama Kitendo: • Kubadilishwa au kufanywa tofauti • Kubadilisha • Kama Neno: • kuwa tofauti, Vingine • Tofauti na hali ya mwanzo • Kubadiliha na kingine • Tofauti Msisitizo ni kukifanya kitu kiwe kingene Haya yanaweza kuwa ni mabadiliko makubwa

  28. Dinosaurs Walikufa! Wanyama walibaki! Badala yake walikumbatia mabadiliko na wakapona

  29. Thank You!

  30. CONTACTS • +255-658853100 • +255-762241124 • +255-784853100 • E-Mail:ngalawadeogratias@gmail.com

More Related