1 / 53

SOPHIST TANZANIA COLLEGE

SOPHIST TANZANIA COLLEGE. MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA POSTA NA SIMU SACCOS AWAMU YA PILI. MADA. FURSA ZA BIASHARA Dominick Francis Haule Phil, Mass Comm , SAUT, MEED UDSM UZOEFU. Amri 10 za fedha za Dangote. Dangote ’ s 10 commandments on Money.

early
Download Presentation

SOPHIST TANZANIA COLLEGE

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author. Content is provided to you AS IS for your information and personal use only. Download presentation by click this link. While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server. During download, if you can't get a presentation, the file might be deleted by the publisher.

E N D

Presentation Transcript


  1. SOPHIST TANZANIA COLLEGE MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA POSTA NA SIMU SACCOS AWAMU YA PILI

  2. MADA FURSA ZA BIASHARA Dominick Francis Haule Phil, Mass Comm, SAUT, MEED UDSM UZOEFU

  3. Amri 10 za fedha za Dangote

  4. Dangote’s 10 commandments on Money • Go into business for which you have passion • Fanya biashara unayoipenda • Start small • Anza biashara ndogo/kidogo • Sell cheap, keep standard but don’t kill the competition • Uza bei nzuri, zingatia ubora, usiogope ushindani • Hard work • Fanya kazi kwa bidii

  5. Dangote’s 10 commandments on Money • Adopt ‘catch me if you can’ as a business policy (don’t be into business just to add to the numbers). • Fanya ushindani ki-maendeleo • Be law abiding, don’t fight government • Fuata sheria, Usishindane na Serikali • Go into manufacturing • Fanya Bishara ya Uzalishaji

  6. Dangote’s 10 commandments on Money • Belive in Nigeria (Tanzania?) • IaminiNchiyako, Uzalendo • Always be on lookout for needs to satisfy • Zingatiamahitajiyasoko • Give pleasure to the society and take away pain • Wapewatunafuu, waondoleemaumivu

  7. Utangulizi • Ujasiriamaliniuwezonaniayakuendeleza, kuandaanakusimamiamradiwabiasharabilakujalihatarizakekwaniayakupatafaida. • Katikauchumi, ukiuchanganyaujasiriamalinaArdhi, nguvukazi, rasilimaliasilia, namtajiutawezakupatafaida.

  8. Utangulizi Unaend… • Wajasiriamali wenye ari ya kuthubutu, wabunifu na wasiojali hatari zozote katika biashara ndio huwa moyo wa maendeleo ya nchi yoyote. • Uchumi wa nchi yetu unakuwa, wanaofanya kazi watakuwa na hali nzuri na watakaoamua kulala wataendelea kulia kila kukicha. • Imedhihirika kuwa, hatua ya kwanza ya kuanza biashara ni KUTHUBUTU NA UTAWEZA.

  9. Fursa za Bishara • Katikamadahiitutaona; • MchakatowaKupataMsukumowakubuniwazo la biashara. • Jinsiyakuanzishabiashara. • Kudumukatikabiashara. • Kukuakatikabiashara. • kuimarikakibiashara.

  10. Fursa za Biashara zinaende……. Kufikiakiwango cha mafanikionamaendeleoyaBiashara.

  11. Ubunifu, Jinsi ya kuanzisha Mradi • Biashara inaanzishwa kwa hatua, na hatua ya kwanza ni kuitambua fursa ya biashara katika mazingira yanayotuzunguka • Hatua ya pili ni kuiweka fursa katika wazo zuri la Biashara ili kukidhi hitaji la kitaalam la kuanzisha mradi na • Hatua ya mwisho ni kuanzisha biashara na kuisimamia kikamilifu na kuifanya biashara kitaalam.

  12. Jinsi ya kuanzisha mradi • Fursazakibiasharazinapatikanakatikamazingiratunayoyaishinamtuyeyoteanawezakuanzishabiasharakwanamnazifuatazo: - • Kuendelezabiasharayafamiliakwaubia au urithi • Kuiga au kufanyabiasharainayofanywanafamilia au mtumwingine • Kuanzishabiasharabaadayakupunguzwakazi

  13. Jinsi ya kuanzisha mradi • Kwa kutumiamafaonamalipombalimbali [e.g. Golden handshake] • Kuanzakwakutumiarasilimalimbalimbalibinafsizisizonamahusianonamalipo ya kazini. [kufukuzwakazi] • Kuanzishabiasharakwauzoefubinafsi au ujuzinaubunifubinafsi

  14. Je, tunaweza anzisha biashara bila fedha? • Tunawezaje kuanza biashara bila ya fedha? • Tusikie mifano michache.

  15. Ubunifu na uanzishaji wa mradi bila fedha • Akili na maarifa vinatosha kuanzisha biashara • Ubunifu pamoja na matumizi mazuri ya akili na maarifa katika kuona fursa na vyanzo vya biashara vinavyohitaji ujuvi, ujuzi na bidii ya kazi au nguvu • Anza na kuainisha fursa zote ambazo zimo katika mazingira yanayotuzunguka, rejea namna mbili za kuchagua na kufahamu fursa.

  16. Ubunifu na uanzishaji wa mradi bila fedha Chaguafursatatukatikanyingiambazounawezakumudukuzianzakwaakili, maarifananguvuzako • BiasharahizozinawezakutokakatikaorodhayabiasharazinazopatikanakwakuchaguaMATUMIZI YA MAPATO NA MATATIZO YA MAENEO TUNAKOTAKA KUWEKEZA.

  17. Biashara na utaalam ili kudumu katika Biashara • Katika biashara tatu zilizoainishwa, chagua biashara moja iliyofanyiwa upembuzi yakinifu ili kuiweka kitaalam • Zingatia mambo yote muhimu ya kitaalam kama vile; gharama za uanzishaji, gharama za uzalishaji, Muda utakaotumika, Mazingira ya masoko, pamoja na vipimo vya kitaalam katika biashara hiyo, mfano:-

  18. Biashara na utaalam ili kudumu katika Biashara - Eneola mradi • Kiasi cha malighafi au mahitajiyauanzishajibiashara • Gharamazauendeshajikama vile mahitajiendelevu • Gharamazawafanyakazi, mafunzo, nakuingiasokoni

  19. Kumjalimtejanamasoko, KukuakatikaBiashara • Biashara ni marafiki, mtandao mkubwa wa watu. Kupoteza au kutowajali wateja ni sawa ni kupanga kufilisika katika biashara • Ni muhimu sana kujua mbinu za kumjali mteja kwani kwa kufanya hivyo, unamlazimisha mteja kutawanya sifa za mjasiriamali kwa watu zaidi ya watano. Sifa mbaya za mjasiriamali, hupelekwa na mteja kwa watu zaidi ya kumi.

  20. Kumjali mteja na masoko, Kukua katika Biashara • Hayo ni miongoni mwa mambo muhimu sana katika malengo ya kukuza biashara.

  21. KuimarikaKibiashara • Baada ya biashara kukua, biashara inahitaji iwekwe kwa namna ya kuwa imara • Biashara imara ni ile biashara inayofuata misingi yote muhimu ya kibiashara ikiwa ni pamoja na kuwa na vyanzo vizuri vya kununua mali au malighafi na kuwa na masoko ya uhakika hasa masoko yale yanayozingatia mahitaji ya wateja. Ni vizuri kutafiti wateja wanatarajia huduma au bidhaa za aina gani.

  22. KuimarikaKibiashara • Biashara imara ina sifa ya kukopesheka, pesheka, inakopesha, inajiendesha bila tatizo na inajenga misingi ya aina zote za makuzi ya kibiashara

  23. Mafanikio na Maendeleo ya Biashara • Hii ni hatua kubwa katika biashara, katika hatua hii, biashara inakuwa na faida kubwa hasa baada ya kurejesha mtaji na kumudu kulipa gharama zote za uendeshaji • Katika hatua hii, biashara inaweza kutoa mchango mkubwa katika uwekezaji wa biashara nyingine mpya itakapotokea kuwa mmiliki atakuwa tayari kutumia faida katika kuendeleza biashara nyingine.

  24. Kazi za vikundi • Kila kikundi kianishe fursa 5 za biashara zinazopatikana katika eneo husika au tarajiwa la ujasiriamali • Kila mmoja achague fursa tatu kati ya biashara tano zilizoainishwa hapo juu. • Taja biashara moja kati ya tatu ulizoziainisha na elezea sababu za kuamua kuipenda, kuichagua na kuamua kuifanya biashara hiyo

  25. Kuchagua Biashara • Chagua biashara kulingana na tabia za mjasiriamali • Biashara uliyoichagua itazame kitaalam na uiweke katika karatasi • Ainisha aina ya biashara, eneo linalofaa, mtaji unaotakiwa, mambo yanayoendana na biashara • Zingatia takwimu zote za kitaalama kulingana na aina ya biashara kama mifano inavyoonesha hapa chini

  26. Kuchagua Biashara….. • Mtaji sawa katika biashara tofauti huwa na matarajio au mapato tofauti kulingana na aina za biashara. • Mfano ukiwekeza shilingi milioni moja katika shamba la mahindi lililolimwa kitaalam kwa miezi miwili unaweza kupata mapato makubwa kuliko kuwekeza kiasi hicho hicho katika biashara ya dhahabu.

  27. FURSA Mifano: 1. Kilimo KILIMO CHA MAHINDI: • Gharama ya shamba, aina ya udongo, hali ya hewa, Mvua, joto au baridi. • Gharama za kulima, Hallow, Kupanda, palizi, Kuvuna, Kusomba, magunia/mifuko na Ghala • Mbegu, mbolea na madawa mbali mbali • Vipimo; mbegu hadi mbegu, mstari hadi mstari

  28. ASANTENI KWA KUNISIKILIZA

  29. Mawasiliano + 255 718 19 46 06 + 255 767 11 1173 sophistiringa@gmail.com

  30. Kilimo cha umwagiliaji………… • Matunda • Mahindi • Mpunga • Maharage • Viaziainazote • Soya • Mbogamboga • Ndizi • Machungwa • Maembe • Mananasi • Parachichi

  31. Kilimo Umwagiliaji • Matikiti • Matango • Bamia • Bilinganya • Pilipili • Nyanya • Vitunguu • Vitunguuswaumu • Karoti • Maboga • Passion

  32. Mazao ya biashara • Alizeti • Karanga • Ufuta • Dengu • Mbaazi • Njegere

  33. Mazao ya biashara • Pilipili • Maua • Ngano • Shayiri

  34. Ufugaji • Kuku: wakienyejinawakisasa; wanyamanawamayai • Uzalishajivifarangawakienyejinawakisasawanyamanawamayai • Matumiziyamashinezakutotoleavifaranga • Kununuanakuuzamayai

  35. Ufugaji kuku: Mfano 2. Mambo yaMsingi; • Ainayabanda • Ainayavifaranga • Kiasi cha chakula • Madawanachanjo • Uzito • Magonjwaya kuku • Idadiyakufanyafaida • Idadiya kuku kwaeneo • Tabiaza kuku

  36. Ufugaji unaendelea • Ng’ombe • Mbuzi • Bata Mzinga • Nguruwe • Samaki (kaa) • Nyuki • Vyurawanyama • Sungura

  37. Uzalishaji: Agro-Business KuongezathamanibidhaazaKilimo; • Mashinezakusaganakukoboamahindinampunga. Kufungaunganamchelendaniyavifungashiovizuri • Mashinezakukamuamafutayamazao (alizeti, karanga, ufuta, mawese, nk)

  38. Uzalishaji unaend…….. • Mashinezakukamuajuisizamatundamabalimbalinakuwekandaniyavifungashio • Mashinezakukaushiambogamboga, matundanasamaki • Kutengenezanakusindika, wine, jam, mango pickle, tomato sauce, chili sauce nk

  39. Viwanda vidogo vidogo • SabunizaVipande • SabunizaUnga • Sabunizakuongea • Sabunizakuoshamikono • SabuniyaMaji • Shampoo • Dawayakutoamadoa • Dawayakuuawaduduchooni • Kusafishamarumaru • Hereni, bangilinacheni

  40. Viwanda vidogo vidogo • Karangazamayai • Egg Chop • Chips (clips) • Kababu • Batiki • Mkaa • MishumaayaMbu • Mishumaayasherehe • Mishumaayakawaida • Wine zamatunda • Wine zaNyanya • Jam

  41. Viwanda vidogo vidogo • Matofaliyakilaaina (interlocking bricks) • Mitamboyakusafishaasali • Mashinezakuchujamaji • Mashinezakutengenezavifungashio • Mashinezakutengenezanta • Mashinezakuzalishaumemewamajinajua • Mashinezakutengenezabati

  42. Elimu • Ujenzi wa vituo vya kulelea watoto wachanga (baby care centers) • Shule za awali au chekechea kwa watoto wadogo • Shule za msingi, sekondari na vyuo • Kufundisha ususi, saloon, upambaji na urembo • Vituo vya elimu ya kazi mbalimbali za mikono

  43. Usafiri na Usafirishaji • Bodaboda • Bajaji • Baiskeli • Baiskeliza motor • Hiace • Taxi • Mitumbwi • Mitumbwiya plastic • Ngalawa • Maboti • Ngombe • Pundank

  44. Biashara • Madukayajumla • Madukayarejareja • Mini-Supermarkets • Supermarkets • Secretarial services • Kuuzabidhaaujenzi • Kuuzavyakula • Kuuzanakununuanje • Kuuzasamani • Kuuzamadini • Kuuzanguo • Kuuzamapambo

  45. Biasharayamadininavitouchimbajinauuzaji • Dhahabu • Almasi • Tanzanite • Gemstones • Gypsum • Shaba (copper) • Mawe • Nishatimafutana gas • Chokaa • Sapphire • Tomarines

  46. Biashara nyingine za washiriki • Ujasiriamali na Utamaduni Kwaya, Ngomaza asili, sarakasi, maigizo nk • Mipira • ……………. • ……………

  47. Baadhi ya picha

  48. Picha

  49. Picha

  50. MWISHO ASANTENI SANA

More Related