Nafasi ya mwanaume katika ulimwengu wa utandawazi
Download
1 / 244

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI - PowerPoint PPT Presentation


 • 485 Views
 • Uploaded on
 • Presentation posted in: General

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI. Mwl . Mgisa Mtebe +255 713 497 654 www.mgisamtebe.org. MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU. ( Jamii , Uchumi na ) Maendeleo. Jamii , Uchumi na Maendeleo. Utandawazi ni nini ?. Nafasi ya Mwanaume katika Jamii.

loader
I am the owner, or an agent authorized to act on behalf of the owner, of the copyrighted work described.
capcha

Download Presentation

NAFASI YA MWANAUME KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI

An Image/Link below is provided (as is) to download presentation

Download Policy: Content on the Website is provided to you AS IS for your information and personal use and may not be sold / licensed / shared on other websites without getting consent from its author.While downloading, if for some reason you are not able to download a presentation, the publisher may have deleted the file from their server.


- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - E N D - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -

Presentation Transcript


NAFASI YAMWANAUMEKATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI

Mwl. MgisaMtebe

+255 713 497 654

www.mgisamtebe.org


MBINU ZA MAISHA BORA KATIKA MISINGI YA NENO LA MUNGU

( Jamii, Uchumina )

Maendeleo


Jamii, UchuminaMaendeleo

Utandawazi

ninini?


Nafasi yaMwanaumekatikaJamii

Utandawazi ninini?

Ni mfumowamaishayajamiiyaulimwengumzimakuingilianakatikanamnayakuwakamajamiimoja.


Nafasi yaMwanaumekatikaJamii

Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu;

Jamii, Siasa, ElimunaUchumi

(Social-Political Economy)


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

Ongezekokubwa la Maarifa

MsukumompyaKisiasa

Mabadiliko ya Sera zauchumi

4. UhuruwaMipakayanchi

5. MwingilianowaKitamaduni


Utandawazi

Utandawazi ninini?

Daniel 10:4

“Lakiniwewe Daniel, yafungemanenohaya, ukakitiemuhurikitabu, hatawakatiwamwisho…”


Utandawazi

Utandawazi ninini?

Daniel 10:4

“… (kwamaana) wengiwatakwendambiohukunahuko, namaarifa (duniani)yataongezeka.”


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

1. Ongezekokubwa la Maarifa.

Ndaniyamiaka 300 yamwisho, mwanadamuamefanyauvumbuzimkubwakitaalamu, kulikokatikamiaka 1900 aliyoishikatikakalendampya.


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

1. Ongezekokubwa la Maarifa.

Kasikubwazaidiyamaendeleo, imefanyikakatikamiaka 100 yamwisho (1900-2000), ambapomwanadamuamefanyauvumbuzimkubwasanaduniani.


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

1. Ongezekokubwa la Maarifa.

Mashinezakazi (operation Machine)

Usafiri; MelinaNdege (Ships & Jets)

Umememdogozaidi (electronics)

Mialeyaumememdogo (laser beams)

Mawasilianoyamawimbi (tele-www)


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

Ongezekokubwa la Maarifa

2. MsukumompyaKisiasa


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

2. MsukumompyaKisiasa

Kuangukakwaukomunistikatikajamiinyingizakimataifa, kulitianguvusanamfumowakibepariwamataifayamagharibikuingiakatikajamiimbalimbali.


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

Ongezekokubwa la Maarifa

MsukumompyaKisiasa

3. Mabadilikoya Sera zauchumi


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

3. Mabadiliko ya Sera zaUchumi.

Mataifamengikupokeamifumoyauchumiiliyozingatiazaidiuchumiwakibinafsi, uhuruwakibiashara, ushindaniwakitaaluma, umojawasoko, n.k.


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

Ongezekokubwa la Maarifa

MsukumompyaKisiasa

Mabadiliko ya Sera zauchumi

4. UhuruwaMipakayanchi


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

4. UhuruwaMipakayaNchi.

Mataifayalidaikubadilishwakwa sera zamipakayakitaifanakutakauhuruzaidiwamataifakuingilianakatikahalizakisiasa, kiutamaduninakibiashara.


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

Ongezekokubwa la Maarifa

MsukumompyaKisiasa

Mabadiliko ya Sera zauchumi

UhuruwaMipakayanchi

5. MwingilianowaKitamaduni


Utandawazi ninini?

Ni mabadilikokatika;

5. MwingilianowaKitamaduni.

Ongezekokubwa la maarifanaUhuruwamipaka, viliwezeshasana, mwingilianowakimataifanakuathirisanatamadunizajamii, vizurinavibaya (+ve/-ve).


Jamii, UchuminaMaendeleo

Uchumininini?


Uchumi na Maendeleo

Uchumini namna (maarifa) ya mtu kutumia rasilimali zilizopo kwa madhumuni ya kutimiza mahitajina matakwa yake kwa njia nafuu /bora zaidi.


Uchumi na Maendeleo

Mahitaji

Rasilimali

Matakwa


UchuminaMaendeleo

Maendeleoni hali ya mtu kutoka katika kiwango cha maisha duni na kupiga hatua kuishi katika kiwango cha maisha bora zaidi.


UchuminaMaendeleo

Maisha Duni Sana


UchuminaMaendeleo

Maisha Duni

Maisha Duni Sana


UchuminaMaendeleo

Maisha Wastani

Maisha Duni

Maisha Duni Sana


UchuminaMaendeleo

Maisha Bora

Maisha Wastani

Maisha Duni

Maisha Duni Sana


UchuminaMaendeleo

Maisha Bora Zaidi

Maisha Bora

Maisha Wastani

Maisha Duni

Maisha Duni Sana


UchuminaMaendeleo

Maisha Bora Zaidi

Maisha Bora

Maisha Wastani

Maisha Duni

Maisha Duni Sana


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28

‘Tufanyemtukwasurayetunamfanowetu, wakatawalesamakiwabaharini, ndegewaandaninakilakiumbekilichoumbwa, kiendachojuuyausowadunia.’


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28

‘MunguakaumbaMwanaumenaMwanamke, akawawekakatikabustaninakuwabariki, akawaambia, Zaeninakuongezeka, nakuitiishadunia.


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Mwanzo 1:26-28

‘MunguakaumbaMwanaumenaMwanamke, akawawekakatikabustaninakuwabariki, akawaambia, Zaeninakuongezeka, nakuitiishadunia.


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Mabadiliko yaKijamii


Mabadiliko katikaJamiizaDunia

Ongezeko la UhalifunaUbaya

Warumi 1:18-32

Warumi 3:10-18

2Timotheo 3:1-9

Mwanzo 6:1, 5-8

2Petro 2:4-22


Mabadiliko katikaJamiizaDunia

Ongezeko la UhalifunaUbaya

Tamaa, Uporaji, Ubakaji, Mauaji

MagonjwayaZinaa/Yasiyotibika

UkatiliwaKijinsia/Kifamilia

KuvunjikakwaNyumba/Ndoa

UwianowaWatotoVsFamilia


Mabadiliko yaKijamii:

Mathayo 24:36-39

‘Kwamaanakama vile ilivyokuwakatikasikuzaNuhu, ndivyoitakavyokuwasikuzakurudimwanawaAdamu’


Mabadiliko yaKijamii:

Mathayo 24:36-39

‘Kwamaanawatuwalikuwawakilanakunywa, wakioanakuoana; hatasikuileNuhualipoingiakatikaSafina; nawaowasitambue, hatagharikaikawakuta, wakachukiliwawote.


Mabadiliko yaKijamii:

HistoriayaSodomanaGomora, yajirudiaduniani. Mmomonyokowamaadiliwakirithiri, ukichocheazaidimgongano au janga la kijinsia, katiyaWanaumenaWanawake.

(Male-Female/Gender Crisis)


Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi

Mabadiliko yaKijamii:

Habarihalisi (facts) zinathibitishakwamba; Jamiiyetuinajanga (mgongano) mkubwawakijinsia(Male-Cause)katikamaswalaya;

Jamii, Imanina Mila/Utamaduni.

(Social, Believes and Culture Crisis)


Mabadiliko yaKijamii.

Serikalizotezadunia, zimekirikufelikwauwezowa sera, kanuninafikra (theory) juu ‘binadamu’ (humanity) katikakubadilitabianakuzitiisha, ikiwanijuhudizakujaribukuletaustawinausalamazaidi.


Mabadiliko yaKijamii

Ukweliusiopingika (Facts) unaonyeshawazikwamba, Wanaumewamechangiakwakiasikikubwakatikakuyumbakwaulimwengu, kijamiinakisiasanakiuchumi.

(Global Social-Political Instability)


Mabadiliko yaKijamii

Asilimia 97% yawaliofungwajelaleokwamakosambalimbali, niwanaume. MakosayaUdanganyifu, Wizi, Mauaji, Ubakaji, Ukatili, n.k. ni mambo yanayofanywanawanaumezaidi. (Male dominant crimes)


Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi

Mabadiliko yaKijamii:

Habarihalisi (facts) zinathibitishakwamba; Jamiiyetuinajanga (mgongano) mkubwawakijinsia(Male-Cause)katikamaswalaya;

Jamii, Imanina Mila/Utamaduni.

(Social, Believes and Culture Crisis)


Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi

Mabadiliko yaKijamii:

Ni kwasababu; Mwanaumendiyealiyekichwa cha jamiizotezadunia. Vile Mwanaumeaendavyo, ndivyofamiliaiendavyo, ndivyojamiinadunianzimaitakavyokwenda.


Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi

Mabadiliko yaKijamii:

Kwahiyo; matatizomakubwaya

Kifamilia

Kijamiina

Kitaifa

ChanzoniMwanaumekiongozijamiihiyo.


Nafasi yaMwanaumekatika Utandawazi

Taifa

Jamii

Familia

Mwanaume


Mgongano waKijamii

Mabadiliko yaKijamii:

Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu;

Jamii, Siasa, ElimunaUchumi

(Social-Political Economy)


Mgongano waKijinsiaKijamii

Mabadiliko yanayotokea:

(i) Kijamii (Socially);

Wanawakewanavyozidikukuakiidadinapiakatikakuongozafamilia.


Mgongano waKijinsiaKijamii

Mabadiliko yanayotokea:

(ii) Kijamii (Socially);

Wanawakewanavyozidikukuakiidadi, katikakuongozafamilianangazizamaamuzikatikataasisi.


Mgongano waKijinsiaKijamii

Mabadiliko yanayotokea:

(ii) Kisiasa (Politically);

Wanawakewanavyozidikukuakatikauwakilishiserikalininakatikanyanjazakisiasa(Gender Equality).


Mgongano waKijinsiaKijamii

Mabadiliko yanayotokea:

(iii) Kielimu (Professionally);

Wanawakewanavyozidikukuakatikaelimu, maarifanasektazautaalamu.

(Equal Opportunities).


Mgongano waKijinsiaKijamii

Mabadiliko yanayotokea:

(iii) Kiuchumi (Econimically)

Wanawakewanavyozidikukuakatikauwezowakiuchuminamatunzoyafamilia. (Bread Winning)


Mabadiliko katikaKijamii

WajibuwaKijamii (Social Roles) hazitafsirikitenakijinsia, balikilamwenyefursanauwezo, ameshikawajibufulanikatikajamii.

(Masculinity-Ferminity Roles)


Mabadiliko yaKijinsiakatikaKijamii

Zamani Leo/Sasa

Baba Kiongozi Mama Kiongozi

Baba Mlinzi Mama Mlinzi

Baba Dereva Mama Dereva

Baba Daktari Mama Daktari

Baba Boss Mama Boss

Adam Kuchumbia Eva Anachumbia


Mabadiliko yaKijinsiakatikaKijamii

ZamaniVs Leo/Sasa

MchezowaSoka, Karate,

TabiaMbayazaKutongoza

TabiambayazaSigara

MakosayaKubaka


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Mabadiliko yaKijamii:

Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu;

Jamii, Siasa, ElimunaUchumi

(Social-Political Economy)


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Mabadiliko yaKijamii:

Mabadiliko hayayanawaachawanaumewengiwamechanganyikiwa, wasijuetenanafasizaokatikajamiizao.

(Manhood, Masculinity and Fatherhood)


These social-political and economical changes leave men;

frustrated,

confused and

Dissapointed,

Unable to properly define who they really are in the society


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

MatatizoMakubwaKijamii:

ChanzochakeniWanaume‘Kutojitambua’.

Halimbayakatikajamiizimewalazimuwanawakekupiganakuokokafamilia.


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

MatatizoMakubwaKijamii:

ChanzochakeniWanaumeKutojitambua.

Halimbayakatikajamiizimeilazimumikonokufanyakaziyakutembea.


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Rediscovery of Purpose:

Tibayamatatizohayayotesiubabenafujo (au kuanzishachama cha wanaume), balinikumrudishamwanaumekatikaKujitambuanaKuutambuaKusudila Ki-Mungukatikajamii.


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Chachuza Mabadiliko.

Maumbile,

Mazingirana

Nyakati


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Rediscovery of Purpose (Kusudi):

(i) Kimaumbile (Biologically).

Mwanaumeamekuwakiongoziwajamiitanguzamani, naameumbwamkakamavunamwenyenguvuzaidi, kwasababumazingirayaawalialiyoishimtuyalikuwakorofinamagumi (virgin land).


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

(i) Kimaumbile (Biologically).

Mwanamkeameumbwakamamsaidiziwakiongoziwajamii, kuzaawatotonakuwatunzavizuri, nandiomaanahaikumlazimukupewamwilimkakamavukamawamwanaume.

(1Wakorintho 11:7-12)


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

(ii) MapambanoyaKuishi (Struggle for Survival).

Mwanaumeameumbwamkakamavunamwenyemabavuzaidi, iliawezekupambanakwasababumazingirayaawalialiyoishimtuyalikuwakorofinamagumi (virgin land).


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

(ii) MapambanoyaKuishi (Struggle for Survival).

Mwanamkeameumbwampolenamtaratibu, iliawezekuleanakuitunzafamiliavizuri. Hivyotabiazakenamwitikio wake nimaalumkabisakuleawatotowafamilia.


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Chachuza Mabadiliko.

Maumbile,

Mazingirana

Nyakati


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

* Mabadiliko yaWakati

(a) KwasababuyaMazingiraRahisi

yanayotawalikakwatechnologiazajuuzaidi, hatariyafamiliakuwepobilamtumwenyemwiliwamabavunamkakamavu, imepunguasana (kamasikutoweka).


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Mabadiliko yaWakati

(b) KwasababuyaOngezeko la watulinahatarishautoshevuwarasilimalizadunia, watuwanapunguzasanakuzaa (idadiyawatoto). Hivyokusudi la mwanamkekubakinyumbani, linapungua.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Mabadiliko yaWakati

(c) Kwasababuya Kusudi kuachwa

Wanaumehawatunzifamilia

Wanawakewanalazimikakujipiganiakifamilia

Watotowa Kike wanalelewakitahadhari, ilikujitegemea.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

MpangowaMungukwaJamii.

Malaki 4:5-6

“Tazama, NamtumaMjumbewanguEliya, ilikuirejezamioyoyawababa, kuwaelekeawatotowao, namioyoyawatoto, kuwaelekeababa zao”.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

MpangowaMungu

kwaNykatihizi

Malaki 4:5-6

TatizosioWamamazaidi;

TatizokubwaniWababa.


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Kusudi la MungukwaMwanaumekatikaJamii/familia.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

KubebaSuranaMfanowaMunguduniani.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

KubebaSuranaMfanowaMunguduniani.

1Wakorintho 11:7-12

MwanaumeniUtukufu(SuranaMfano) waMungu. MwanamkeniUtukufu (Sura) waMwanaume.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

KubebaSuranaMfanowaMunguduniani.

Mathayo 6:9-10

MunguanajitambulishakamaBaba yetualiyembinguninasiokama Mama yetualiyembinguni.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

KubebaSuranaMfanowaMunguduniani.

1Wakorintho 11:7-12

YesuniUtukufuwaMungu, naalikujakama JoshuanasioJenifa.

(Isaya 9:6, Math 1:20-21)


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

2. KumilikinaKutawalaDunia.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

2. KumilikinaKutawalaDunia.

Mwanzo 2:7-8, 15-23

WajibuwakuitunzanakuitawaladuniaalipewaAdamunasio Eva.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

2. KumilikinaKutawalaDunia.

Mwanzo 3:6-9

Anguko la Mwanadamuhalikutokeabaadaya Eva kutokutiikwakulatunda, balinibaadayaAdamukutokutiikwakulatunda.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

2. KumilikinaKutawalaDunia.

Mwanzo 3:6-9

Mungualipokujakuwatafuta, akumwita Eva kwanza, balialimwita, Adam kwanza.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

3. KutafsiriNeno la MungukwaFamilia/Jamii (Maagizo).


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

3. KutafsiriNeno la MungukwaFamilia/Jamii (Maagizo).

Mwanzo 2:15-16

Mungualimpa Adam Maagizo; wakatihuo Eva hayupodunianikatikamwili wake.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

3. KutafsiriNeno la MungukwaFamilia/Jamii (Maagizo).

Mwanzo 3:1-3-9

Eva alimjibushetani, kutokakatikaMaelekezoaliyopewanaAdamu, sionaMungu.


Kusudi la MungukwaWanaume

4. KushindanaKufanikiwaduniani.


Kusudi la MungukwaWanaume

4. KushindanaKufanikiwaduniani.

Mwanzo 1:26-28

“akawabariki, akawaambia, zaenimkaongezeke, nakuitiishadunia.”


Kusudi la MungukwaWanaume

4. KushindanaKufanikiwaduniani.

Mwanzo 1:26-28

“akawabariki, akawaambia, zaenimkaongezeke, nakuitiishadunia.”

Zaeni = Fruitful (Kustawi)

Quality = (Ubora)


Kusudi la MungukwaWanaume

5. KuzalishaSurayaMungunakuijazadunia.

(Multiplication of the God Nature and Glory on planet earth).


Kusudi la MungukwaWanaume

5. KushindanaKufanikiwaduniani.

Mwanzo 1:26-28

“akawabariki, akawaambia, zaenimkaongezeke,nakutiisha


Kusudi la MungukwaWanaume

5. KushindanaKufanikiwaduniani.

Mwanzo 1:26-28

“akawabariki, akawaambia, zaenimkaongezeke,nakutiisha

Mkaongezeke = Multiply

Quantity = (Idadi)


Kusudi la MungukwaWanaume

6. KuzalishaSurayaMungunakuijazadunia.


Kusudi la MungukwaWanaume

6. KuzalishaSurayaMungunakuijazadunia.

Matendo 17:24-26-28

Mungualitengenezavizazinavizazivyawanadamukutokakwamtummojatu (Adam)nasiowawili (Adam na Eva).


Kusudi la MungukwaWanaume

6. KuzalishaSurayaMungunakuijazadunia.

Matendo 17:24-26-28

Mungualitengenezavizazinavizazivyawanadamukutokakwamtummojatu (Adam)nasiowawili (Adam na Eva).


Kusudi la MungukwaWanaume

6. KuzalishaSurayaMungunakuijazadunia.

Mwanzo 2:18-25

Mungualimtoa Eva ndaniya Adam; nasio Adam ndaniya Eva.

(1Wakorintho 11:7-12)


Kusudi la MungukwaWanaume

6. KuzalishaSurayaMungunakuijazadunia.

Mwanzo 2:18-25

Ni wajibuwa Baba (mwanaume) kuhakikishafamilia/uzazi wakeunabebasuranamfanowaMunguduniani.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

MpangowaMungukwaJamii.

Malaki 4:5-6

“Tazama, NamtumaMjumbewanguEliya, ilikuirejezamioyoyawababa, kuwaelekeawatotowao, namioyoyawatoto, kuwaelekeababa zao”.


Kusudi la MungukwaWanaume

7. KumpendanakumtunzaMkeuliyepewanaMungu.


Kusudi la MungukwaWanaume

7. KumpendanakumtunzaMkeuliyepewanaMungu.

Mwanzo 2:18-25

Ni wajibuwa Baba (mwanaume) kumpendamke wake kamamwila wake mwenyewe.

(Waefeso 5:25-33)


Kusudi la MungukwaWanaume

7. KumpendanakumtunzaMkeuliyepewanaMungu.

1Wakorintho 11:7-12

MkeniUtukufuwaMwanaume; mkesiojembelakowalasiopundawako.

(Waefeso 5:25-33)


Kusudi la MungukwaWanaume

7. KumpendanakumtunzaMkeuliyepewanaMungu.

Waefeso 5:25-33

Kama YesualivyojitoakwaajiliyaKanisa (BibiArusi wake) vivyohivyo, yawapasaWaumekujitoa(Sacrifice) kwaajiliya wake zao.


Kusudi la MungukwaWanaume

KubebaAsiliyaMungu

KumilikinaKutawala

KutafsiriMaagizoyaMungu

KushindanaKufanikiwa

KuzaanaKuongezeka

KuongezaUtukufu

KumpendaMke wake


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Mabadiliko yaKijamii:

Ni mabadilikokatikamifumoyakimaishainayohusu;

Jamii, Siasa, ElimunaUchumi

(Social-Political Economy)


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Mabadiliko yaKijamii:

Mabadiliko hayayanawaachawanaumewengiwamechanganyikiwa, wasijuetenanafasizaokatikajamiizao.

(Manhood, Masculinity and Fatherhood)


These social-political and economical changes leave men;

frustrated,

confused and

Dissapointed,

Unable to properly define who they really are in the society


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

MatatizoMakubwaKijamii:

ChanzochakeniWanaume‘Kutojitambua’.

Halimbayakatikajamiizimewalazimuwanawakekupiganakuokokafamilia.


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

MatatizoMakubwaKijamii:

ChanzochakeniWanaumeKutojitambua.

Halimbayakatikajamiizimeilazimumikonokufanyakaziyakutembea.


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Rediscovery of Purpose:

Tibayamatatizohayayotesiubabenafujo (au kuanzishachama cha wanaume), balinikumrudishamwanaumekatikaKujitambuanaKuutambuaKusudila Ki-Mungukatikajamii.


Mgongano waKijinsiakatikaJamii

Rediscovery of Purpose:

TibayamatatizohayayotenikumrudishamwanaumekatikaKujitambuanaKuutambuaKusudila Ki-Mungukatikajamii.

“Kamwe, kadogohawezi

kuwadumba.”


Misingi yaKijamii (Kifamilia)

Mambo yaMwanaumeKuzingatiakatikaFamilianaJamii.


Kusudi la MungukwaWanaume

Mambo MuhimuKuzingatia

Priority (Kipaumbele.)

Power (Utukufu).

Position (Mamlaka.)


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Mwanzo 3:17-19)

‘Kwakuwaumemsikilizamke (kwanza, kablayaMimi), umepotokakirahisinasasaduniaimelaaniwakwasababuyako’.


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Mathayo 6:32-33)

“Utafuteni kwanza UfalmewaMungu, nahayomengineyote, mtazidishiwa.”


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Kwa MfanowaYesu);

Marko 1:35

“Alfajirinamapema, alikwendamahalipasipokuwanawatu, akaombahuko.”


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Kwa MfanowaYesu);

Mathayo 14:22-23

‘Akawafukuzawageni, akawalazimishakuondoka, iliapatemudawakuongeanaMungu.’


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Kwa MfanowaYesu);

Luka 18:1-2

‘Walipokwendakilamtunyumbanikwake(usiku), Yesualikwendamlimawamizeitunikuomba’


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Kwa MfanowaYesu);

Luka 6:12-19

‘AkakeshausikukuchakatikakumwombaMungu; asubuhi, akachagua ‘business partners.’


Kusudi la MungukwaWanaume

Priority (Kipaumbele).

Mungu Kwanza.

(Kwa MfanowaYesu);

Uwezowakufanyamaamuzisahihi, nikuwa connected naMunguvizuri.


Kusudi la MungukwaWanaume

2. Power (UwezanaNguvu).

NguvuyaMungu.


Kusudi la MungukwaWanaume

2. Power (UwezanaNguvu).

NguvuyaMungu.

(Kwa MfanowaYesu);

Luka 6:12-19

‘AkakeshausikukuchakatikakumwombaMungu; asubuhi, akatembeanaNguvuzaajabu.’


Kusudi la MungukwaWanaume

2. Power (UwezanaNguvu).

NguvuyaMungu.

(Kwa MfanoMfalmeDaudi);

1Samwel 16:13-23

‘Rohowa Bwana, akamjiaDaudikwaNguvu (zaajabu), akapigamuziki, namapepoyakimbia.’


Kusudi la MungukwaWanaume

2. Power (UwezanaNguvu).

NguvuyaMungu.

(Kwa MfanoMfalmeDaudi);

1Samwel 17:31-37

‘KwaNguvu (zaajabu), aliuasimba, dubunaGoliati, akiwanaumriwamiaka 17 tu.’


Kusudi la MungukwaWanaume

2. Power (UwezanaNguvu).

NguvuyaMungu.

(Kwa MfanoMfalmeDaudi);

1Samwel 17:31-37

‘Kipawachakokitaonekanakukutukuzakatikajamii, ikiwautatafutaNguvuzaMungu.’


Kusudi la MungukwaWanaume

2. Power (UwezanaNguvu).

NguvuyaMungu.

Zaburi 8:4-8

‘Kipawachakokitaonekanakukutukuzakatikajamii, ikiwautatafutaNguvuzaMungu.’


Kusudi la MungukwaWanaume

3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlakayako.


Kusudi la MungukwaWanaume

3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlakayako.

Zaburi 8:4-8

‘UkipotezaNguvu(Utukufu) unapotezacheo (mamlaka).’


Kusudi la MungukwaWanaume

Ili MwanadamuawezekulitimizaKusudi la Munguvizuri, MungualimpaMwanadamuMamlakayaKumilikinaKutawalamazingirayake, ili awe namaishamazuriyakumtumikiaMungukamavyombovizurivyaibada.


Kusudi la MungukwaWanaume

Ebr 11:3; Zab 8:4-8

Mungu ameutengeneza ulimwengu wa mwili (dunia) katika namna kwamba, ulimwengu wa mwili utatawaliwa kwa nguvu za kiroho.

(ulimwenguwaroho)


Kusudi la MungukwaWanaume

Warumi 3:23/Warumi 5:12-19

Mwanadamu alipofanya dhambi, alipoteza mamlaka ya Mungu katika ulimwengu wa rohona kushindwa kuutawala ulimwengu wa mwili; badala yake, ulimwengu wa mwili ukamtawala mwanandamu.


Kusudi la MungukwaWanaume

KABLA YA DHAMBI

UTARATIBU ULIKUWA HIVI


Kusudi la MungukwaWanaume

Utukufu (Msaada)Mungu

MwiliRoho

Dunia

Nafsi

Shetani


Kusudi la MungukwaWanaume

Mkuu

MUNGU

Mfalme

ADAM

Mtawala

KABLA YA DHAMBI “Mashal”

Zab 8:4-8

Mwakilishi

MALAIKA

mungu

DUNIA

SHETANI


Kusudi la MungukwaWanaume

Zaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28

Mwanadamu ni nani hata umwangalie kwa kiasi hiki? Umemfanya ‘punde kidogo’ kuliko Mungu, ukamvika taji ya ‘Utukufu’ na Heshima; kisha ukamtawaza ‘Juu ya’ kazi zote za mikono yako …


Kusudi la MungukwaWanaume

Zaburi 8:4-8, Mwanzo 1:26-28

… na ukaviweka vitu vyote ulivyoviumba wewe, ‘chini ya’ miguu yake; wanyama wote, ndege wote, samaki na kila kitu kipitacho katika njia za maji.


Kusudi la MungukwaWanaume

Mkuu

MUNGU

Mfalme

ADAM

Mtawala

KABLA YA DHAMBI “Mashal”

Zab 8:4-8

Mwakilishi

MALAIKA

mungu

DUNIA

SHETANI


Kusudi la MungukwaWanaume

Utukufu (Msaada)Mungu

MwiliRoho

Dunia

Nafsi

Shetani


Kusudi la MungukwaWanaume

BAADA YA DHAMBI

MAMBO YAKAWA HIVI


Kusudi la MungukwaWanaume

MsaadaUkakatikaMungu

MwiliRoho

Dunia

Nafsi

Shetani


Kusudi la MungukwaWanaume

3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlakayako.

Warumi 3:23

‘Wanadamuwotewamefanyadhambi, nakupungukiwanaUtukufu (Uweza)waMungu.’


MAMLAKA YA MKRISTO

MUNGU

SHETANI

BAADA YA DHAMBI

SHETANI ALITAPELI

NAFASI YA ADAM

MALAIKA

DUNIA

ADAM


MAMLAKA YA MKRISTO

Mkuu

Yohana 16:11

MUNGU

Mfalme

Waefeso 2:1-2

SHETANI

Mtawala

1Yohana 5:19

BAADA YA DHAMBI

Shetani akakaa katika

nafasi ya Adam na

akavaa vyeo vyote vya Adam

Mwakilishi

Luka 4:5-8

MALAIKA

mungu

2Korintho 4:3-4

DUNIA

ADAM


Mamlaka ya shetani ulimwenguni

Efe 2:1-2 – Mfalme wa anga

2Kor 4:4 – Mungu wa dunia hii

1Yoh 5:19 – Mtawala (Controler)

Yoh 12:31 – Mkuu wa Ulimwengu

Yoh 14:30 – Mkuu wa Ulimwengu

Yoh 16:11 – Mkuu wa Ulimwengu


MAMLAKA YA MKRISTO

Mkuu

Yohana 16:11

MUNGU

Mfalme

Waefeso 2:1-2

SHETANI

Mtawala

1Yohana 5:19

BAADA YA DHAMBI

Warumi 5:12, 14

Waebrania 2:14, 15

Mwakilishi

Luka 4:5-8

MALAIKA

mungu

2Korintho 4:3-4

DUNIA

ADAM


Kusudi la MungukwaWanaume

BAADA YA WOKOVU

MAMBO YAKAWA HIVI


BAADA YA WOKOVU (KALVARI)

(Utukufu) UhusianoMungu

MwiliRoho

Dunia

Nafsi

Shetani


MAMLAKA YA MKRISTO

Mkuu

MUNGU + ADAM - 2

Mfalme

MALAIKA

Mtawala

BAADA YA WOKOVU

Waefeso 2:1-6

Waefeso 1:18-23

Mwakilishi

SHETANI

mungu

DUNIA

ADAM - 1


BAADA YA WOKOVU (KALVARI)

(Utukufu) Roho Mt.Mungu

MwiliRoho

Dunia

Nafsi

Shetani(Rum 8:9-11)


MAMLAKA YA MKRISTO

Ufunuo 5:9-10

9 Weweunastahilikukitwaakitabunakuzivunjalakirizake, kwasababuulichinjwana kwa damu yako ukamnunulia Munguwatukutoka katika kila kabila, kila lugha, kila jamaa na kila taifa (kanisa).


MAMLAKA YA MKRISTO

Ufunuo 5:9-10

10Nawe umewafanya hawa wawe Ufalme na Makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao wanamiliki dunia.’’


Kusudi la MungukwaWanaume

Mwanzo 1:26-28/Zaburi 8:4-8

Mungu aliitengeneza dunia katika namna kwamba, ulimwengu wa mwili, utatawaliwa kwa mamlaka ya Mungu kutoka katika Ulimwengu waroho.


Kusudi la MungukwaWanaume

Warumi 3:23/Warumi 5:12-19

Mwanadamu alipofanya dhambi, alipoteza mamlaka ya Mungu katika ulimwengu wa rohona kushindwa kuutawala ulimwengu wa mwili; badala yake, ulimwengu wa mwili ukamtawala mwanandamu.


Kusudi la MungukwaWanaume

Waefeso 2:1-6/Ufunuo 5:8-10

Lakini Mtu anapotubu dhambi zake na kuupokea Wokovuwa Bwana Yesu Krsito, anaunganishwa tena na Mungu na kupewa mamlakamakuu zaidi, kuliko yale aliyoyapoteza Adam na Eva katika bustani ya Eden.


Kusudi la MungukwaWanaume

Waefeso 1:18-23/2:1-6

Mungu wetu, hataweza kukurithisha mamlaka ya Ulimwengu wa rohoili uweze kuleta mabadiliko katika ulimwengu wa mwili, kama hajazaliwa mara ya pili, kwa njia ya Wokovu wa Yesu Kristo.


Kusudi la MungukwaWanaume

Laikini …

Kila mtu amwaminiye Yesu Kristo, na Wokovu wake, anaunganishwa tena na Mungu, katika utu wa ndani, ambao pale mwanzo ulivunjika kwa ile dhambi ya Adam na Eva kule katika bustani ya Eden.


Kusudi la MungukwaWanaume

Baada yaWokovu, mtu wa Mungu huyo, anajazwaRoho Mtakatifuna Nguvu zake, ili kumrudishia mamlaka na uweza tuliyopoteza katika bustani ya Eden, kwa njia ya dhambi.


Kusudi la MungukwaWanaume

(Utukufu) Roho Mt.Mungu

MwiliRoho

Dunia

Nafsi

Shetani(Rum 8:9-11)


Kusudi la MungukwaWanaume

3. Position (Cheo/Nafasi).

Mamlakayako.

Zaburi 8:4-8

‘UkipotezaNguvu(Utukufu) unapotezacheo (mamlaka).’


Kusudi la MungukwaWanaume

Mambo MuhimuKuzingatia

Priority (Kipaumbele.)

Power (Utukufu).

Position (Mamlaka.)


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

(UchuminaMaendeleo)


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Isaya 1:18-19

18Njooni tusemezane asema Bwana, dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana zitakuwa nyeupe kuliko sufu,19mkikubali na kutii, mtakula mema ya nchi…


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Mungu

IbadaNchi

Adam

Zab22:3

Yoh 4:23-24

Kumb 8:6-18

Zab 150:6


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Isaya 48:17

17Mimi ni Bwana Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida.


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Zaburi 1:1-3

Heri mtu yule asiyeenenda katika njia za wasio haki, bali sheria ya Bwana ndiyo inayo-mpendeza; mtu huyo atakuwa kama mti uliopandwa kando ya kijito cha maji …


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Zaburi 1:1-3

… majaniyakeniyakijanisikuzote, naanazaamatundayakekwamajirayake; nakilajamboalifanyalo, litafanikiwa.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Yohana4:23-24

MaishayaIbada


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Yohana 4:23-24

MunguanatupakuishimaishamazuridunianikwaKusudi Kuula kuwavyombovyakemaalumvyaibadailitumsifu, tumwabudunakumtukuzayeye.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Yohana 4:23-24

Na saa ipo na sasa saa imefika, ambapo waabuduo halisi,watamwabudu Baba katika roho na kweli; Kwa maana Baba anawatafuta watu kama hao, ili wamwabudu;


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

ZABURI 150:1-6

6Kila mwenye pumzi amsifu Bwana, kwa sauti kuu, kwa zeze, kwa filimbi, kwa zomari, kwa matari, kwa vinubi na kwa matoazi yavumayo sana.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

WEWE BINAFSI NI HEKALU

1Wakorintho 6:19-20

‘Mwili wako ni Hekalu (Nyumba ya Ibada) ya Roho Mtakatifu; kwa ajili ya kumsifu na kumtukuzaMungu aliyekuumba.


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

KWANINI IBADA ?


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zaburi 22:3

Wewe U Mtakatifu, nawe

“UNAKETI” juu ya sifa za Israel


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zaburi 22:3

Wewe U Mtakatifu, nawe

“UNAKETI” juu ya sifa za Israel

“Inhabit”“Unaishi”


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Zab 22:3

IDABAndiokitu cha kwanza kabisakatikamoyowaMungu, kwasababu

MUNGU ANAISHI KATIKA

IBADAnaSIFA.


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

KumnyimaMunguibada

Ni kamakumnyima

 • Samakimaji

 • Mimeaudongo

 • Binadamuhewa


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

“Kwa maana, Baba anawatafuta

watu wa aina hiyo ili

wamwabudu.”

(Yohana 4: 23)


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika

Ufunuo 4:9-11

Ufunuo 5:11-14


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika

Mwanzo 1:26-28

Zaburi 148 na 150

Adam


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika

Kwasababu ya asili yetu

na uhusiano tuliyonayo

Adam na Mungu …


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika

… sisi binadamu tunaweza

kumsifu na kumwabudu

Adam Mungu, vizuri zaidi

kuliko malaika wa

mbinguni


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu Malaika

Ibada Nchi

Adam


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Munguanatamani sana kukaanasisiwatotowakehapaduniani, ndiomaanaanatakaduniayoteijazwehaliyaibada (atmosphere) kamailivyombinguni (masaa 24), ilidunianipia, kuwenamazingira ya maishaau ya makazi ya Mungukamailivyombinguni.


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Ibadanzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa sana na mazingira mazuri.

Kumbukumbu 8:6-18


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mazingira yakitibuka,

maisha yanatibuka,

na maisha yakitibuka,

ibadakwa Mungu pia

inatibuka.


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu

IbadaNchi

Adam

Zab22:3

Yoh 4:23-24

Kumb 8:6-18

Zab 150:6


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Kutokana na umuhimu na unyeti wa ibada, Mungu hakutaka na hataki watoto wake, tuwe na maisha ya taabu, maisha ya dhiki na maisha ya shida;

Kwanini?


SADAKA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu anataka watoto wake, tuwe na maisha mazuri, ili tunapopeleka ibada kwa Mungu, ibada hiyo ifike kwa Mungu ikiwa safi (fresh), yaani ibada isiyo na kelele za moyoni (masumbufu na uchungu).


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

NdiomaanaMungualitumiamudamrefuzaidikuumbaDuniakulikomudaaliotumiakumuumbabinadamumwenyewe.


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

NdiomaanaMungualitumiamudamrefuzaidikuumbaDuniakulikomudaaliotumiakumuumbabinadamumwenyewe.

Dunia = siku 5

Adam = siku 1


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Hii inaonyesha wazi kwamba, Mungu anajali sana mazingira ya maisha yako; kwasababu, ibada nzuri inategemea aina ya maisha ya mtu, na aina ya maisha yanategemea aina ya mazingira anayoishi mtu huyo.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Ibadanzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa sana na mazingira mazuri.

Kumbukumbu 8:6-18


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu

IbadaNchi

Adam

Zab22:3

Yoh 4:23-24

Kumb 8:6-18

Zab 150:6


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Mazingira yakitibuka,

maisha yanatibuka,

na maisha yakitibuka,

ibadakwa Mungu pia

inatibuka.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Hivyo,

Shetani anachotafuta

ni kumpigabinadamu na mazingira yake,

ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

SisiwoteniVyombovyaIbada.

Munguakikupanguvuzake,uweza wake nabarakazake, nikwaajiliyakukutengenezeamazingiramazuriyakumsifunakumwabuduyeye.

(Yohana 15:1-2)


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

SisiwoteniVyombovyaIbada.

‘Tenaitakuwa, mtuawayeyote, asiyekwendaYerusalemukumwabudu Bwana waMajeshi, mvuahaitanyeshakwao’.

(Zekaria 14:17)


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

3. KutafsiriNeno la MungukwaFamilia/Jamii (Maagizo).

Mwanzo 2:15-16

Mungualimpa Adam Maagizo; wakatihuo Eva hayupodunianikatikamwili wake.


Rediscovery of Purpose (Kusudi):

Kusudi la MungukwaMwanaume.

3. KutafsiriNeno la MungukwaFamilia/Jamii (Maagizo).

Mwanzo 3:1-3-9

Eva alimjibushetani, kutokakatikaMaelekezoaliyopewanaAdamu, sionaMungu.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Viumbevyote, vyambinguninavyaduniani, vyotevitiiamriyakulisifujina la Bwana Mungu, aliyeumbambingunanchi.

Zab 148:1-7-14

Zab 150-1-6


KANUNI ZA KIKRISTO ZA MAISHA YA USHINDI UJANANI

KATIKA ULIMWENGU WA UTANDAWAZI.


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Ulimwenguhuutunaouishiunatawaliwanakanunikuumbilizakimaisha.


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Ulimwenguhuutunaouishiunatawaliwanakanunikuumbilizakimaisha.

KanunizaKiasili/Kimwili

KanunizaKiroho


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Ulimwenguhuutunaouishiunatawaliwanakanunikuumbilizakimaisha.

Physical Principles

Spiritual Principles


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Ulimwenguhuutunaouishiunatawaliwanakanunikuumbilizakimaisha.

Natural Principles

Super-natural Principles


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Ulimwenguhuutunaouishiunatawaliwanakanunikuumbilizakimaisha.

Ordinary Principles

Extra-ordinary Principles


KANUNI ZA MAISHA YA USHINDI

Ulimwenguhuutunaouishiunatawaliwanakanunikuumbilizakimaisha.

KanunizaKiasili/Kimwili

KanunizaKiroho


KANUNI ZA KIROHO

Waebrania 11:3

Kanuni za Ulimwengu wa mwili zinatawaliwa na Kanuni za Ulimwengu wa roho;


KANUNI ZA KIROHO

Waebrania 11:3

Kwasababu hiyo,

Mambo ya Ulimwengu wa mwili yanatawaliwa na mambo ya ulimwengu wa roho;


ULIMWENGU WA ROHO

Ulimwengu wa roho

2 Wakorintho 4:18

Tusiviangalie vitu vinavyoonekana (vya kimwili) ni vya muda; bali tuviangalie vile visivyoonekana (yaani vya kiroho) kwasababu hivyo ndivyo vya vya kudumu (vinavyotawala vya kimwili).


ULIMWENGU WA ROHO

 • Ulimwengu w

 • Katika ulimwengu wetu, kuna vitu vya Namna kuu mbili (2);

 • Vitu visivyoonekana

 • na

 • Vitu vinavyoonekana


KwaniniUshindi?

Waefeso 6:12

“Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita ya kimwili), bali ni vita juu ya falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza, na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Hivyo,

Shetani anachotafuta

ni kumpigabinadamu na mazingira yake,

ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Ibadanzuri hutoka katika moyo uliotulia na pia maisha mazuri; na maisha mazuri huchangiwa sana na mazingira mazuri.

Kumbukumbu 8:6-18


SIFA NA IBADA KWA MUNGU

Mungu

IbadaNchi

Adam

Zab22:3

Yoh 4:23-24

Kumb 8:6-18

Zab 150:6


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Mazingira yakitibuka,

maisha yanatibuka,

na maisha yakitibuka,

ibadakwa Mungu pia

inatibuka.


KUSUDI LA MUNGU KWA KANISA

Hivyo,

Shetani anachotafuta

ni kumpigabinadamu na mazingira yake,

ili kumvurugia Mungu ibada, anayoitamani sana kutoka duniani.


KANUNI ZA KIROHO

 • KwaniniUshindi?

 • Ni kwasababu;

  • Kuna mashindano

  • Kuna mapambano

  • Kuna upinzani

  • Kuna vitanamajaribu


Kuna Vita na Mapambano

Kuna mapambano katika familia

Kuna mapambano katika masomo

Kuna mapambano katika kazi zetu

Kuna vita katika biashara + miradi

Kuna mapambano katika afya

Kuna mapambano katika kanisa


KwaniniUshindi?

Waefeso 6:12

“Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita ya kimwili), bali ni vita juu ya falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza, na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”


KwaniniUshindi?

Vita na Mapambano

Vyatoka wapi?

Ufunuo 12:7-17


KwaniniUshindi?

Ufunuo 12:7-17

Kulikuwa na vita mbinguni, Malaika Mkuu Mikaeli pamoja na malaika zake, wakapigana na yule joka aitwaye Ibilisi na Shetani pamoja na malaika zake;


KwaniniUshindi?

Ufunuo 12:7-17

Yule joka (shetani), hakushinda, bali alipigwa na malaika wa Mungu, akaangushwa kutoka mbinguni, akatupwa duniani, yeye pamoja na malaika zake walioasi pamoja naye.


KwaniniUshindi?

Ufunuo 12:17

Huku duniani, ibilisi shetani akijawa hasira nyingi na ghadhabu kali, aliazimu kufanya vita na watoto wa Mungu, akijua ana wakati mchache.


KwaniniUshindi?

Waefeso 6:12

“Kushindana kwetu sisi, si juu ya damu na nyama (si vita ya kimwili), bali ni vita juu ya falme za giza, mamlaka za giza, wakuu wa giza, na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho”


KANUNI ZA KIROHO

2Wakorintho 10:3-5

‘Ingawa tunaenenda kimwili, lakini hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili, bali tunapambana na elimu zilizo kinyume na elimu ya Kristo, tukizi-teka nyara fikra za watu, ili zipate kumtii Kristo’


KANUNI ZA KIROHO

Tunaongelea

Ushindi kwasababu kunamashindano ya kiimani

Katika maisha yetu.


KANUNI ZA KIROHO

1Yohana 5:4

‘Kila kitu kilichozaliwa na Mungu, huushinda ulimwengu; Na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu,

ni hiyo IMANI yetu’


KANUNI ZA KIROHO

Warumi 8:37

‘Na katika mambo yote, tunashindanazaidiyakushindakupitiaKristoYesualiyetupenda’


KANUNI ZA KIROHO

Yohana 16:33

‘Ulimwenguni mnayo dhiki, lakini jipeni moyo kwasababu mimi nimeushinda ulimwengu’.


KANUNI ZA KIROHO

Yohana 16:33

Tumechagua kumwamini Yesu Kristo, kama Bwana na Mwokozi wetu, kwasababu yeye ndiye aliyeshinda dhambi na mauti; na yeye ndiye mwenye funguo za (mamlaka ya) mauti na kuzimu.


KANUNI ZA KIROHO

Ufunuo 1:9-19

18Yesuanasema; Mimi niYeyealiyehai,niliyekuwanimekufanatazama, nihaimilelenamilele! Namininazofunguozamautinakuzimua. 19Basiandika mambo uliyoyaona, yaliyopo (sasa) nayaleyatakayotukiabaadaye


KANUNI ZA KIROHO

Ufunuo 1:9-19

Bwana Yesu anatutangazia ushindi wake ili tujue kwamba, pamoja na shida mbalimbali tulizonazo duniani, ushindi wake utatusaidia na sisi kushinda juu ya kila tatizo tunalokutana nalo.


KANUNI ZA KIROHO

Yohana 16:33

‘Ulimwenguni mnayo dhiki, lakini jipeni moyo kwasababu mimi nimeushinda ulimwengu’.


KANUNI ZA KIROHO

Yohana 16:33

Bwana Yesu anatuambia tujipe moyo kwa ushindi wake, kwasababu ushindi wake unatupa siri na kanuni za kutuwezesha na sisi kuwa washindi katika mambo yote.


KANUNI ZA KIROHO

Mtu wa Mungu anatakiwa kuishi maisha ya ushindina mafanikio ilikumwaibisha shetani na kumtukuza Mungu, lakini na yeye pia aweze kuishi maisha mazuri na kuwa chombo kizuri cha kumsifu na kumwabudu Mungu.


KANUNI ZA KIROHO

Kanuni za kiroho, ni mambo ambayo, tukiyatumia maishani mwetu, yatasababisha Roho Mtakatifu wa Mungu aliye ndani yetu, kuzalisha nguvu za Mungundani yetu, zitakazotusaidia kuishi maisha ya ushindina mafanikio.


KANUNI ZA KIROHO

Kanunihizitulizojifunza, ziletemabadilikokatikamfumowamaishayakonakukuwezeshakuzalishaNguvuzaMunguzinazohitajika kukupa maishayaUshindinakukuwezeshakuwachombokizuri cha kumsifunakumwabuduMungu.


IBADA NA UTOAJI

Luka 11:27-28

27 Ikawa Yesu alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya ule umati wa watu akapaza sauti akasema, “Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti yaliyokunyonyesha!”


IBADA NA UTOAJI

Luka 11:27-28

28 Yesu akajibu,

“Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu

na kulitii au kulitenda.”


IBADA NA UTOAJI

Yohana 13:17

Bwana Yesu akawaambia wanafunzi wake,

“Ni heri mkiyajua haya,

ni heri mkiyatenda.”


NGUVU LA NENO LA MUNGU

Kanuni hizi tulizojifunza, zikusaidie kuzalisha nguvu za Mungu ndani yako, kwasababu, utendani kazi wa mkono wa Mungu maishani mwako unategemea sana kiwango cha nguvu zake, kinachotenda kazi ndani yako.


Ibada na Utoaji

Mwisho!


Mafundisho Mengine

Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

Azania Front Cathedral

Luther House, Sokoine Drive

Dar es Salaam.


Kwa mawasiliano zaidi,

Mwl. Mgisa Mtebe

Dar es Salaam, Tanzania.

+255 713 497 654

mgisamtebe@yahoo.com

www.mgisamtebe.org


 • Login