1 / 298

mgisamtebe

KUMPENDA MUNGU ‘ Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu ’ Azania Front - Morning Glory 28 th May - 1 st June, 2012. www.mgisamtebe.org. NGUVU YA UPENDO. MUNGU ATENDAYE KAZI KATIKA UPENDO Warumi 8:28. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO. Warumi 8:28-30

keaton
Download Presentation

mgisamtebe

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. KUMPENDA MUNGU‘Kukua na Kuongezeka katika Kumpenda Mungu’Azania Front - Morning Glory 28th May - 1st June, 2012 www.mgisamtebe.org

  2. NGUVU YA UPENDO MUNGU ATENDAYE KAZI KATIKA UPENDO Warumi 8:28

  3. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 28 Nasi twajua ya kuwa, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi pamoja na wale wanaompenda, katika kuwapatia mema.

  4. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 29 Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili, ili wafananishwe na mfano wa mwanaye (Yesu Kristo).

  5. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 30 Na hao aliowajua tangu asili, aliwaita; na hao aliowaita, akawahesabia haki; na hao aliowahesabia haki na aliwatukuza.

  6. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Warumi 8:28-30 Kiwango cha utendajikaziwaNguvuzaMungumaishanimwako, kitategemeasanakiwango cha UpendowakokwaMungu.

  7. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu

  8. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu

  9. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu

  10. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu

  11. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Kwahiyo … Kiwango cha = Kiwango cha Upendo Nguvu

  12. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ni Muhimu Tujue Kwamba … Upendo = Nguvu Kwa Mungu za Mungu

  13. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Kusudi la Mungu Waefeso 4:11-15

  14. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 11 Naye alitoa wengine, kuwa Mitume na Manabii, Wachungaji, Wainjilisti na Waalimu;

  15. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 12 Kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke.

  16. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 14 ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila za watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.

  17. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 13 Hata na sisi wote, tutakapoufikia umoja wa imani, na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika katika cheo cha Kristo.

  18. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Waefeso 4:11-15 15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua(katika upendo)hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, yaani Kristo Yesu.

  19. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Uwezo wa Yesu Luka 4:14, 18-19

  20. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Luka 4:14, 18-19 Baadayakushindamajaribuyote, Bwana YesualirudiGalilayakatikaUwezanaNguvuzaRohoMtakatifu;HabarizakezikaeneapandezotezaUyahudina Samaria.

  21. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Luka 4:14, 18-19 … akaingia Hekaluni, akahubiri akisema “Roho wa Bwana Mungu yuko juu yangu, na amenipaka mafuta, niwafungue watu wote walifungwa (na ibilisi) …

  22. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Matendo 10:38 … Mungu alimpaka Yesu Kristo Mafuta kwa Roho Mtakatifu na Nguvu, naye akazunguka, akiwaponya wote walioteswa na kuonewa na ibilisi shetani.

  23. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Shauku ya Yesu Yohana 14:12-14 Yohana 16:7

  24. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Luka 4:14, 18-19 Kwasababu Bwana Yesu ametupa Roho Mtakatifu yule yule aliyemwezesha yeye Yesu kuwa mtu asiye wa kawaida kati ya watu wa kawaida, hivyo basi …

  25. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 14:12 Yoh 16:7 AminiAmininawaambia, kwasababuninakwendakwa Baba (kuwaleteaRohoMtakatifu), basikilamtuaniaminiayemimi, hizikazinizifanyazo, nayeyeatazifanya.

  26. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Luka 4:18 Kwasababu Bwana Yesu ametupa Roho Mtakatifu yule yule aliyemwezesha yeye Yesu kuwa mtu asiye wa kawaida kati ya watu wa kawaida, hivyo basi …

  27. IMANI ITENDAYO KAZI KWA UPENDO Yoh 14:12 Yoh 16:7 … Shauku ya Bwana Yesu, ni sisi waumini wake wote, kukue kiroho mpaka tufikie uwezo wa kufanana na yeye, katika utendaji wa maisha yetu ya kila siku.

  28. Kusudi la Somo;TABIA YA KIMUNGU ‘Kuitambua na Kuachilia Asili ya Mungu iliyo Ndani Yako.’ 2Petro 1:3-4

  29. IMANI YA USHINDI 2Petro 1:3-4 3-4 Mungu ametukirimia ahadi zake kubwa na za thamani (NENO) ambazo kwahizo, twaweza kuwa washirika wa Tabia za Mungu, tukiokolewa na uharibifu wa dunia.

  30. NGUVU YA UPENDO Tabia za Mungu; Uumbaji na Utawala. Yoh 1:1-4, Heb 11:3 Math 16:18-19, Math 17:19-21

  31. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU 1Yohana 5:1-4 1 Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo, amezaliwa na Mungu (kwahiyo, ni Mungu mdogo duniani). (Zaburi 82:6)

  32. IMANI YA USHINDI 1Yohana 5:1-4 4 Kwa maana, kila kitu kilichozaliwa na Mungu, huushinda ulimwengu, na huku ndiko kushinda, kuushindako ulimwengu, ni hiyo Imani yetu.”

  33. IMANI YA USHINDI Ndani ya kila mtoto wa Mungu, kuna Sura na Mfano wa Mungu, (au asili ya Mungu) ambayo inakupa Nguvu ya ushindi dhidi ya kila upinzani wa adui shetani maishani mwake.

  34. KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA Ili Mwanadamu aweze kulitimiza Kusudi la Mungu vizuri, Mungu alimpa Mwanadamu Mamlaka ya Kumiliki na Kutawala mazingira yake, ili awe na maisha mazuri ya kumtumikia Mungu kama vyombo vizuri vya ibada.

  35. BAADA YA WOKOVU (KALVARI) (Utukufu) Roho Mt.Mungu MwiliRoho Dunia Nafsi Shetani(Rum 8:9-11)

  36. KANUNI ZA KIROHO Bwana Yesu aliomba hivi: Yohana 17:22 ‘Baba, Utukufu ule ulionipa, nami nimewapa wao (Kanisa)’; ‘yaani watu walioniamini, walinipokea maishani mwao na wanaishi kwa kanuni zangu za kiroho’

  37. Uwezo wa roho ya Mtu Mwili, Nafsi, Roho Ulimwengu Ulimwengu wa Mwili Kiungo wa Roho

  38. Mungu Ndiye Asili Yetu. Mwa 2:7 Mungu Dunia Mwili Nafsi Roho

  39. NAMNA YA KWENDA MBELE ZA MUNGU Wewe una asili ya Mungu Kuona Kuelewa Kujua UTUKUFU

  40. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Yohana 14:12/16:7-8 ‘Amini Amini nawaambia, kila mtuaniaminiaye mimi, kazi nizifanyazo, (miujiza) na yeye atazifanya, naam, hata kubwa kuliko hizi atafanya; kwasababu nakwenda kwa baba kuwaletea, Roho yule yule aliyeniwezesha mimi kufanya haya.

  41. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Na si Yesu peke yake, hata binadamu wengine wa kawaida, waliweza kufaya mambo ya ajabu duniani, kinyume na taratibu za kawaida za kimwili, na wakaishi maisha ya ushindi na mafanikio duniani, bila kuzuilika. Yohana 14:12/16:7-8

  42. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ndio maana Eliya aliweza kuzuia mvua kwa miaka mitatu japo kulikuwa na kila kanuni ya kimwili ya kuruhusu mvua kunyesha, kitu ambacho ni kinyume kabisa na kanuni za kawaida za kimwili. Yakobo 5:17-18 Kanuni za kimwili hazikumzuia.

  43. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Na ndio maana pia aliweza kurudisha mvua juu ya nchi, japo hakukuwa na kanuni za kimwili za kuruhusu (kusababisha) mvua kunyesha, kitu ambacho ni kinyume kabisa na kanuni za kawaida za kimwili. Yakobo 5:17-18 Kanuni za kimwili hazikumzuia.

  44. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU Ndio maana Petro aliweza kumponya kilema katika mlango wa hekalu, bila operation ya miguu (kama Yesu), kitu ambacho ni kinyume kabisa na kanuni za kawaida za kimwili. Matendo 3:1-16 Kanuni za kimwili hazikumzuia.

  45. Uwezo wa roho ya Mtu Ndio maana Mitume waliweza kufanya mikubwa (kama Yesu), kitu ambacho si cha kawaida. Matendo 5:12/19:11 Na Mungu akafanya kwa mikono ya mitume, miujiza ya kupita kawaida …

  46. Uwezo wa roho ya Mtu Matendo 5:12/19:11 … mikono yao, vivuli vyao na hata leso zao, zilikuwa na nguvu za Mungu zilizowaponya watu walioonewa na ibilisi.

  47. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU NGUVU YA NENO 2 Timotheo 3:16-17 Andiko + Pumzi = Neno(Hai) Herufi + Roho = Nguvu

  48. KUTEMBEA NA NGUVU ZA MUNGU NGUVU YA NENO Waebrania 4:12 “Neno la Mungu li hai tena lina Nguvu”

  49. KANUNI ZA KIROHO Yohana 1:1-4, ‘Neno alikuwa kwa Mungu, Neno alikuwa Mungu, kila kitu kilifanyika kwa Neno; wala pasipo yeye, hakuna kitu kilichofanyika.’ ‘Neno ni uhai.’

  50. NGUVU YA NENO 2Kor 3:6, Yoh 6:63 ‘Andikolinauwa, lakini Rohoanahuisha; kwahiyo, Nenolangu niRoho, tena ni Uzima; kwasababu’

More Related