Mazingira ya haki za wanawake tanzania na mapendekezo ya haki za wanawake kwenye katiba mpya
Download
Sponsored Links
This presentation is the property of its rightful owner.
1 / 23

Imeandaliwa na Fatuma Semgaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu . PowerPoint PPT Presentation


 • 138 Views
 • Uploaded on
 • Presentation posted in: General

Mazingira ya Haki za Wanawake Tanzania na Mapendekezo ya Haki za Wanawake kwenye Katiba mpya. Imeandaliwa na Fatuma Semgaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Utangulizi.

Download Presentation

Imeandaliwa na Fatuma Semgaya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu .

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation

Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author.While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server.


- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -

Presentation Transcript


Mazingira ya haki za wanawake tanzania na mapendekezo ya haki za wanawake kwenye katiba mpya

Mazingira yaHakiza Wanawake Tanzania na MapendekezoyaHakiza Wanawake kwenyeKatibampya.

Imeandaliwa na

FatumaSemgaya

Kituo cha Sheria na Haki zaBinadamu.


Utangulizi

Utangulizi

Tanzania nimiongonimwanchizaAfrikaambazozimeridhiamikatabayakimataifambalimbaliambazozinawalindawanawakekwanamnamoja au nyingine.

Ipomikatabayakimataifa na yakibaratofautitofautiinayoainishaHakizawanawake

Kwa leotunaangaliamazingirayahakiza Wanawake Tanzania,kunasheriaambazozinazowalindawanawake Tanzania na


Haki za wanawake kwenye sheria za tanzania

Hakiza Wanawake kwenyesheriaza Tanzania

KatibayaJamuhuriyamuunganowa Tanzania, Ibaraya 12(usawawabinadamu), Ibaraya 13 (Usawambeleyasheria - ubaguzi)

Sheriayandoa, suraya 29. Kifungu 66 (kinakataza kumchapa viboko mwenzi katika ndoa. Hivyo endapo mtu atamchapa mkewe ama mumewe ni kosa kisheria)

SheriayaKuzuiaMaambukiziyaUkimwi(kulindamaambukiziyakusudi, usiriwataarifa)

SheriayakuzuiaUsafirishajiwaWatuyamwaka2008


Haki za wanawake

Hakiza Wanawake….

Sheriayamakosayajinaisuraya 16 mabadilikoya 1998 (k.130 ubakaji, k.135 shambulio la aibu, k.138 A-D unyanyasajiwaaina zote,k157 kufanyamapenzikinyume cha maumbile, k.169A ukeketaji ). PiakinaainishaainanyinginezamakosakamaKupigana, kuumizana, k.89A kutoavitisho, K.240 -243 mashambulio


Mazingira yanayopelekea ukiukwaji wa haki za wanawake tanzania

Mazingira yanayopelekeaukiukwajiwaHakiza Wanawake Tanzania

VitendovyaukatiliwaKijinsiakamaambavyovilivyoainishwakwenyeTamko la Umoja wa Mataifa la Uondoshaji wa Ukatili Dhidi ya Wanawake la mwaka 2005 ( the United Nations Declaration on the Elimination of Violence against Women (UNFPA, 2005)], limetafsiri Ukatili kumaanisha:

“Kitendo chochote cha ukatili kuhusu jinsia, ambacho kinaweza kusababisha madhara/maumivu ama mateso ya kimwili au kisaikolojia kwa mwanamke, ikiwa ni pamoja na vitendo vya kutishia, kulazimisha, kunyima uhuru, bila kujali vimefanywa kisiri ama kwenye kadamnasi.”


Vitendo ya ukatili kwa wanawake

Vitendoyaukatilikwawanawake.

Ukatiliwakutumianguvu

(kumpigamakofi, mateke,

na kumchapa)

-Ukatiliwakisaikolojia

(kusema mambo yanayo

Kufanyakujisikiamdogo,kuku

nyanyasa, kukusimanga) kulazimisha na kushinikizakufanyanayemapenzi/tendo la ndoa


Inaendelea

Inaendelea…….

Ukatiliwakiuchumi(kukunyimamahitajimuhimu na fedhazakujikimu, kukuzuiakufanyakazi)

Kukuwekachiniyake(kukuwekambali na ndugu au marafiki, kuchunguzamwenendowako, kusimamia na kuzuiaupatikanajiwakowataarifa au msaada)

Ukatiliunaotokanana mila na desturi :Ukeketaji- Kitendo cha kukatakidogo au kuondoakabisasehemuyauzaziyamwanamke au msichanakwasababuzozotezile.


Inaendelea1

Inaendelea……….

Ndoazautotoni-ndoainayofungwaambayommojawawanandoahajafikishaumriwa utu uzima, unaosababishaashindwekufanyamaamuzimwenyewe, juuyaafyayakeyauzazi, mwenzi wake, kumkosakusoma, kipato.

Hiinimojayasababuzinazosababishaukatilikwawanawakena pianiukatili.

Utakasaji na kurithiwajane

Mauajiyavikongwe

Usafirishajiwawatu – (wanawake na watoto)


Mapendekezo ya haki za wanawake kwenye katiba

MapendekezoyaHakiza Wanawake kwenyeKatiba

Baadayakuangaliasheria na mikatabaambayoinalindahakiza Wanawake Tanzania na mazingirayanayopelekeaukiukwajiwaHakiza Wanawake, mchakatowaKatibaninafasimuhimuyakutoamapendekezoyakufanyamabadilikokatikaKatibampya.

Katibayasasahaijaelezeahakiza Wanawake kwaupana wake kwahiyotumeainishamapendekezoyanayohusuhakizawanawakekwenyeKatibampya.


Mapandekezo ya jumla

MapandekezoyaJumla.

 • KatibayanchilazimaiainishekwaufasahamisingiyoteyaHakizaBinadamuyaani (Kisiasa, kiraia, kiuchumi, na kijamii na kimaendeleokuwekaulinzimadhubutiwahakihizo.

 • Katibaiainishe na kutoaulinziwahakizamakundihususanihakizawanawake na watoto


Inaendelea2

Inaendelea…….

 • IonyeshekuwaMahakamazotezinawezakusikilizaMashauriyauvunjwajiwaHakizaBinadamu.

 • Katibaiainishekutokuwepo na muuingilianowamihimiliyadolayaaniMahakama, Serikali na Bunge.

 • Katibaiainishekuwamapatoyatokanayo na Rasilimalizataifayawanufaishewananchihasamaeneoyanayopatikanarasilimalihizo


Haki za kijamii

HAKI ZA KIJAMII

 • Katibaianinishekuwawatuwotewanahakiyakupatahuduma bora za:

  Afya

  MajiSafi na Salama

  Elimu

  MakaziBora .

 • Kuwaka na utengwajiwabajetiendelevukwenyesektazahudumambalimbalizakijamiijamii.

 • Mwanamkekuthaminiwa na kupewaulinziwa utu na ubinadamu wake.


Inaendelea3

Inaendelea……

 • KuwalindawanawakedhidiyamanyanyasoyoteyakiwemoyaKijinsia na kutoaadhabukwawatendajiwavitendohivyo.

 • KuondoaainazotezaUbaguzi na unyanyasajiwaKijinsiahasakwawalemavu, wanawake na watoto

 • Kutungwakwasheriazinazomlindamtudhidiyakuteswa, kuadhibiwakinyama au kupewaadhabuzinazomtwezaamakumdhalilisha.


Haki za kisiasa

HAKI ZA KISIASA:

 • Kuwena uwianosawawaKijinsiaasilimia 50/50 katikangazizotezamaamuzikamavile:

  - Bunge

  - Mahakama

  - NafasimbalimbalizauteuzikamaMakatibuwakuu,

  - mawaziri,

  - manaibuwaziri, mabalozin.k.

  - MadiwaniSerikalizavijiji, miji na mitaa

 • Kuwepo na jitihadachanyazakurekebishamfumoilikuwa na usawakatikangazizotezamaamuzi.

 • SerikalikutungaSheriaitakayohakikishakuwawanawakewanashirikibilayaUbaguzikatikachaguzizote.


Inaendelea4

Inaendelea……..

 • Katibakuainishakuwakilamtuanahakiyakujiunga na chamachochote cha siasaanachopenda.

 • Katibakuainishakuwaviongozikutojilimbikiziamaliwakatiwauongoziwao.

 • Kuwepo na ukomowawabunge.

 • Mawaziriwachaguliwekulingana na taalumazao na vilevilewasichaguliwekutokana na wabunge.


Haki za kiutamaduni

HAKI ZA KIUTAMADUNI:

 • Mwanamkekulindwadhidiyamila na desturikandamizi na kuwepokwasheriazakumpaulinzimwanamkedhidiyamilahizo.

 • Kuondoa na kubadilishasheriazotezakibaguzi na kandamizidhidiyamwanamkezilizoposasamfanosheriayamirathi, ndoa, sheriayaUraia.

 • KuwekaulinziwahakizaWazeedhidiyaUbaguzi, mali na kunyanga’nywa


Haki za kiuchumi

HAKI ZA KIUCHUMI:

 • Kutoahaki na kuhakikishamwanamkeanakuwa na hakiyakupata na kumilikiRasilimalikama :

 • Ardhi/Urithi

 • Madini

 • Mazaoaliyolimamwenyewe.

 • Patolake

 • Katibakutambuahakizawajanekatika :

  - Kurithimali

  - Kuleawatoto wake.

  -Kuishikwenyenyumbayafamilia.

  -Hakiyakuolewatena.


Inaendelea5

Inaendelea…..

 • Wanawakewapewefursa na usawakatikaajira, na kuwa na uwianowaujiraanaolipwakatiyawanawake na wanaume.

 • Hakiyaulinzikwawanawake na kuwawekeamazingiramazurikutokana na mahitajiyao.

 • MaliasilizotezanchiziwechiniyamamlakayawananchiiliKuwepo na kuhifandhi na ulinzikwakutowekawawekezajiwanyonyaji.


Inaendelea6

Inaendelea….

 • Katibaiainishekwakuwekawazimbeleyawananchimikatabayoteinayohusiana na uvunaji na matumiziyaRasilimalizataifa.

 • Wananchiwashirikishwekatikauwekezaji na umilikiwaardhiyaumma na mamlakayasiwemikononimwaraistu.


Haki za kiraia

HAKI ZA KIRAIA.

 • KuwepokwaMahakamayakifamiliailiiwezekutatuamatatizoyakifamiliakwaharaka na wakati.

 • Katibakuainishahakiyawatukuwa na Uhuruwakutoamaoni na kuelezafikrazao.

 • Hakiyakupatataarifakwawakatikuhusumatukiombalimbalimuhimukwamaisha na shughulizaummapamoja na mikatabayoteiliyoingiabainayaserikali na wawekezaji.


Inaendelea7

Inaendelea…..

 • Katibaiainishejukumu la serikalikutoataarifakwawananchi.

 • Katibaiainishekuwawatuwanastahilikuwa na Uhuruwamawazo, imani na uchaguzikatika mambo yadini.

 • Hakiyawanawakekushirikikatikashughulizaumma na kuwekajukumukwavyombohusikakuhakikishaushirikihuo.

 • KutoajukumukwaserikalikutekelezamikatabayakimataifayahakizaBinadamu na hakizawanawakepindiinaporidhiwa na utekelezajiwamajukumuyakekamayalivyoainishwakwenyemikatabahiyo.


Hitimisho

Hitimisho

Kwa kuhitimisha, tumeangaliasheriazinazolindawanawake,nazinazowakandamizawanawakenijukumuletusasakutumiafursatuliyonayokupendekezahakimuhimukuingiakatikakatibampyakwakuangaliahakizamsingiambazohazikokwenyekatibampya.


Pamoja tunaweza kulinda na kutetea haki za wanawake

Pamojatunawezakulinda na KuteteaHakiza Wanawake


 • Login