1 / 17

KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204

KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204. MBINU ZA KUFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA. Nini kusoma ?. Ni uwezo wa kuelewa maana maandishi au maumbo yaliyoandikwa . Msomaji anatumia maumbo na kugundua taarifa katika kumbukumbu zake na kutumia taarifa hizi kujenga tafsiri ya ujumbe wa mwandishi .

peta
Download Presentation

KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204 MBINU ZA KUFUNDISHA KUSOMA NA KUANDIKA

  2. Ninikusoma? • Ni uwezowakuelewamaanamaandishi au maumboyaliyoandikwa. Msomajianatumiamaumbonakugunduataarifakatikakumbukumbuzakenakutumiataarifahizikujengatafsiriyaujumbewamwandishi. • (Mitchell 1982:1 katika Clapham Caroline,1993) • Usomajiunahusishwana process yakutambuamaumbonakuyapatiamaana/kuyafahamu • Kunahusishakuonakutamkanakupatamaana. (linear process) • Inahusishaakilinamwili(metal and physical activity)

  3. Umuhimuwakusoma • Ni muhimukujifunzakusomakwasababukunapelekeauwezowakusomakwaharakanakwausahihi. • kusomakiusahihikunapelekeakupatataarifazauhakikakinyumechakekusomakimakosakunapelekeakupatataarifazisizosahihi. • Kusomaharakaharakakunaharakishakupatataarifanakidogokidogokunacheleweshakupatataarifa.

  4. Ainazakusomakatikakufundisha • kusomakwakufahamu (lengonikuelewaujumbeunaokusudiwakatikahabari) • Kusomakwamazoezi (lengonikumpamwanafunzimazoeziyakusoma, uwezowakusomabilayakudodosanakwakuzingatiavituo)

  5. KUSOMA KWA KUFAHAMU • ZIPO HATUA TATU ZA UFUNDISHAJI KUSOMA • Kablayakusoma (pre -reading) • Wakatiwakusoma (while reading) • Baadayakusoma (after reading)

  6. Kablayakusoma • Kablayakusomahabarialiyoikusudiamwalimukwawanafunzi, mwalimuanatakiwaawaulizewanafunzimaswaliyajumlajuuyamadakwakuwawekatayarijuuyakinachokuja, nakuangaliamaarifayaomakongwekwaajiliyakuyaunganishanamaarifamapya. • Katikahatuahiipiamwalimuanawezakutumiapichainayohusiananamaudhuiyahabarinakuwaulizamaswaliwanafunzikuhusupichahio.

  7. Inaend. • Lengonikuwajengeamaarifawanafunzijuuyamaudhuiyahabari. • Katikahatuahiimwalimuanawezakuulizamaswaliyanayohitajijawabuzamojakwamoja • Hikininini? Anafanyanini? Au yakuwatakawanafunziwafikirimf. unafikirininikuhusupichahii, ninimaanaya... faida...., unafikirininikinawezakufanywaili....

  8. Wakatiwakusoma • Hapamwalimuanawezakusomahabarikwasautimaramojatunabaadaekuwaachiawanafunziwasomewenyewekimyakimya( lengonikusomakwakufahamu , hivyohaipendelewikutoasauti) • Misamiatiiweimeshafafanuliwakablayahatuayakuanzakusomanaitolewemaanakwamahitajiyahabaritu. • Manenomapyayasizidimatatukwawanafunziwadogonasitakwawanafunziwakubwa

  9. inaend • Katikahatuahiimwalimuawaulizewanafunzimaswaliyanayopimaufahamuwaowahabari • Maswaliyaanzekwakuangaliaufahamuwakilaaya. Mf ayaya kwanza inazungumzianini,wahusikagani, vitu,ganisehemu, nk (skanningquetions)

  10. Baadayakusoma • Mwalimuaulizemaswaliyatakayotofautiananayamwanzo mf wamaswaliyanayohitajikufikiri, kuchambua, kutoamawazo, nk. • Mf unafikirikwaninialifanya..., kamaweweungefanyanini? Ungetoauamuzigani, unawashaurininiwatuwainahii...,unahisikwaniniserikaliilitoauamuzihuu ule...unafikirimwandishiwahabarihiiamekusudianini..nk (skimming questions)

  11. Fikirianimaswaliganiunawezakuwaulizawanafunzikablayakuwapahabarihiikuisoma, au kuwasomea? MVUA KUBWA • Sikumojawakatiwamasika, baadayamvuakunyesha, sisisotetulikuwatukifanyakazikamakawaida. Mara tulisikiangurumoyakutishakutokaupandewamtiwetu. Tulishtukanakutazamana. Mara tulionamitimirefuiliyokuwakaribunasiikiangukammojammojakamamigombailiyoshindananaupepokwamudamrefu. Tulipigwanabumbuazi! • Katikapatashikahiyo, tulijikutatumefikamtoni. Loo! Mtoulikuwajito. Majiyaliyojaamatopeyalikuwayanakwendakwakasimithiliyaumeme. Yalichukuakilakitukilichokuwanjianimwake. Mitiminenesananamirefunayoikang’olewakwanguvuzamaji. Majabalimakubwayakaviringishwanakutupiliwambali. • Baadayahayoyotendipotulitanabahikuwatulikuwatumejitumbukizakatikahatari. Tulikimbiaharakanakuruditulikokuwamwanzoni. Hiiilikuwagharikaambayohatukujuachanzochake.

  12. MBINU ZA KUFUNDISHA KUANDIKA • Kuandikanistadimuhimusanakatikastadizalugha. • Uandishiunampafursamwanafunziyakutumiastadimbalimbalializojifunza mf katikakutumiamisamiati, sarufi, taratíbuzauandishink • Unamwezeshamwanafunzikutumiaakilikatikakufikirinakupangahoja. • Hivyo, uwezowakuandikaunatambulishauwezowalughaalionaomwanafunzikatikakujielezanakueleweka.

  13. Uandishiunawezakuwawa: • Ufunuo (niuandishiunaozungumziataarifazaukwelimf,jografia, historia,sayansi, lugha, nkn) • Ubunifu (niubunifuwatukio au jamboambalosi la kwelinakulifanyalionekane la kwelikwanamnayamatumiziyalughanaufundimwengine mf kazizafasihi) • Ushawishi ( niuandishiwakumvutiamsomaji mf barua, risala)

  14. inaend • Mwalimuanawezakutumiambinuyavielelezokuwasaidiawanafunzikupatauwezowakuandika. • Vielelezovinawezakuwamfanowabarua, hotuba, insha, nk. • piauandishiunawezakufundiswakwakuzingatiakanunizakituamachokinafundishwamfanobaruarisala, insha. nk. • Mwalimukwakusaidiananawanafunzianawezakuwaulizamaswalijuuyamuundowauandishifulaninabaadaekuandikaubaoni. • Inategemewawanafunziwaonemuundohuoubaonibaadayamajadilianonamaswali.

  15. mfano Anuani Tarehe Maamkizi (babampendwa) Salaamu (Nategemeaupo.... Taarifa (lengo la baruahiini... Kifungio ( nisalimie... Jina la mwandishi(mwanaompendwa...

  16. Inaend. • Wanafunziwazionekanuniwaziwaziubaoninamfanowamatumiziyakanunihizo. • Mbinunyengineyakufundishauandishiniyakutumiamazingira • Hapamwanafunzianapewamazingirayakuandikakazinahivyokumfanyaagunduesheriamwenyewenakutengenezakielelezomwenyewe. • Mfanounawezakumpamazingirakuandikabaruayakuombakazimwambieyeyeninanianaombakwanani, anaombanini, anasifagani, n.k. • Au aandikehotubayeyeninani, anahutubianani, nini, anategemeanini. nk • Mbinuhiiinapendekezwazaidikwawanafunziwakubwa.

  17. Inaend. • Mbinuyoyoteitakayotumikakuwenamudawawanafunzikufanyamazoeziyakuandikadarasani. • Wanafunziwapewekazinyenginejuuyaainayautungajiwaliousomanawaandikedarasani • Wanawezakuandikakwavikundi , au kilakikundinaayayake • baadaekazihizozisomwenakusahihishwakwapamojadarasani

More Related