Swahili 1 Tiffany

Swahili 1 Tiffany PowerPoint PPT Presentation


Mjini Johannesburg, rafiki wangu atakutana na mimi uwanja wa ndege. ... watu wa mji wataimba na. watacheza. Zambia. Nitaona Victoria Falls tena! ...

Download Presentation

Swahili 1 Tiffany

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation

Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author.While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server.


- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -

Presentation Transcript


Tiffany Holder Swahili 2010 Moshi Desemba 2004 Jina langu ni Tiffany, na nitawaambieni nini nitafanya majira ya joto 2005. Nitakwenda Afrika!!! Ninajua nitaona vitu vyingi, na nitawaambieni nini ninatazamia. Nitaondoka tarehe kumi Mei mwaka elfu mbili na tano. Nitakwenda kwa ndege, na nitasimama London na haraka Johannesburg. Safari itakuwa ndefu lakini nzuri. Mjini Johannesburg, rafiki wangu atakutana na mimi uwanja wa ndege. Atatuendesha kwa gari kwenda kaskazini Botswana. Rafiki na mimi, tutazungumza kuhusu kumbukumbu zangu. Ninamkosa rafiki wangu, na nitafurahi kumwona. Tutafika Botswana, na tutaenda mjini Serowe. Serowe ni mji wangu nilipojifunza mwaka elfu mbili na mbili. Zaida ya hayo, nitatembelea nyumba yangu mjini. Nitasisimka kuona nyumba na marafiki wangu. Nilifundisha shuleni Botswana. Kwa hiyo, nitawaona wanafunzi na walimu. Ni wazuri, na ninawapenda sana. Haraka, nitaondoka Botswana, na nitakwenda kwa basi kuona nchi nyingine. Nitafanya mradi. Nitafanya mradi kuonyesha habari za Afrika. Nitaandika insha ndefu. Nitasafiri kaskazini kuona Msumbiji, Malawi, Zambia, Tanzania, na Unguja. Msumbiji: Nitasafiri mijini kufahamiana na watu wa nchi. Malawi: Hapo, nitaogelea ziwani kuona samaki. Nitakula samaki, na watu wa mji wataimba na watacheza. Zambia Nitaona Victoria Falls tena!!!!
  • Login